Msakamaboga

17.5K posts

Msakamaboga banner
Msakamaboga

Msakamaboga

@msakamaboga

Msakamaboga

Katılım Haziran 2020
4K Takip Edilen3K Takipçiler
Eng. Paimen✨️
Eng. Paimen✨️@Captain_Josh47·
Kipindi naishi kwa Wazazi, niliwahi kamatwa bar saa 7 za usiku na Doria. Baba yangu aliwahonga Polisi waniweke lock-up siku 5. Mama alikuja kunitoa siku ya pili😂😖💔😭
Indonesia
76
86
1.3K
42.6K
Msakamaboga retweetledi
Kante
Kante@MkulimaKante·
Mtu anamchukua mtu anampasua tumbo anaona yale madude dude ya ndani ya tumbo kama utumbo, kongosho na mengine mengi anashona penye shida na anayarudishia vizuri mtu anaamka na kutembea vizuri wakati mwanzoni alikuwa ni wa kulala tu. Alafu mnataka tuwaone madaktari ni watu wa kawaida hapana hawa jamaa nje na elimu yao kuna kitu kikubwa Mungu kaweka ndani yao, wabarikiwe sana. Sema ndio hivo sisi wagonjwa baada ya yote hayo tunaenda kutoa sadaka ya kujimaliza kushukuru kwa mitume na manabii💔💔🙌
Indonesia
27
61
489
22.2K
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Hapana waachiwe Sekretarieti ya Ajira hizi janja janja zimeanza.
Sean 🦩 tweet media
Indonesia
114
77
1.2K
83.1K
millardayo
millardayo@millardayo·
Baaada ya kutosikika Redioni kwa muda wa miezi sita Mtangazaji nguli wa kipindi cha POWER BREAKFAST cha CLOUDS FM (@CloudsFMTZ ), Masoud Kipanya (@MasoudKipanya) atarejea rasmi katika kipindi hicho kuanzia kesho Januari 20. Kipanya ataanza kusikika kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka saa 4:00 asubuhi katika POWER BREAKFAST. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Filipino
30
18
583
58.7K
Msakamaboga retweetledi
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Lumumba leo amepokelewa na raisi wa Congo na amecomfirm kua atarudi Morocco kwaajili ya Fainali ya michuano ya AFCON Atagharamiwa kwa kila kitu na atalipwa zaidi ya £2,000 kwaajili ya mchezo huo.
Presenter Noah tweet media
Filipino
17
88
1.6K
29.7K
Msakamaboga retweetledi
Bishop Josephat Gwajima PhD
Msimamo wangu kuhusu utekaji bado uko palepale!
Filipino
68
530
3.1K
42.3K
Msakamaboga
Msakamaboga@msakamaboga·
@smahup1 What about Metronidazole to the first trimester of pregnancy ?
English
1
0
1
30
سامي
سامي@smahup1·
pregnancy safe Antibiotic
سامي tweet media
English
6
333
1.4K
49.4K
Msakamaboga retweetledi
Haji Siyamuddin ANSARI
Haji Siyamuddin ANSARI@DrsansariOrd·
Correct answer: C. ORS (Oral Rehydration Solution) Explanation: The first-line treatment of acute diarrhea in children is oral rehydration therapy (ORS) to prevent and treat dehydration. Why ORS? Replaces water and electrolytes effectively Reduces mortality dramatically Works even during ongoing diarrhea and vomiting Recommended by WHO and UNICEF Why not the others? Antibiotics: Not routinely indicated; only for specific infections (e.g., cholera, dysentery). Antidiarrheals: Contraindicated in children due to risk of ileus and toxicity. IV fluids only: Reserved for severe dehydration or shock, not first-line. Key point: Give ORS + zinc supplementation and continue feeding/breastfeeding.
English
0
3
13
4.2K
Msakamaboga retweetledi
Cristiano Ronaldo
Cristiano Ronaldo@Cristiano·
Hard work is the way to success!
Cristiano Ronaldo tweet media
English
12.1K
38.1K
578.6K
33.2M
Tokyo
Tokyo@otokyo__·
I'm Number 5, you ?? 🤔
Tokyo tweet media
English
4.2K
168
3.5K
903.3K
Msakamaboga retweetledi
Dr. Kala. MD
Dr. Kala. MD@kalegamyeh·
Mwaka 2020 mshikaji wangu mmoja wa kitambo sana alikuja hospitali ambayo nilikua nafanya kazi akiwa na mtoto mgonjwa. Nikamsadia kupata Matibabu. Wakati fulani tulikaa chini akawa anaelezea matatizo yake kwamba ana watoto wawili kutoka kwa baby mama wawili na wanamla pesa sana. Akaniambia kwamba anatamani elimu yangu, gari yangu na vitu vingine ambavyo nilikua nafanya. Nikamwabia kwamba mchumba wangu ameharibikiwa mimba mbili na sina mtoto. Ningekua ma uwezo ningekua kama yeye bila chochote…lakini aliniambia niteme mate chini kwamba bora mimi. Mwaka 2024 alinitafuta akiwa na mtoto wa tatu lakini kipindi hiko Nilikua nimefiwa na mtoto wa mwezi mmoja. Kwanzia kipindi kile nilijifunza sana kua humble na kutouliza watu kwanini hawana kitu hiki au kile kwenye wakati wakiwa na umri fulani bcoz sometimes baraka zako ziko kwenye mambo mengine kabisa. Nilikua nina vitu vya msingi ambavyo wanaume wengi wanavitaka…nilikua daktari, nilikua na gari, nilikua najenga nyumba, Nilikua na cycle ya watu ambao wangeweza kufanya chochote nipate mtoto na Nilikua nazalisha watoto wa wengine lakini watoto wangu tu ndio kipengele. Leo hii career yangu imekua sana, uchumi wangu sio mbaya lakini bado sina mtoto. Learn from me and be humble.
Dr. Kala. MD tweet media
Indonesia
38
62
281
11K
Msakamaboga retweetledi
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na positive mind, wameleta propaganda ya udini Gen Z wameigeuza kuunganisha dini zao Kwa salamu na matukio..nice move✌️.. Hii nchi haina udini ndio maana waislam tunawaita watuchinjie kuku hata kama hawali
Indonesia
79
416
3.4K
100.1K
Dr Honey choudhary 🩺
Dr Honey choudhary 🩺@Doctors__squad·
If you belong to ANY of these healthcare fields👇 • Doctors • Nurses • Dentists • Physiotherapists • Dieticians • Radiographers • Pharmacists • Lab scientists • Optometrists • Public health professionals • Healthcare assistants • Medical content writers Drop a ❤️ in the comments & follow others who like your reply. Let’s build a strong healthcare network! ✅
English
1.3K
223
4K
342.4K
Msakamaboga retweetledi
BlackMan🦍
BlackMan🦍@LusekeloWorld·
Bro, Usisahau Kutimiza MALENGO uliyo mwahidi bi mkubwa 👊🏽👊🏽
BlackMan🦍 tweet media
Filipino
36
81
693
16K
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Nina Nyumba mbili, Nina Gari, nina kampuni, nina miradi. Umeona tayari nina unafuu wa maisha, unataka nikuoe. Wewe Huna kazi wala Biashara, mbaya zaidi Huna bikira. Hivi huoni kuwa unanionea bure, Kipindi mimi nipo busy kujitafuta, wewe ulikuwa busy kubadili mageto ya wahuni.
Filipino
99
182
789
81.7K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Aaah! Mama kumbe bado hujaenda Kanisani.💔😂
The mandevu tweet media
Indonesia
18
25
416
12.8K
Msakamaboga
Msakamaboga@msakamaboga·
@Gaspinho15 😅😅😅😅 kwahiyo mkataba unavunjaa
हिन्दी
2
0
0
530