Sabitlenmiş Tweet
DIGALA⚜️
43.5K posts

DIGALA⚜️
@mozu245
Online shop🛒 |0717373534 #Muntd & #cr7
Katılım Kasım 2020
736 Takip Edilen36.2K Takipçiler

BREAKING NEWS: Shirikisho la soka la Afrika (CAF) limeamua kubadilisha matokeo ya finali.
Ripoti za mitandao ya kijamii leo zinasema bodi ya CAF imeamua kwamba Senegal wamefanikiwa “kutoka mchezo” (forfeit) na hivyo Morocco kutangazwa washindi wa michuano kwa ushindi wa 3–0 kwa mujibu wa sheria za mashindano — tukio linalozua mijadala mikali.
Hii inamaanisha matokeo ya uwanjani (1–0 kwa Senegal) yameondolewa na ushindi umewekewa kwa Morocco.
#KitengeSports

Filipino

Kampuni ya Teknolojia ya Ookla yenye Makao Makuu yake Seattle, Washington Marekani ambayo inajulikana Duniani kwa kupima kasi ya Intaneti, imeutangaza Mtandao wa Yas Tanzania ( @YasTanzania_ ) kuwa Mshindi wa Tuzo ya Mtandao wenye kasi zaidi ya Intaneti Nchini Tanzania ikiwa ni mara ya tatu mfululizo kwa Yas kuishinda Tuzo hiyo.
Katika taarifa yake baada ya kushinda Tuzo hii iliyotolewa Barcelona Nchini Hispania kwenye Mkutano wa Mobile World Congress 2026, Yas imesema ushindi wa Tuzo hii ni uthibitisho wa dhamira yake ya kuhakikisha inawekeza kikamilifu ili kila Mtanzania aweze kunufaika na fursa za kidigitali popote alipo "endelea kufurahia na kukamilisha ndoto zako na Mtandao unaotambulika na uliothibitishwa na Ookla"
Ushindi huu wa tatu mfululizo wa Yas unakuja ambapo Mtandao huu ukisherehekea mwaka mmoja tangu kuanza kuitwa Yas lakini pia miezi kadhaa tangu Yas ilipotangaza kufanya uwekezaji wa zaidi ya Tsh. Trilioni moja katika kuimarisha na kupanua teknolojia ya mtandao wake kote Nchini Tanzania kwa kiwango cha 4G na 5G. #MillardAyoUPDATES

Indonesia

@HildaNewton21 Nataman kukutukana tusi ambalo litakua jipya lkn silipati daah napata hasira sna
Indonesia


























