majibu tu
512 posts


@MariaSTsehai Gen Z gani? Umeandaa chumbani kwako alafu unasema ni la Gen Z! Mimi ni kijana na simfahamu hata mmoja aliyeshiriki.
Slovenščina

🚨‼️Tamko la Gen Z 🇹🇿 kuhusu mkutano wa wazee‼️
Vijana wamenyooka 🔥
👉🏽 hawa sio Wazee wa Dar ifahamike kuwa hawa ni Wazee wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar na wanakwenda kukutana na Mwenyekiti wao wa Taifa CCM lakini pamoja na hayo Wazee wa Dar watusaidie kumwambia Samia Suluhu kwamba yeye sio Rais wetu - hatujamchagua, hakuna uchaguzi uliofanyika kwani Gen Z walifanikiwa kuonyesha dunia kuwa hakukuwa na uchaguzi.
👉🏽 Wazee Wa Dar watumie fursa hii kumshinikiza Samia Suluhu kujiondoa Madarakani na wamwambie Samia arudi Kizimkazi akalee wajukuu huku akisubiri kuwajibika iwe ndani au Mahakama za Kimataifa kwa mauaji aliyoyafanya tarehe
29-30 October.
Kwa kifupi #SamiaMustGo
#D9 iko palepale 💪🏽
#D9Tunatoka

Indonesia

@Sirjeff_D Hata hapa unaonesha una fear ndio mana unaandika kwa mafumbo mafumbo.
Filipino

@JohnNgutiCDM Naona ulisikiliza peke yako, sasa unatusimilia. Wewe ni kijana jifunze siasa Safi.
Filipino

@HecheJohn Rais wa Marekani Trump alimwambia muandishi wa habari pale oval mbele ya macho ya dunia nzima kua atafungia chombo chake, uliiona hii kaka? Nini maoni yako? @HecheJohn
Indonesia

Kama wanasiasa wa ccm ndio wanaagiza makanisa kufunguliwa, watu watafutwe na kumatwa au wasitafutwe, watu wabambikiziwe kesi mbaya au waaachiwe huru.
Nani anaweza kusema tuna vyombo vya dola vyenye ueledi na vinavyofanya kazi kwa uhuru na bila upendeleo.
Huyu anaeagiza hivi akiagiza Heche akamatwe na kupotezwa nani atamkatalia.
Hapa tulipo unaweza kukosana nae kwa mambo binafsi akaagiza upewe Ugaidi au uhaini.
Shame on you.
Indonesia

@MariaSTsehai @SuluhuSamia @IntlCrimCourt Where did you see this?, I live in Tanzania and I know you don't. Being activist doesn't mean to be a good deceiver.
English

‼️🚨ARMY STATE TANZANIA‼️
@SuluhuSamia is now using soldiers on the streets even travelling on a bus is reason for stop and identify! This level of panic is unprecedented and clearly this murderous cabal is indicating that it is ready to murder thousands again @IntlCrimCourt @OHCHR_EARO @AmnestyEARO @hrw
Sasa hapo Gen Z wakisema wanajeshi kutumika kama sungusungu wanakosea wapi!? Sijawahi kuona udhalilishaji kama huu wa JWTZ! Ni aibu sana!
Kwetu hii ni evidence nzuri na D9 tutakuwa na ushahidi mapema wa ku link crimes against humanity
Naendelea kushauri acheni wananchi waandamane kwa amani
#D9Tunatoka #D9


English

@KumbushoDawson Hapo TEC watakua wamepata wapi mamlaka hiyo? Huko mnakotaka kwenda ndiko ambako Nigeria wamefika.
Filipino

@lifeofmshaba Sikuwahi kuwaza kua wewe ni mjinga kiasi hiki, ndio nimegundua leo. Hivi ukiwa mpinzani ni lazima uwe hauna adabu?
Indonesia

Nilimkutana nje nikampa vijipesa vyangu vya posho ya nauli
hizi kauli za kishugamum amshituki
alishazoea akionga anapata usingizi pia
ana ujinga sana, ametoshwa amenuna
hawa watu wenye hamu na ngono wakikataliwa ni wajinga sana, ndio unasikia habari mwanamke akata mtu uume,
ujinga gani tumesikiliza leo huu mpaka tunashindwa kulala, MALAYA natamba kabisa kwa kodi zetu namna anavyokosa kosa watu na jinsia yake? nani amemwambia haya masuala ya jinsia ndio issue?
Indonesia

@HildaNewton21 Mimi hua najiuliza sana wewe ni mtanzania? Bado unaipenda Tanzania? Unafurahia watalii wakiondoka alafu unasema wewe unaipenda Tanzania!
Indonesia

Watalii washajua kwamba Disemba 9 kitanuka sasa wameamua kukimbia na kurudi makwao kabla hatujakinukisha.
Kama mnavoona hapa ni Airport Dar es salaam, Watalii wamepanga foleni kama wanaenda kupata kikombe cha Babu wa Roliondo.
Halafu Girishoni anasema Watalii wamekuja wengi yani waliopo tu ndo hawa wanaondoka kuhofia maandamano sasa hao waliokuja wako wapi.?😂
NB. Hii picha imepigwa alfajiri ya leo.

Indonesia

Inashangaza kuona mtandao uliofungiwa na Serikali unaendesha midahalo (spaces) ambazo ziko sponsored na Serikali hiyo hiyo iliyofungia mtandao.
Hii nchi ni ya ajabu sana.
mimilicious🌹🍒@amina_hafidh
Leo nitakuwa na space KABAMBE SANA TENA YA MOTO🔥🔥 Nikizungumzia kuhusu 9 Disemba na vurugu zinazoletwa na wahalifu wa maandamano #TanzaniaSalama #KataaVuruguNaUhalifu
Indonesia

Mzee Butiku nakuita mara tatu!
Nakuheshimu Baba ACHANA NA HII PROJECT YA ABDUL 🚮
👉🏽 Usitumie vibaya jina la Mwalimu Nyerere mbona taasisi haijawahi kutoa tamko kulaani mauaji mnakimbilia mambo ya amani!?
👉🏽 Hatutaki maridhiano na serikali HARAMU na batili, wananchi tunataka HAKI! Bila Haki hakuna Amani! Na inaanza na Ukweli na Uwajibikaji siyo vikao vya amani!
👉🏽 Humphrey Polepole muda mchache kabla ya kutekwa alipandisha video akasema kuna wazee anawaheshimu ila wameshahongwa kabla ya uchaguzi ili waje kuongelea maridhiano baada ya kutuumiza uchaguzi - nikahoji kama si wewe alikulenga? Sasa hii mbona kama ni wewe kweli?
‼️ACHA ❌ Usiguse damu za watanganyika‼️
👉🏽 Rudisha haraka pesa za Abdul na achana na hii labda kama mnaunda timu ionane na @SuluhuSamia kunshauri aachie ngazi hapo endeleeni nje ya hapo narudia kukushauri ACHANA NA HII KITU HARAKA
Mtajijengea CHUKI kubwa wakati mlishatumikia nchi na kuwa na heshima kubwa
Umeshindwa yote kaa kimya!
#SamiaMustGo #D9 #TutaelewanaTu



Indonesia

@MariaSTsehai Hivi sio nyinyi juzi kati hapa mlisema kila mjeda kapewa laki tatu kwa ajili ya kazi ya October 29? Leo mmeshasahau mnasema hata maji hawakupewa? 🤣 Muwage hata na akili siku moja moja.
Indonesia

‼️🚨WANAJESHI WAMEMAINDI KUTUMIKA KAMA POLISI‼️
Leo wanajeshi walooewa amri washirikiane na polisi kutisha wananchi 🙄
Kumbe hata maji ya kunywa hawajapewa 😀 sasa acheni kudeka - msikubali kutumika kutisha wananchi
Ila sasa kuna mwingine ananiambia shida ni wakubwa wengi ni wazanzibari hawana habari maana wanajua wakirudi makwao ndugu zao wako salama
Yaani narudia nchi inaendeshwa kiwaki kabisa 🚮
Sisi tupambane tu! Tusideke, tusilie na tusikae kinyonge!
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #D9

Indonesia

Nasikia kuna milio huko Brussels, madhulmat wauaji na wababe wanasema
“The Government of Tanzania remains firmly committed to democracy, human rights, and the rule of law.”
Wendawazimu hawa 🚮😀
Wakiulizwa waliouwawa ni wangapi wanasema ni kufanya sherehe! Shenzi 🚮🚮
Na bado!
You can’t kill and lead us!
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre

Filipino

@Roma_Mkatoliki Hichi mnachokitengeneza nyinyi wakina @Roma_Mkatoliki kikiondoka na damu za ndugu zetu wengi sijui kama kizazi chenu hakitalaaniwa. Sijui kwanini hamuioni hii hatari, au mnataka tuamini kwamba mnalipwa na mabeberu?
Indonesia

Raila alikua kiongozi wa upinzani, amewahi kuwa waziri mkuu ni kweli.
Amepewa heshima na mazishi ya Kitaifa..
Fikiria chuki ya ccm na serikali ya ccm dhidi ya wapinzani na upinzani.
Je wangeweza kumpa heshima kiongozi wa upinzani hivi?
Kwasababu upinzani kwa ccm ni chuki..
Kwa ccm kumsema Mungu ni rahisi kuliko kumsema mama!!!
Ndio maana hata marafiki na watu aliofanya nao kazi Polepole, serikali, ccm na kwingine kote .. wameogopa kutoa sauti hata ya kutaka kujua yuko wapi.
Huu ni unafiki wa kiwango gani?
Hatuwezi kujenga jamii na kizazi cha hivi.
Indonesia

@HecheJohn Mi nasemaga Heche hana akili naonekana sina adabu. Hivi Heche tutajie Hospitali moja duniani ambayo watu hua hawafi
Indonesia

Yaani rais wa ccm anasema miili ya waliofia hospitalini haitazuiwa tena kwa sababu ya familia kukosa fedha.
Utaratibu utafanyika baadaye.
Yaani badala ya kusema vipi wameboresha au wataboresha huduma za afya,kupunguza vifo kwa kukosa madawa na huduma sahihi ili hata kama anakufa mtu, isiwe ni kwa sababu ya huduma mbovu?
Je hii ni serikali ya kuzika wafu au kuzuia wasife?
Ccm inastahili kuwa kwenye jaa la takataka.
Watanzania huu ni mwaka wa kurudisha Nchi yetu kwenye mikono yetu.
#NoReformsNoElection
Indonesia

@HecheJohn @HecheJohn ni kati ya viumbe wajinga niliowahi kuwaona. Anataka tuamini taarifa ya polepole kisa alikua kiongozi mkubwa kwenye chama ila tarifa ya yule anayedai Mali za CHADEMA Mmahakamani hataki tuamini ingawa kipimo Cha uongozi ni kile kile. 🤣
Indonesia

Taarifa za NEC haziwezi kuwa siri ya Kailima na genge la ccm.
Polepole amewambia Watanzania ujambazi wenu.
Mwaka huu hatutakubali uhuni.
#NoReformsNoElection
Indonesia









