
Ni rasmi kuwa wanafunzi wanaoendelea na masomo yao katika shule za upili za kitaifa watanza mwaka bila changamoto. Hii ni kufuatia uzinduzi rasmi wa hundi ya Shs. milioni 95,605,722 na Gavana Achani. Fedha hizi zitasambazwa kwa kila Wadi ndani ya @OurKwaleCounty, #WatotoWasome.



Indonesia





































