Salutarious🇹🇿

22.5K posts

Salutarious🇹🇿 banner
Salutarious🇹🇿

Salutarious🇹🇿

@mworombo

|professional in machine tools and maintenance| ||arsenal fc||simba fc||Barcelona fc fan

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2014
1.2K Takip Edilen1.7K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Salutarious🇹🇿
Salutarious🇹🇿@mworombo·
Tukumbuke ya kuwa kazi ni utu, kazi sio fursa ya kupata mshahara kwa manufaa ya familia zetu tu bali ni fursa nzuri ya kutoa mchango kwa taifa lako kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho... Dr. John Pombe Magufuli
Salutarious🇹🇿 tweet media
Indonesia
2
2
10
2.3K
iPhone Used Genuine 
iPhone Used Genuine @iPhone_Usedtz·
Samsung Galaxy A56 256GB|Ram 8GB Black Color Battery 5000 mAh Chipset Exynos 1580 (4 nm)🎭 DualSim with eSim Tsh 850,000/= tzs NB:Mikoani tunatuma malipo Baada ya kupokea Free Charge, Cover & Protector 📖 Exchange & Top up allowed 📞/Whatsapp 0683678977 KINDLY REPOST 🌺🌷💕
iPhone Used Genuine  tweet mediaiPhone Used Genuine  tweet mediaiPhone Used Genuine  tweet media
English
4
9
37
6K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Meena Ally 🎤 Kwahiyo Alikamwe lengo la post yako ilikua kuni attack na kutaka kuharibu career yangu. Alikamwe 🎤 Kwani wewe kuna sehemu nilikutag kua sio mwandishi mzuri? . Unajua kuna kitu unatakiwa kukielewa kwenye haya mambo ya uSimba na uYanga ukijihusisha nayo ukifanya jambo kwa simba pressure ya watu watakaokushangilia na presha ile ile ya watu wa Yanga watakuzomea na ile post ilikua ya kawaida ila naona unataka kuichukua Too emotional " ---------------------------- Kwenye hii interview meena kaongea kwa hisia sana, tunahitaji kuwa inspire wadada kwa wingi maana ni wachache katika hizi career bila kuwabeza, ALIKAMWE ajitafakari pia atoe uyanga na ushabiki
Headboy wa mtaa tweet media
Filipino
49
30
429
54.9K
Salutarious🇹🇿 retweetledi
Comrade KIPEPE
Comrade KIPEPE@KipepeComrade·
@DrCyrilo Unakosea sana daktari. Kuna vitu vinaitwa "priorities". Kama viongozi wa Kenya wa wanauwezo wakufikiri zaidi yetu, iwaje taifa lao halijitoshelezi kwa chakula? Sasa ni 25yrs serikali ya Kenya haina uwezo wa ku-finance project hata ya $100M🚮
Indonesia
7
1
4
665
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Thread 🧵 Hii EXCAVATOR Ina Urefu Wa Mita 11 Na Upana Wa Mita 9, Inachota Tani 100 Kwa Mara Moja Uzito Unaotosha Kubeba TEMBO Wa Africa 15 Kwa Mara Moja. Uzito Wake Mzima Ni Tani 800 Engineer Zake Kubwa Mbili Zinameza Mafuta Lita 500 Kwa Saa Moja Siku Moja Tu Ya Kazi….
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Polski
10
5
58
7.2K
Mnigajia
Mnigajia@nicomwaih·
@EsirEid Kombe mnalo ila sio la Uefa Champions League
Indonesia
1
0
0
110
Jeany
Jeany@jeju_julius·
Unaambiwa chagua upewe milioni 10 pekeyako au waepewe milioni 100 ndugu zako wote usipokua wewe?🤷‍♀️
Indonesia
62
21
322
21.3K
Salutarious🇹🇿
Salutarious🇹🇿@mworombo·
@NNgabu_ @rollymsouth swala la tarehe 29 watu waliuwawa sababu ya watu wachache waliopanga kujipatia pesa kmmk japo watu kweli kuna namna walikua wamechoshwa na mambo flan flan
Filipino
0
0
0
135
Salutarious🇹🇿 retweetledi
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
Zile $ 2 million (Shilingi bilioni 5) za Ford Foundation alizokua akizungumzia ndugu @rollymsouth ndio zilienda kwenye shughuli kama hizi. Ndio maana wakina Tito, Mshabaha na Maria Sarungi walimshukia Madenge. Hawakutana taarifa kama hizi ziwarudie.
Nyani Ngabu tweet media
Indonesia
16
29
35
7.4K
Salutarious🇹🇿 retweetledi
Bofrot1cedi
Bofrot1cedi@bofrot1cedi·
South Africa South Africa Maths Team Drinking team
Bofrot1cedi tweet mediaBofrot1cedi tweet media
English
260
1.9K
12.5K
440.9K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Mwakani hii Namba Isogee mpaka 70% Wanetu tupo nyuma sana..,Goodmorning X Fam...✌🏿🔥🤝
Eng.Mapunda Jr tweet media
Filipino
45
40
188
7.9K
Salutarious🇹🇿 retweetledi
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹
watu wa bolivia, kwa wiki tatu mfululizo sasa, wako kwenye mapambano dhidi ya uharamia wa dola lao na mfumo wa uchumi wa kinyonyaji linaouendesha. bolivia ilikuwa nchi ya mfano chini ya rais evo morales kabla vibaraka wa marekani hawajachukua dola na kuirejesha nchi nyuma:
Ollie Vargas@Ollie_Vargas_

This is what Bolivia's highways look like at the moment. Each town & village blocks their stretch, and the union members in each community take turns at the barricades. This is part of the general strike against neoliberalism. Now entering week 3.

Indonesia
4
8
59
5.4K
Isack Mathew Ilamlila
Isack Mathew Ilamlila@IsackIlamlila·
Watu wa Subaru Kunakoelekea Tutawachalaza Viboko hzo SJG zenu hakuna inayoweza kufuata hata kwa kidogo LC. 😂😂😂
Isack Mathew Ilamlila tweet mediaIsack Mathew Ilamlila tweet media
Indonesia
16
22
83
7K
Lissu ni Mhaini
Lissu ni Mhaini@Dunguboy1·
LEMA ANAMILIKI SILAHA Kuna mambo yanafikirisha sana, @godbless_lema anamiliki silha ila sina uhakika na uhalali wake wa kumiliki silaha pia sina uhakika kama ili tumika tarhe 29, maana kuna askari waliuwa kwa Risasi, nadhani tume ya haki jinai itakuja na majibu sahihi katika hil
Lissu ni Mhaini tweet media
Filipino
38
9
42
13.4K
mbwelwa junior
mbwelwa junior@KihongosiUfunuo·
Hawa wazee hawataki nchi iwe na amani wanachochea machafuko yani sjui hiki kizee kinataka nini dah 😭
Indonesia
34
15
106
12K
Salutarious🇹🇿
Salutarious🇹🇿@mworombo·
@AbroadTanzania polepole kipindi cha magufuli aliona Watanzania wote niwatoto wake nakumbuka akichambua report ya CAG kama kuna kosa samia anafanya basi awamu iliopita ndio walio anzisha polepole akiwa kinara
Indonesia
0
0
7
1.3K
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Hakuna kosa Kubwa alifanya Polepole Kama kutoa siri akiwa nchini alafu alikuwa kagusia kurasa 5 tu kati ya 38 alizokuwa anatakiwa kuweka wazi! Alitakiwa awe nje ya Tanzania, Kuna mengi sana
Indonesia
13
73
1K
28.7K
Salutarious🇹🇿 retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Abdul, Pengine mengi yanayosemwa mitandaoni na mitaani dhidi yako si ya kweli. Lakini ikiwa hata asilimia ndogo tu ya yanayosemwa yana ukweli ndani yake, nakusihi uyatafakari kwa makini na kuchukua hatua mapema. Historia inatufundisha kuwa wale wanaoshangilia na kupiga makofi juu yetu leo wanaweza kuwa mashahidi wa kwanza kesho mambo yanapobadilika. Nguvu, umaarufu na ushawishi ni vitu vya muda, havidumu milele. Kumbuka pia kwamba nafasi na mamlaka ya wazazi wetu si ya milele, na wewe bado una safari ndefu sana mbele yako kama kijana. Hekima kubwa ni kujenga heshima, uadilifu na jina jema mapema kabla ya mazingira kubadilika. Mungu huchelewa wakati mwingine, lakini haki yake haipotei. Ikiwa kuna jambo lolote lisilo sahihi, kurekebisha njia mapema ni busara kuliko kusubiri wakati ambao marekebisho yatakuwa magumu zaidi. Huu ni ukumbusho wa KIMUNGU, kwa nia njema. Sijui hata kwa nini nimeandika. Lakini kesho huwa inafika.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
130
327
2.1K
163.5K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Samia akwepa mashizi ya mama yake Magufuli, Wakati alipoingia Madarakani alikuwa anashindwa kwenye kaburi la Magufuli mpaka siku za Nyerere Day amekwenda chato mara 2 Walipo maliza kuchukua alichokuwa anachukua hapo Chato akapotea, kila siku tunawaambia hata nyie urafiki wenu wa mashaka Issue kama hii haiwezi fanya hata kwa wanasiasa hapo kama majirani, kuwe na msima waingie mtini ? msiba wa mama ya mtu uliyechukua madaraka kutoakana na kifo chake? na unatuhumiwa !!
Think Different tweet media
Indonesia
10
33
374
32.3K