Sabitlenmiş Tweet

Tumeongeza taarifa mpya kuhusu ugonjwa wa UVIKO-19, namna za kujikinga na chanjo za UVIKO-19 kwa watumiaji wetu wa Mobile Afya (*147*47#) na kwenye website yetu. Tembelea mobileafya.com/covid-19 kujifunza na kupata taarifa zaidi.
Indonesia
































