5.6K posts

♌ banner
♌

@mwanibese

I'm a Leo and i always find out everything.

Tanzania Katılım Haziran 2016
1.3K Takip Edilen5.2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
♌
@mwanibese·
Usifanye haraka kukasirika kisa tu watu hawajakutendea uliyodhania wengekutendea. Kama jana alikufaa kwa lile hitaji sio lazima leo akufae kwenye hii changamoto📌
Indonesia
9
25
98
0
♌
@mwanibese·
@Sativa255 Sawa mimi wa mfano nitumie vocha kidogo
HT
0
0
2
664
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Mtu anajiita SATIVA huko instagram na kutwa kuomba omba hela, anafuata watu hadi DM anaomba LUKU YA UMEME. Kuna watu KUTEKWA wanajitakia tuu, yani unaona kabisa SATIVA anatafutwa mpaka kafunguliwa Kesi MAHAKAMANI ili apatikane. Afu wewe unaishi kama umekatwa kichwa. Ukichagua kujiita SATIVA kubali kuishi kama KIVULI ambacho hakisikii njaa wala uhitaji wa chochote zaidi ya HAKI. Ukitanguliza njaa kwenye HARAKATI unaokotwa kama Kuku. Mimi nisingefika leo kama ningekuwa kutwa naomba Michango yenu sijui , luku, NJAA ndio inafanya WATEKAJI wakamilishe zoezi lao kiwepesi sana. Ukiishinda NJAA watekaji NI WACHUMBA TUU kama ninavyomuona MAFWELE. TUTAKUWEPO🫵😎
Indonesia
40
132
1.4K
38K
♌ retweetledi
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Usijiaminishe kwa yeyote yule kutokana na upole wake hadi utakapo muona kwenye mambo matatu, Utakapo patwa na tatzo, Atakapo pata kipato, Utakapotokea ugomvi baina yenu. Good morning +255🇹🇿
kasesco☆ tweet media
Filipino
48
67
132
6.7K
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Ukiambiwa urudiane na ex wako au jela mwaka mmoja utachagua nn??😀😀😀👇🏻
Polski
38
9
129
9.7K
♌
@mwanibese·
Mnaona mnavyo angaika na maji eeh?? Basi sisi huku kijijini kwetu tuna miaka hatujui mabomba ni kama mtu ana uwezo achimbe kisima chake
Indonesia
0
0
0
113
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Ukiacha mizigo mikubwa kama Fridges, kwa sasa huna haha ya kuja Kariakoo kununua bidhaa. Kwa bidhaa za Electronics ukinunua nakufanyia delivery BURE, nakuletea Hadi mlangoni kwako. Kwa wakazi wa Dar es Salaam TU 😂
Indonesia
21
32
331
9.9K
♌ retweetledi
Nathan Paul Jr
Nathan Paul Jr@Fikra_pevu·
Pumzi pekee ikipotea ndio hairudi, Ila hizi ups and down kwenye maisha zipo, Tumeshapoteza vitu vingi ILA kwa mapenzi ya MUNGU tunaishi na tunafuraha Kwa mapenzi ya MUNGU tunafutwa machozi tunapata zaidi ya tulivyopoteza Ishi sasa maisha ni zawadi kutoka kwa MUNGU
Filipino
8
78
297
5.7K
♌ retweetledi
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Ndugu wana Daresalaam kuhusu shida y maji, tujitahidi kulinda amani yetu!! Amani ni bora kuliko maji😁😁😁
Indonesia
105
310
2.7K
48.3K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Mlinzi wangu Maasai anachukua TAKE HOME- 500k tarehe 25 ya kila mwez… Anakula Milo MITANO kila siku- chakula tunachopika nyumbani … Ana chumba chake cha kulala master bedroom NA AC ndani… Vocha nampa elfu 80 kila mwezi na bado kuna WI-FI ya nyumban Bure… Kila Baada ya miezi mitatu nampa nauli na full shopping ya kwenda nyumban kwao Arusha kuona familia yak3- wiki moja.. Nmemkatia BIma yeye pamoja na mkewe na watoto… Kuna CCTV CAMERA kila sehem … bado kuna Electric Fence… na Kengele getini… Kwa Nini Asinenepe??
Nchi ya Kusadikika@QuadratEquation

@EsirEid Huyu Mmnasai kweliiiii Mmasai gani kanenepa hiviiiii

Filipino
86
36
438
28.7K
♌ retweetledi
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Godbless Lema ni tatizo.
Filipino
36
178
872
33.5K
♌ retweetledi
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Tunataka Wasaniii watoke wakemee kwamba Mauwaji yaliyofanywa na serikali hayafai na Walio husika wanapaswa Kuwajibishwa Wasanii wote watoe kauli za Namna hiyo hapo ndo tutaongea lugha moja Tofauti na hapo kila mtu afanye kazi Repost 890
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
Filipino
36
199
769
28.6K
♌ retweetledi
mwaisa_mtumbad
mwaisa_mtumbad@Nyonyoma1·
Wananchi pia tuna haki ya kuchagua upande kama tusikilize ngoma za Zimbabwe, Bongo ,Nigeria au South😁kwamfano saahizi tuko upande wa Zimbabwe tunasikiliza zetu Makombolelo ... Acheni kuonea wivu wasanii wa Zimbabwe 👊acheni Uvivu fanyeni kazi...
Indonesia
47
179
1.2K
20.8K
♌ retweetledi
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Kwani wasanii wa bongo wamekosea nini wananchi ??
Malkia Nyuki 👑 tweet media
Indonesia
104
37
472
31.1K
♌ retweetledi
LYKER 🌴
LYKER 🌴@Paullyker·
Muda ukifika badi utapata kile ulichostahili usiwaze, Usiumie wala kulalamika Muamini Mungu tu ndiye anayetoa Kwa Kila Mtu.
Indonesia
20
45
132
2.4K
♌
@mwanibese·
@Roma_Mkatoliki Amini kua hayo ni maandamano yenye nguvu mno kiuchumi maana hakuna anae uza wala.
Filipino
1
1
3
637
♌ retweetledi
MβÊYΛβǾY
MβÊYΛβǾY@FrankLawi08·
Mara paaap Makamu anasikitika kutangaza……🤔 🤸🏽🤸🏽🤸🏽
Indonesia
57
87
1.5K
80.8K
♌ retweetledi
Katego ladslaus
Katego ladslaus@Kategoladslaus3·
Hapa Ni Maneno Ya Kimara Ndani Ya Jiji La Dar es Salaam, Maandamano Yasiyo Na Kikomo Yameanza. x.com/Rydx_017/statu…
Filipino
91
552
1.5K
36K
♌ retweetledi
Kumbusho Dawson Kagine
Kumbusho Dawson Kagine@KumbushoDawson·
Hii ni Mwanza, Baadaye mje kuanza kusema waandamanaji walikuwa wanafanya fujo. Kuna mtu huwa anasema wananchi hawana hoja, mara wametoka nje ya nchi. Hii ni Tanzania na hawa ni Gen Z. #D9
Indonesia
50
343
1.1K
116.7K
♌ retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Hii ni MWANZA ILEMELA. #D9 Gen Z wapo na mabango yenye jumbe zao. Mlisema vijana wanafuata mkumbo haya soma MABANGO HAYO.
Filipino
104
556
3.2K
117.1K