Platino

12.4K posts

Platino banner
Platino

Platino

@mpandujialoyce

Designer / Handcrafter / Teacher /

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2014
585 Takip Edilen742 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Platino
Platino@mpandujialoyce·
Introducing the African-inspired Fabrics Handbag a unique blend of style, functionality and cultural richness. This handbag embodies the vibrant spirit of African culture while incorporating practical features to enhance your everyday life. Tsh 40k order wa.me/message/EJP7DH…
Platino tweet mediaPlatino tweet mediaPlatino tweet mediaPlatino tweet media
English
4
0
3
606
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@assengajrr Ujamuelewa mzee. Rudisha power kwa wananchi wanasia wanasajiliwa tu kama wachezaji, chama cheke kikishuka daraja ataenda kuomba usajili chama kinachongoza ligi.
Indonesia
0
0
0
17
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Nimecheki interview ya Mzee Warioba akiguswa tu kuhusu CCM ataki kabisa kuongelea chama anasema mm sitaki kuzungumzia vyama anaongelea watanzania. Kuna kitu pia naona ata yeye hayuko tayari kuona ccm inatoka madarakani. Ni mwendo wa kuzunguka Mbuyu tunarudi pale pale.
Indonesia
35
18
335
15.8K
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@shaks_prince Hao wote walikua wanajishikiza kama walikua serious wangefunga ndoa. Kama aliweka tu ndani na kula mzigo kwa kua mwanamke alikua na uhitaji ni halal yake kukimbiwa.
Indonesia
0
0
0
111
Shakur Faith
Shakur Faith@shaks_prince·
Huwa sipendi kuongelea hii mada, ila leo acha tu nijue nini hasa sababu ya haya mambo. Jana muuza viatu mwenzangu kidogo achukue sheria mkononi. Long story short, alimchukua single maza na mwanae wa miezi 8. Kaishi nae na majukumu yote hadi chalii now ana miaka MITANO. 👇🏽
Kenya 🇰🇪 Filipino
173
107
670
57K
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@zizujo01 Anza na kununua washing machine
Filipino
1
0
1
44
HATUSHINDWANI BEI STORE.
Kwa mfano nikitaka kufanya Money laundering. Kwa Tanzania njia rahisi na nyepesi ni zipi??
Indonesia
84
44
477
75.5K
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@chapo255 Amna yani hiyo Ngoma mpaka anafika 50, alafu konyagi ndio itakua ARV zake yaani ili aishi lazima apige hizo
Indonesia
0
0
0
244
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@fbuyobe @HecheJohn FBI wapo kazini. Kama nakuona vile upo ofisini umekaa juu ya meza unangalia ubao uliojaa vile vikaratasi vya njano vimebandikwa kama uchafu na vipicha vya matukio ukiwa umeshika Maker pen ukijaribu kuunganisha dot.
हिन्दी
0
0
2
452
Beast
Beast@emabilly2001·
Vijana wenzangu' kwa kuwa mimi limenikuta naomba nishare na nyie toka juzi kwenye sehemu za siri nilikuwa nahisi siko sawa nikaamua kupotezea leo naingia harakati asubuhi naona natoka na usaa' 💔 nikaamua kuomba ruksa kuja kupima 👇
Beast tweet mediaBeast tweet media
Indonesia
160
50
585
91.4K
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@MkulimaKante Mtu kashapewa tenda ya kusambaza vifaa tiba. Wewe uende na vikopo tu😀
Indonesia
0
0
0
10
Kante
Kante@MkulimaKante·
Kuna utajiri umejificha kwenye vitu tunavyovichukulia poa Kama una milioni kadhaa agize mtambo china, Mtambo ambao utakuwa unao uwezo wa kutengeneza vile vikopo vya kupimia choo na mkojo mahospitalini. Ukiwa ushaagiza piga mguu kwa mguu hospitali zote waambie unazalisha vile vikopo na utawauzia kimoja mia mbili hamsini bei ya jumla. Kwa siku unao uwezo wa kuuza hadi vikopo elfu saba na ni biashara ambayo naona kabisa huwezi kujutia. Changamoto zake zinaweza kuwa zipo ila chache sana.
Indonesia
28
21
204
16.9K
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@heisnabeel Inategemea na eneo aina ya wateja wanafanya miamala ya kiwango gani. Kuna maeneo ukiwa ata na mil 1 una relax yaani ina zunguka vizuri. Kuna maeneo mil 5 bado ni ndogo sana.
Filipino
0
0
0
13
𝑵𝑨𝑩𝑬𝑬𝑳
𝑵𝑨𝑩𝑬𝑬𝑳@heisnabeel·
Ukitaka kuanza bishara ya Uwakala unatakiwa walau uwe na mtaji wa kiasi gani?
Indonesia
15
14
73
5.2K
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@JinoUkucha @njiwapori_ Logo si inanandikwa upya yaani uliyegemea wasafirishe chombo kama icho chenye Hadithi bila ya nembo yao
Filipino
0
0
0
4
Jino Ukucha
Jino Ukucha@JinoUkucha·
@njiwapori_ Kuna watu wanauliza mbona hiyo nembe hapo haikuyeyuka?
Filipino
2
0
2
854
Njiwapori 10k
Njiwapori 10k@njiwapori_·
Kwanini hiki chombo walichosafiri nacho wataalamu wa NASA, kinaonekana kama nichazamani sana au kimeungua. Kimeungua na nini?
Njiwapori 10k tweet media
Indonesia
27
20
215
23K
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@gabyconscious Siku ukitafutwa mwenyewe utajipeleka kujificha kwenye mapango ya wanachuo.
HT
0
0
0
49
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@YcuL___ Nikikumbuka nilikua nakodi gari kwenda nayo msibani
Filipino
0
0
0
21
FUNDI JUMA 🇿🇦
FUNDI JUMA 🇿🇦@YcuL___·
Wanaume siku hizi hawaoni aibu kusema hawana hela🤣 back in the day men used to rent cars to look loaded.
English
86
48
710
87.6K
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@DesmondDiss @Sirjeff_D Kwamba nowadays hakuna watu smart ukifanya kitu cha kueleweka, kuvutia au kushangaza sifa inaenda kwa AI.
Indonesia
1
0
1
87
WeakWrecker
WeakWrecker@DesmondDiss·
@Sirjeff_D kama hii ni straight from your brain and not AI you must be special
English
2
0
3
2.4K
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
This message was meant to be shared on Karume day, but unfortunately, it was not possible due to unforeseen circumstances
SIR JEFF⚡🇹🇿 tweet mediaSIR JEFF⚡🇹🇿 tweet media
English
95
175
1.3K
72.3K
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@PabloYende Hiyo unatoboa wagogo kibao wakristo na ndio wauza kahawa. Labda alkhasusi
Filipino
0
0
1
326
PABLO
PABLO@PabloYende·
Nitajie Muuza Kahawa Mkristo
PABLO tweet media
Suomi
54
39
417
24.1K
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@Kiganyi_ AI angalia nguo za mtoto zilivyo pangwa kwenye hicho chumba utaelewa
Filipino
0
0
0
388
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@TOTTechs Wahenga tumeanza nayo kitambo kidogo kabla ya AI.
Filipino
0
0
0
125
#TOTTechs
#TOTTechs@TOTTechs·
Aliyetengeneza Shazam App ni Genius sana, pure maths kuanzia sound waves (mawimbi ya sauti) to FFT Algorithms to Frequency Fingerprint to Database searching ndani ya sekunde kadhaa tu. Shazam is one of the pure Innovation in Music Technology ⚡️
Filipino
44
91
967
33.5K
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@gabyconscious @AM_NIC3 Hiyo mitambo dawa ya kumeza mara moja kwa siku wanakwambia mara moja kwa wiki
Filipino
1
0
0
128
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Kama kuna kitu nakuaga mkali pamoja na mapenzi yangu na Technology ni baby mamas wangu niwakute wanaGoogle google au wanaChatgpt vitu vya afya ya mtoto. Huwa namind sana yaani.😡 Piga simu kwa daktari mpe hata Liten kama huezi enda hospital kwa wakati huo.
Filipino
25
29
331
14.6K
Joh cabinet
Joh cabinet@Joh_cabinet·
Nilichogundua sisi Wabongo hatupendani aisee huyu jamaa nimesoma nae O level hili tukio limetokea Kigamboni janaa jamaa katoka anashout huko kaibiwa nyeti zake kajaza watu jamaa akaanza kushambuliwa mbaya zaidi aliyeshout baada ya kuona msala kwa dogo haonekani kwann hawa wanaolalamika kuibiwa nyeti hawatafutwi kuonyesha hizo sehemu zilizoibiwa isijekuwa ni mchezo wabongo wameingizwa kwa namna flani kuleta trend ili kupotezea mambo flani inatia hasira sanaa aisee hii kitu mm nataka hao wanaolalamika kuibiwa nyeti adakwe mmoja arekodiwe kweli hizo nyeti hazipo au mchezo maana watu kibao wanaingizwa mkenge na wananchi baadhi akili mgando kuvaa majukumu na kujifanya wanajua kuadhibu link iyo hapo👇 huyo jamaa nyuma ya bajaji hana huruma kabisa instagram.com/reel/DWvzjiUja…
Joh cabinet tweet media
Indonesia
31
8
191
47.3K
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@GilbertPaul095 Halikufikia hatua za kung'oa hilo jino la kung'oa halisikii dawa ata ulitie ACID
Indonesia
1
0
6
741
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷 Jino liliniuna lilitaka kuniua na kung’oa nilishauriwa nisilitoe maana halikua kwenye hali nzuri… nimetumia mchanganyiko wa ( Backing Soda, Tangawizi ya Unga, Ndinu ya Unga na maji kidogo) Hadi leo ni mwezi wa 8 siskii hata dalili ya Maumivi
Filipino
21
60
261
16.9K
Platino
Platino@mpandujialoyce·
@CavityDamas23 Nyumba inawaka moto ila taa ya kijani hapo bado ipo ON 😂😂😂😂
Filipino
0
0
0
88
STUNNA
STUNNA@CavityDamas23·
Mkiwahidi mtawaoa timizeni msela kachomewa nyumba na demu hii mama nayo imepinda balaa 😂🙌
STUNNA tweet mediaSTUNNA tweet media
Indonesia
49
35
491
51.8K