Edgar
777 posts


i got the job 😭😭😭
𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™@anuskills3
Hii interview ya Leo ije na majibu Positive.!!🤲🏾
English
Edgar retweetledi
Edgar retweetledi
Edgar retweetledi
Edgar retweetledi
Edgar retweetledi
Edgar retweetledi

@yulerichbrazaa @fintanjr_ Yaleyale mtu wa history kaulizwa ctrl + L kweli??
Polski

@fintanjr_ Dogo katoka kufanya interview ya serikali juzi somo la history, ananiambia wametolewa maswali ya hesabu, computer science na education kidogo😁 nikamwambia aachane na hzo ajira zina wenyewe, atafute biashara yoyte nimpe mtaji 😂
Indonesia

Mwanangu mmoja katoka interview leo kampuni moja ya kuuza vifaranga vya kuku, na position ni zile ambazo hazitaki sana ujuzi wala mbwembwe, kupaki vifaranga, kuhakiki idadi kila box na shughuli kama hizo, anakwambia picha linaanza kapewa computer ,.. halafu akaambiwa afungue Excel, akafungua, wadau wanataka atengeneze VLOOKUP,. .utagoogle maana yake, tuendelee😂🤝,. wamemwambia atapigiwa simu, . wakuu kama hamtutaki huko kwenye kazi zenu au mna ndugu zenu tayar mtuambie tu, tunateseka sana kuja ma interview na wengine wanatumia hadi nauli,..Mtatuua😂💔🙌.
Indonesia

@Ninja_Damour @Roma_Mkatoliki Unamalizia ile kauli EE Mungu bariki na wengine😀
Eesti

@Roma_Mkatoliki kuanzia hapo kila goma atalopiga DJ unakua una vibe nalo sana, si una uhakika 😃😃
Filipino
Edgar retweetledi

Reply with a number between 1-100 and we'll show the corresponding assist from @B_Fernandes8 🪄⬇️
English


























