Sabitlenmiş Tweet
beibeh🌸
2.7K posts

beibeh🌸
@msbeibeh
Always dress your inner you and Embrace your self, life is to short not to do so🥰😉
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Nisan 2024
404 Takip Edilen568 Takipçiler
beibeh🌸 retweetledi

“Ewe mtanzania kama unataka kujigamba kuwa mtu wa amani , JITOSE upiganie HAKI”
Nadhani code ya #D25 imeeleweka kutoka Askofu Mkuu Ruwa’ichi
🔥✊🏽🇹🇿
Indonesia
beibeh🌸 retweetledi

This happened in Mji Mwema, Mwanza. These boys where at a local cafe( kibanda Umiza) watching TV, when Samia Suluhu’s goons came, ordered them to come out and lay down. They all complied. Soon as they complied they were all shot. They were not protesting. This was about the protests it was about getting total surrender and obedience from the people of Tanzania’s
English

08. Hii ni picha ya kweli ya kuhuzunisha kutoka India wakati wa njaa kali ya Madras mwaka 1877. Inaonyesha mwanaume mmoja akiwalinda mke wake na watoto dhidi ya watu waliokuwa wamegeuka wala watu (Cannibals) kwa sababu ya njaa kupita kiasi.
Njaa hii iliua mamilioni ya watu, wengi wao wakiwa masikini wasio na msaada.
Picha hii inaonesha hali ngumu ya maisha, mateso ya njaa, na jinsi familia zilivyopambana kuokoa maisha yao katika kipindi kigumu kupita maelezo.

Indonesia

03. Hii ni picha ya George McLaurin, Mmarekani mweusi wa kwanza kuruhusiwa kusoma katika Chuo Kikuu cha Oklahoma mwaka 1948.
Licha ya kukubaliwa, alikuwa akitengwa na kulazimika kukaa mbali na wanafunzi weupe darasani, maktaba, na sehemu za kula, akiwa mfano wa wazi wazi wa ubaguzi wa rangi katika elimu wakati huo
Picha hii inaonesha mapambano ya mwanzo ya haki za watu weusi, na jinsi walivyovumilia mazingira ya udhalilishaji ili kufungua milango kwa vizazi vilivyofuata.

Indonesia

@msbeibeh Straight to the point to him,tel the way u lov him
English

@msbeibeh You know it speak louder than word japo itasound kama mitego 😂
Mwanza, Tanzania 🇹🇿 English



















