Sabitlenmiş Tweet

Kuna siku nikikua natoka nakonde naelekea DRC. kuna dada mmoja hivi alikua dereva wa kampuni na ASAS aliniletea fujo nyingi sana kisa tu ana gari inauwezo kuliko mpilipili wangu bas mimi nikawa nimepuuza safari ikaendelea mida ya mchana hivi tunakalibia sehem moja hivi inaitwa Mpika gari yake imezingua na hakuna mtu wa kumsaidia namimi ndio nilikua nyuma yake nikaona wacha tu nisimame maana panaweza kua na hatari pale mazingira hayakua rafiki hasa kwa mwanamke nilivyofika pale nikamuuliza gari yako inashida gani kasema anashangaa tu gari imezima ghafla nikajaribu kuutumia ule ufundi wangu kwenye XT mungu akasaidia ikawaka na akaendelea na safari lakin kabla ya kuondoka nikamkumbusha ya kua mimi ndio yule umenifanyia ubaya Asubuhi tuendelee na safari sasa👊yule dada kila tukikutana siku hizi ananisalimia sana imefikia hatua hadi ananitaka yaan anataka uvulana wangu😂huku mwishoni niuongo
Indonesia


























