MTALIANO

4.8K posts

MTALIANO banner
MTALIANO

MTALIANO

@mtalianotz

camera & accessories

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2022
1.2K Takip Edilen571 Takipçiler
MTALIANO
MTALIANO@mtalianotz·
@iammpemba Anajaribu kufuata upepo wa steven nyerere lakini hafikii
Indonesia
0
0
0
124
MTALIANO
MTALIANO@mtalianotz·
@chapo255 Pia wasanii wanaoshinda radioni kuomba sapot wapo nyuma ya muda sana kwa dunia hii, CHAPO unatuba habari za burudani hapa X kila mtu anakujua unapata deals vipi kama ungeenda kulamba miguu maboss pale mawingu. Lazima wabadilike leo radio ni chombo cha walinzi wasio na smartphone
Indonesia
1
0
0
239
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Unakuta Media ina kipindi cha muziki ila analetwa mjinga mmoja ambaye ali trend mtandaoni wiki iliyopita kufanyiwa interview, sio msanii wala hajaja kutambulisha wimbo while kuna msanii anatamani kupata hilo tobo anazuiwa getini na mlinzi wa redio.
SANUKAnaCHAPO tweet media
Indonesia
49
40
734
33.6K
MTALIANO
MTALIANO@mtalianotz·
@chapo255 radio pia wanastrugle kutafuta engagement mitandaoni ili wapate matangazo ya maana siku hizi ili radio ilipwe vizuri na wadhamini sharti iwe na ushawishi mtandaoni vingnevyo watatangaza kamari tu, interview ya bonge la dada inawapa likes 10k na ya Ay inawapa likes 2000
Filipino
0
0
1
304
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Davido, Ashindwa kuendelea na Perfomance yake baada ya kuona Shabiki ameenda na mtoto kwenye tamasha lake. Angalia ilivyokuwa.. Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
10
17
440
27.6K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Wakuuu nipo hapa nasoma Comment.
Fumbo Khan tweet media
Filipino
24
12
235
19.8K
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Hakuna kuchagua moja, Kama unataka hela, pata na ujumbe 😂😂😂😂 No reforms No elections for everebade 😂
Jebra Kambole tweet media
Indonesia
33
131
768
26K
millardayo
millardayo@millardayo·
Wabunge wa Uingereza wameuidhinisha muswada wa sheria ya kuwaruhusu wagonjwa mahututi na ambao ni watu wazima kupewa msaada wa kumaliza uhai wao. Baada ya miezi kadhaa ya majadiliano makali, muswada huo umefanikiwa kuvuuka kihunzi cha kwanza hivi leo kabla ya kuidhinishwa rasmi kuwa sheria miezi michache inayokuja. Mnamo mwezi Novemba mwaka uliopita wabunge walio wengi waliunga mkono pendekezo la kuandaliwa muswada wa sheria ya kuruhusu huduma ya msaada wa kifo kwa kura 330, huku waliopinga wakipata kura 275. Chini ya mapendekezo ya muswada huo, wagonjwa wenye akili timamu walio na umri kuanzia miaka 18 lakini walio kwenye hali mahututi na wanaokadiriwa kuwa na muda usiozidi miezi sita ya kuishi wataweza kuomba huduma ya kukatisha uhai wao katika miji ya England na Wales. Na ili kutimiza hilo, mgonjwa mahututi atatakiwa kuwa na uwezo wa kumeza mwenyewe dawa zitakazokatisha maisha yake #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
30
13
485
37.4K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#MICHEZO Hapo jana moja ya stori kubwa katika ulimwengu wa michezo ilikuwa ni rekodi iliyowekwa na klabu ya mpira wa kikapu ya Los Angeles Lakers inayoshiriki ligi ya mpira ws kikapu Marekani NBA. Lakers imeweka rekodi ya kuwa timu pekee iliyonunuliwa kwa bei ghali zaidi katika historia ya timu za michezo duniani. Lakers imeuzwa kwa pesa za marekani dola Bilioni 10 sawa na Trilioni 26 za Tanzania, ambayo hii ni sawa na asilimia 53% ya bajeti ya Tanzania ya mwaka wa fedha uliopita wa Tanzania 2024/2025 ambayo ilikuwa Trilioni 49, lakini pia thamani hii ya Lakers inakaribia sawa na nusu bajeti ya serikali ya Tanzania ya mwaka wa fedha ya 2025/26 ambayo ni Trilioni 56. Na tajiri aliyeinunua klabu hiyo ni Mark Walter, ambaye anakadiriwa kuwa na utajiri wenye thamani ya Bilioni $6.1 sawa na Trilioni 16 za Tanzania, huku katika orodha ya mabilionea duniani kulingana na mtandao wa Forbes (2025) Mark yupo nafasi ya 581. Mbali na kuinunua klabu hiyo pia Mark ni CEO na mwanzilishi wa kampuni ya Guggenheim Partners yenye thamani zaidi ya $320–335 bilioni, na pia vilevile ana hisa za umiliki wa klabu mbali mbali ikiwemo Chelsea, Strasbourg FC ya ufaransa, Los Angeles Dodgers (MLB), Los Angeles Sparks (WNBA). Neno moja kwa huyu Tajiri? #NBA #LosAngelesLakers #Bballkings #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Filipino
36
23
664
30.9K
KIRIKUU✏️
KIRIKUU✏️@Kirikuu20·
Bongo uhuni mwingi sana ,unaweza kwenda kwa mganga jumapili ukakuta kaenda kanisani 😂
KIRIKUU✏️ tweet media
Filipino
28
30
521
40.5K
LOCHO
LOCHO@muandazi·
Kama tulivyo kubaliana kuwa zambi sio kitu cha kunyimana Basi ni vyema mukaweka handle za account zinazo post video za wakubwa na sisi tukafaidi huko 😅 Sisi ni familia bana😂😂😂 mimi nimeweka kazaa kwenye comment tusiishi kinyonge
LOCHO tweet media
Filipino
24
24
617
115K
UMMA wa Tanganyika
UMMA wa Tanganyika@Mtanganyika1234·
ACT huyu mama amechukuliwa ofisini kwenu! Fikiria, ofisi ya ACT wazalendo, kama kulinda mtu aliyekua ofisini kwenu mmeshindwa, mtawezaje kulinda kura kwenye vituo vya kupigia kura vitakavyolindwa na polisi waliopewa mabilioni?
UMMA wa Tanganyika tweet media
Indonesia
61
117
781
27.9K
GreaterThinker💎
GreaterThinker💎@HopeQuotes__·
Tuweke Siasa Pembeni, Kosa la Wachokonozi ni Lipi!? Na ni Tusi gani walilo Tukana Kua Mkweli tu....
GreaterThinker💎 tweet media
Indonesia
92
199
1.5K
80.8K
Ai Tanzania
Ai Tanzania@lutherjr___·
Kipindi cha JPM sidhani kama angeweza kusema aya 😭
Indonesia
45
46
402
39.5K
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Mnawezaje kuacha nyeto wadau ? 😀
Malkia Nyuki 👑 tweet media
Polski
55
11
449
79.7K
Cyancute ⭐
Cyancute ⭐@Cyancute·
Choose one for night
Cyancute ⭐ tweet media
English
79
6
345
48.2K