Mo.Mwabumba,PhD

446 posts

Mo.Mwabumba,PhD banner
Mo.Mwabumba,PhD

Mo.Mwabumba,PhD

@mwabbumba

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mayıs 2013
694 Takip Edilen181 Takipçiler
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
JANA nilimuaga mwanafunzi wangu, Dr. Jonas Bayuo na kumwomba aiwakilishe vizuri Tanzania 🇹🇿 na @NM_AIST huko Ghana. Kesho Dr. Bayuo anarudi kwao Ghana 🇬🇭 baada ya kuishi akisoma Tanzania kwa zaidi ya miaka mitatu. Nilipata neema ya kusimamia mmoja wa G.O.A.T.S. ktk profession. Anasema: "Nitaikumbuka Arusha kama kitovu cha nyama choma na mahali ambapo watu wakarimu wanaishi." One of those you would have loved to keep, but they have to go 😢👊😊
Mwemezi Rwiza, PhD tweet mediaMwemezi Rwiza, PhD tweet media
Indonesia
22
23
430
30K
Mo.Mwabumba,PhD
Mo.Mwabumba,PhD@mwabbumba·
@SwahiliBible @NM_AIST Hongera sana Mwalimu, ni furaha kwangu kuwa ni mmoja kati ya waliopendezesha kabati hilo. Ubarikiwe sana na zibarikiwe kazi za mikono yako!
Indonesia
1
1
4
489
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
KABATI langu la Dissertations kwa wanafunzi niliohusika kusimamia kazi zao za Master na PhD linazidi kupendeza 🙏 Kesho ni graduation. Tunavuna tena! 💪💪 Welcome to @NM_AIST
Mwemezi Rwiza, PhD tweet media
48
41
336
44.6K
Mo.Mwabumba,PhD retweetledi
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
SKOLASHIP yenye tight deadline. Unaweza ku- Repost na ku- Share na watu wengi iwezekanavyo. Ni Skolaship ya Master's kwenye Degree Programs zilizooneshwa hapo kwenye mojawapo ya hizi picha hapa chini 👇
Mwemezi Rwiza, PhD tweet mediaMwemezi Rwiza, PhD tweet mediaMwemezi Rwiza, PhD tweet media
Indonesia
13
77
117
16.3K
Mo.Mwabumba,PhD retweetledi
Ladislaus Chang'a
Ladislaus Chang'a@changa601·
We had a memorable day at the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology in Arusha Promoting Climate Science, Sensitizing and Inspiring Lecturers, Early Career Scientists and Young People to participate in the work of IPCC as part of strengthening Inclusivity.
Ladislaus Chang'a tweet mediaLadislaus Chang'a tweet mediaLadislaus Chang'a tweet mediaLadislaus Chang'a tweet media
English
2
3
13
510
Mo.Mwabumba,PhD retweetledi
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
"Umeitwa kumpenda mke wako, siyo kumwelewa. Najua ubongo wako wa kiume unataka ku-analyse na ku-calculate; utajitafutia stroke. Mpende, hata kama humwelewi."
Filipino
12
26
177
6.5K
Mo.Mwabumba,PhD retweetledi
SikilizaTogolani
SikilizaTogolani@SikilizaTogolan·
"Kuwa makini na mtu asiyependa kuweka akiba ya mahusiano, maana huyo tayari amejiandaa kuupoteza uhusiano, ahadi na uaminifu uliyopo kati yenu." ~Togolani Mavura.
SikilizaTogolani tweet media
Filipino
10
116
480
13.3K
Mo.Mwabumba,PhD retweetledi
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
USIACHE kumwomba Mungu. Anasikia hata yale maombi ya kimya-kimya, yale mafupi-mafupi. Ukiwa umesimama ndani ya daladala, anasikia. Ukisubiri bodaboda wako afike, anasikia. Wakati foleni haisogei, anasikia. Ukifika kibaruani, omba, anasikia. He is a small prayer away.
Indonesia
11
153
659
19.3K
Mo.Mwabumba,PhD retweetledi
SikilizaTogolani
SikilizaTogolani@SikilizaTogolan·
“Maisha yamejaa mapito. Pamoja na na kujua mambo mema huanzia mapito yanapoishia,kuyasafiri mapito imebaki kuwa mtihani mkubwa katika maisha yetu wanadamu. Tungependa mapito yapite lakini yasitupitie. Hatuna budi kuyapita ili yatuandae kwa mema yajayo mbele yetu. Mapito, hupita!”
SikilizaTogolani tweet media
Filipino
16
132
467
28.9K
Mo.Mwabumba,PhD retweetledi
SikilizaTogolani
SikilizaTogolani@SikilizaTogolan·
"Nidhamu, bidii na ibada havijawahi kumtupa mkono yoyote aliyevikumbatia katika maisha." ~Togolani Mavura.
SikilizaTogolani tweet media
Indonesia
33
234
969
43.6K
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
Mungu atutetee katika kutafuta kwetu na kuishi kwetu wiki hii. Utupatie, Ee Mungu, roho ya utulivu katikati ya misukosuko ya maisha. Asante.
Indonesia
10
31
177
11K
Mo.Mwabumba,PhD retweetledi
Ladislaus Chang'a
Ladislaus Chang'a@changa601·
The best available science from IPCC indicate that with every additional warming the Frequency and Intensity of climate extremes including heavy rainfall will keep on increasing. Unfortunately this is what we are observing now in East Africa. We need Climate Actions in COP28.
Ladislaus Chang'a tweet media
English
9
9
28
798
Mo.Mwabumba,PhD
Mo.Mwabumba,PhD@mwabbumba·
@SwahiliBible Umeongea vyema Mwalim, inabidi kuyachukulia maji haya tunayoteremshiwa na mungu kuwa neema na si laana, na hapo tutabarikiwa zaidi.
Filipino
0
0
0
30
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
MUNGU anainyeshea nchi maji ili watu wapate maendeleo, siyo ili watu waweke vikao vya kumlaumu Mungu kwa kuleta maji. Mungu alipoumba watu aliweka akili kwenye vichwa vyao ili waweze kutumia maji, jua, na upepo kwa maendeleo yao.
Indonesia
4
30
159
5.7K
Mo.Mwabumba,PhD retweetledi
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Silence is an answer too🤔
Mohammed Dewji MO tweet media
English
1K
445
9.5K
378.7K