Msaka Tonge

3.2K posts

Msaka Tonge banner
Msaka Tonge

Msaka Tonge

@msaka_jr

Need not fear!

Katılım Ağustos 2015
491 Takip Edilen486 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Msaka Tonge
Msaka Tonge@msaka_jr·
Airtel_Tanzania hizi router zenu za 5G zinazingua sana, kama mlikua hamtaki kutuuzia mngesema muda wote hakuna mtandao na bundle tumelipia! Yani ni tunahangaika kureset, restart, zima washa muda wote hii si sawa wakubwa @airtel_tanzania
Indonesia
2
0
1
215
Msaka Tonge
Msaka Tonge@msaka_jr·
@fbuyobe Buyobe matako yako - we ni snitch 🚮🚮🚮
Filipino
0
0
2
126
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Mkutano wa hadhara wa Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Kenani Kihongosi Tarime Ngome ya Makamu mwenyekiti CHADEMA John Heche... 🙌Wana Tarime wanaipenda Mno CCM aisee!!
MR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet media
Indonesia
28
10
46
7.4K
Msaka Tonge
Msaka Tonge@msaka_jr·
@privaldinho Sasa AI ya kazi gani? Hakuna picha za michoro halisi? Pia Asante huo uwanja upo wapi? Pia wewe siyo mwanachama wa Yanga wewe ni chawa tu hapo ambae muda ukiisha utaondoka! Punguza shobo mwanya 🚮🚮🚮
Msaka Tonge tweet mediaMsaka Tonge tweet mediaMsaka Tonge tweet mediaMsaka Tonge tweet media
Filipino
1
0
8
609
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Asante GSM
Privaldinho tweet mediaPrivaldinho tweet mediaPrivaldinho tweet mediaPrivaldinho tweet media
Türkçe
68
17
351
22.2K
Msaka Tonge
Msaka Tonge@msaka_jr·
@privaldinho Vipi kelele za unbeaten mtaani kwenu bado zipo? We mwanya tunaulizia?
Msaka Tonge tweet mediaMsaka Tonge tweet mediaMsaka Tonge tweet mediaMsaka Tonge tweet media
Filipino
0
0
1
236
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
“GSM amekubali kumiliki uwanja kwa asilimia 50/50 na Yanga. GSM hana tamaa, angekuwa na tamaa basi angesema anataka asilimia 80. Tunajua wapo wenye tamaa na tunawajua. Msemo wetu wa siku ni kuwa “GSM HANA TAMAA” Ally Kamwe
Filipino
66
13
211
9.7K
#NiYeye
#NiYeye@InnocentJLS·
Nape anasema rafiki yake kutoka Upinzani ni Zitto Kabwe. Anasema ni rafiki yake sana.
5
0
13
744
Msaka Tonge
Msaka Tonge@msaka_jr·
@JaneRithe @godbless_lema Pambaneni na maisha yenu bila kuihusisha CDM! Nyinyi ni wanafiki na mnafikiri watanzania hawajui? Siyo ninyi mlisema mtalinda kura? Hiyo CDM mnayojifanya kuipenda Chair wake yupo jela mlishajaribu kufika court au jela kumuunga mkono? Malaya wakubwa 🚮🚮🚮
Indonesia
0
0
2
108
Janeth Joel Rithe
Janeth Joel Rithe@JaneRithe·
Binafsi huwa ninasikitishwa sana na tabia ya @godbless_lema ni mtu anayejifanya anajua sana na kukandamiza wengine huku akidai yeye ni mtu anayedai haki unawaita majina mabaya wengine Kitu kitakacho kukuta Mungu atakulipa ni Jambo la muda
Janeth Joel Rithe tweet media
Indonesia
29
4
23
3.6K
#NiYeye
#NiYeye@InnocentJLS·
Yanga wana game na Mashujaa, Singida, Chobwedo, Azam na JKT🤔
Indonesia
20
16
504
19.1K
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
Tanzania haihitaji hofu zaidi. Inahitaji uponyaji. Kwa sababu taifa lililojeruhiwa, mwishowe huanza kujijeruhi lenyewe. Leo tunapaswa kusema ukweli si kwa chuki,si kwa kisasi,bali kwa hofu ya kweli kuhusu mustakabali wa nchi yetu. Kama Michael Jackson alivyowahi kusema: “Tunapaswa kuponya dunia yetu iliyojeruhiwa. Machafuko, kukata tamaa, na uharibifu usio na maana tunaouona leo ni matokeo ya watu kujisikia wametengwa kutoka kwa wenzao na mazingira yao.” Kauli hii kwa sasa Inakuwa onyo hata kwetu sisi Watanzania, kama sehemu ya dunia Wananchi wanapoanza kujisikia: hawasikilizwi, wametengwa, wananyamazishwa, wanadhalilishwa, au wanachukuliwa kama maadui kwa sababu tu wana mawazo tofauti. umbali wa hatari huanza kujengwa kati ya wananchi na dola. Na historia inatufundisha jambo moja la kuogopesha: Mataifa mengi hayaanguki kwanza kwa sababu ya adui wa nje. Huanzia kudhoofika ndani wakati imani ya wananchi inapokufa. Nchi haiwezi kujenga amani ya kudumu: kama hofu inakuwa kubwa kuliko uhuru, kama utii unakuwa muhimu kuliko ukweli, kama taasisi zinaonekana kuwa za upande mmoja, au kama ukosoaji unatafsiriwa kama usaliti. Kwa sababu jamii iliyojeruhiwa huzalisha wananchi walioumia. Na wananchi walioumia mwishowe huzalisha: hasira, mgawanyiko, msimamo mkali, kukata tamaa,au chuki ya kimya kimya. Viongozi wanapaswa kuelewa: si kila ukimya ni amani. Wakati mwingine watu wananyamaza kwa sababu: wamechoka,wanaogopa,au wamekata tamaa. Na kukata tamaa ni hatari kwa taifa lolote. Tanzania ilijengwa juu ya msingi imara ya : utu,umoja,mazungumzo, uvumilivu,na hisia ya kuwa taifa ni la wote. Julius Nyerere alielewa jambo kubwa sana,taifa haliishi kwa nguvu pekee (power) linaishi pia kwa uhalali wa kimaadili. Wananchi wakianza kuhisi kwamba: haki inategemea upande wa kisiasa, ambao mtu yupo, taasisi si huru tena, au demokrasia ipo kwenye maneno lakini si kwenye vitendo, ule mkataba wa kihisia kati ya taifa na wananchi huanza kupasuka. Kwa hiyo haya si mashambulizi. Hili ni onyo. Onyo kwamba: siasa zinapokuwa za uhasama kupita kiasi, mamlaka zinapoanza kuogopa ukosoaji, wapinzani wanapoonekana maadui, na wananchi wanapopoteza imani kwa mifumo ya taifa taifa lenyewe huanza kujeruhiwa kihisia. Na taifa lililojeruhiwa huwa taifa lisilo tulivu. Hatuhitaji kulewa kisiasa zaidi. Tunahitaji hekima. Hatuhitaji viongozi wanaotaka kusifiwa tu. Tunahitaji viongozi wenye uwezo wa kusikiliza ukweli usiofurahisha. Kwa sababu uzalendo si ukimya. Wakati mwingine uzalendo ni ujasiri wa kusema: “Kuna jambo linaenda vibaya kabla hatujachelewa.” Kama Tanzania inataka kubaki imara, basi uponyaji lazima uwe sera ya taifa. Uponyaji: kati ya viongozi na wananchi,kati ya dola na upinzani,kati ya mamlaka na uwajibikaji,kati ya sheria na haki. Kwa sababu hakuna taifa linaloweza kuishi milele kwa: hofu, propaganda,au mgawanyiko wa kihisia. Mwisho wa yote, taifa huwa imara zaidi pale wananchi wake wanapoamini kwamba: wao ni sehemu ya taifa,wanalindwa, wanasikilizwa,na utu wao una thamani. Mungu ailinde Tanzania isije kuwa nchi ambayo wananchi wanaogopana kuliko kuaminiana. Na viongozi wetu wakumbuke: historia haitawahukumu viongozi kwa barabara, madarasa , vituo vya afya walivyojenga pekee, bali pia watahukumiwa kwa hali ya kihisia walizoliachia taifa. Usisahau: “Jamii iliyojeruhiwa huzaa watu waliojeruhiwa… na watu waliojeruhiwa huongeza machafuko zaidi.” Rev Petet simon Msigwa! Iringa
Indonesia
171
235
1.1K
54.5K
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
🚨 UPDATE: Dodoma Jiji Fc itasherehekea alama tatu walizovuna kwa Wananchi Young Africans Sc. Kikosi hicho kitapokelewa kesho Alhamisi saa tano na nusu asubuhi maeneo ya Mnada Mpya jijini Dodoma. Dodoma wamepata ushindi wa kwanza dhidi ya Yanga tangu kuanzishwa kwao.
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Indonesia
2
13
676
9K
Msaka Tonge
Msaka Tonge@msaka_jr·
@ByCardoJason Hii kweli Depression aiis, sasa kosa lako ni lipi na yeye angeleta arguments bila matusi hayo 😂😂😂
Filipino
0
0
0
20
Msaka Tonge
Msaka Tonge@msaka_jr·
@EsirEid Kocha wa Palace mjanja kafanya vile ili asijelaumiwa mechi ya Arsenal - Game ya Arsenal akina Mateta wote watakuwa bench ili wachambuzi wakose cha kuongea 😂😂😂
Indonesia
3
1
40
1.5K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kwa Kile kikosi kilichoanza cha Crystal Palace kuwapiga akina ismail Sarr na wenzake benchi na yale magoli waliyofungwa… Ingekua ni against Arsenal… media zingekuwa hadi muda huu wanapitia Highlights na kuhoji yale magoli… Wangelisema mechi iliuzwa…
Filipino
21
18
187
6.5K
Msaka Tonge
Msaka Tonge@msaka_jr·
@SuphianJuma Unafikiri huyu analamba miguu kama ninyi? Ana nini cha kupoteza si bora asimamie haki atalipwa na MUNGU siyo mwanadamu! Ninyi endeleeni kutumainia wanadamu- wanakuja na kuondoka📌.
Indonesia
0
0
0
39
Suphian Juma Nkuwi
Suphian Juma Nkuwi@SuphianJuma·
Mzee WARIOBA; Ulishakuwa Waziri Mkuu; unachofanya dhidi ya Rais sio “uhuru wa Kujieleza” bali kukosa “secrecy” na “privacy” ambazo ni viapo na sifa za viongozi ikizingatiwa una “full access” ya kumwona Rais/kiongozi ukamshauri. Sifa ovu za CHADEMA na wanaharakati ZITAKUGHARIMU.
Suphian Juma Nkuwi tweet media
Indonesia
77
5
23
9.1K
Msaka Tonge
Msaka Tonge@msaka_jr·
@ayubu_madenge Kwa zile beki na yule captain soon atapoteza mchezo mwingine, na maelekezo yakiachwa kama leo mtani nafasi ya tatu itamuhusu 😂😂
Indonesia
0
0
2
375
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
SIMBA ikishinda mechi ya kesho, tofauti ya point zinapungua na kuwa 2 tu. Mpaka sasa kuna uwezekano mkubwa sana wa SIMBA kupindua meza na kuibuka bingwa wa ligi kuu msimu huu.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
31
32
1.2K
19.6K
Msaka Tonge
Msaka Tonge@msaka_jr·
@EsirEid Atupatie ata draw tu, kikosi chenyewe kile - The Crystal Arsenal let’s go 🔥🔥🔥
HT
1
0
1
21
Msaka Tonge
Msaka Tonge@msaka_jr·
@EsirEid Ana fainali ya FA - bora nusu shali anajua fika Arsenal hawezi dondosha point kwa game zilizobaki ni kujichosha tu! Na akitengeneza injury atakosa vyote! Ametumia akili 😂😂😂
Indonesia
1
1
1
134
Msaka Tonge
Msaka Tonge@msaka_jr·
@privaldinho Mmezoea maelekezo kupambana uwanjani hamuwezi, ni sababu club bingwa mnaishia makundi! Timu libovu- Vipi kelele za Unbeaten bado zipo huko we mwanya? 😂😂😂😂
Msaka Tonge tweet mediaMsaka Tonge tweet mediaMsaka Tonge tweet mediaMsaka Tonge tweet media
Indonesia
0
0
0
252
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Daah kaka 🫩🙄🙄
Indonesia
28
1
71
10K
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Millennials walikuwa wanaweka ringtone ya wimbo mzima! Ukimpigia simu anasikiliza verse ya kwanza yote iishe kwanza ndio apokee
Filipino
100
149
770
13.7K
RAQUEL🦋
RAQUEL🦋@Kasemiireraquel·
Tell me the football club you support without mentioning its name🌚
English
262
54
497
24K
RAQUEL🦋
RAQUEL🦋@Kasemiireraquel·
🚨 BREAKING: Michael Carrick has officially won the race to become the permanent manager of Manchester United.
English
68
64
821
32.6K
200billion
200billion@katty36091·
Should I cashout family? 😦😦😦😦😦😦
200billion tweet media
English
119
20
227
61.8K