Mzee Baba

29.5K posts

Mzee Baba banner
Mzee Baba

Mzee Baba

@mzeefather

Kenya Katılım Şubat 2011
1.2K Takip Edilen2.3K Takipçiler
Mzee Baba retweetledi
Aakash Gupta
Aakash Gupta@aakashgupta·
This is an absolute masterclass from MIT on how to speak
English
34
1.3K
6K
657K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Baada ya Idd Amin Mama kuuwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi Oktoba 39, Lukuvi alismama bungeni na kuongea huu utumbo. Halafu mnasema mie ni heshimu marehemu, nawezaje kuheshimu wauaji..? Mnajua maumivu ambayo tunapitia baada ya Mauaji ya kikatili ya Oktoba 29?
Indonesia
65
182
803
32.1K
Mzee Baba retweetledi
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Ni utunzi wa Nguza. Aliutunga wimbo huu mwaka 1982 na akampatia Kasongo Clyton Mpinda auimbe (Kumbuka primary role ya Nguza Vicking ilikuwa kupiga gitaa ndani ya kundi la Orchestra Du Zaire) Wimbo ukarekodiwa katika studio za RTD So Nguza kuurudia wimbo huu baadae na mtoto wake Papii Kocha halikuwa kosa kwani yeye ndiye mtunzi
Filipino
1
2
2
247
Mzee Baba retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Isimani na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Vangimembe Lukuvi, kilichotokea leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa mshtuko wa Moyo. Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na kusainiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka. Marehemu Lukuvi alikuwa akihudumu kama Mbunge wa Isimani Mkoani Iringa na Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu wa shughuli za Serikali, pamoja na masuala ya watu wenye Ulemavu. Rais Samia ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Familia ya marehemu, Ndugu, Jamaa, Wananchi wa Jimbo la Isimani na Watanzania wote kwa ujumla. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
108
34
584
37.4K
Mzee Baba retweetledi
AFRICAMUSTBEFREE!!!!!!!
AFRICAMUSTBEFREE!!!!!!!@engrICO2015·
Guys bookmark this 👇 u will always need it . How to recover all files , videos etc you deleted from your WhatsApp 10 years ago . Wow this is fantastic !!
English
102
3K
5.8K
245.1K
Odumodu
Odumodu@Odumodu_234·
@TruthWatchDogTZ Mpaka upate gram 5 utakuwa umetumia line karibia 1000, acheni ujinga
Indonesia
1
0
5
47
Truth WatchDog🇹🇿
Truth WatchDog🇹🇿@TruthWatchDogTZ·
🧵Thread (FURSA) Wanangu Mchongo huu hapa, Soma huu uzi uone njia nyepesi ya kujipatia grams za dhahabu na upige pesa ya uhakika kuliko ku bet au kulima Kwenye maisha na mafanikio hakuna atakae kuuliza why una pesa/tajiri bali watakuwa karibu na wewe ku enjoy kwa pesa zako.😎
Truth WatchDog🇹🇿 tweet media
Indonesia
6
23
28
2.8K
Mzee Baba
Mzee Baba@mzeefather·
@nonstopfrale @iam_Mtalicy Bora achubue gari babu uyo sio level ya IST hata kama kuwa humble, safety first, imagine "former CAG dies in a car accident IST"
Filipino
0
0
0
20
Lekule
Lekule@nonstopfrale·
Sema kuna namna hapa vitu haviko sawa, either alikua anatoa sana misaada au gari sio mambo yake ukute yeye ame invest kwenye majumba, maana mshahara wa prof miaka yote hiyo na mshahara wa CAG miaka yote hawezi kukosa hela za kua na li V8 flani kali bila hata ya ufisadi
M A G I R I@Kiganyi_

Nimekutana na CAG Prof Assad na ile gari yake maarufu, Toyota IST nyekundu, mzee mnyenyekevu sana aisee. Na ina namba nyeupe, sijui anaitumia kuingiza hela au? Tukiwa na watumishi wa umma kama prof Assad nchi itafika mbali sana.

Indonesia
7
2
71
16.4K
Mzee Baba retweetledi
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Mambo 5 Mungu anayo kufundisha taratibu : 1. Kusubiri. 2. Kusamehe. 3. Kuacha kiburi. 4. Kumtegemea yeye. 5. Kuamini mchakato. Good Morning.
Indonesia
14
31
100
1.5K
Dr Ihab Suliman
Dr Ihab Suliman@IhabFathiSulima·
Twitter turns 20. Tell me a medical term that starts with T. my colleagues come on.
Dr Ihab Suliman tweet media
English
35
2
14
6.2K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Bendera iliyochanika lakini bado inapepea. Katika sanaa ya kisiasa, bendera iliyoharibika mara nyingi huashiria kuwa kundi au harakati imepitia mashinikizo, migogoro, au mashambulizi ya kisiasa. Bendera bado ipo juu ya mlingoti na inapepea. Hii ni ishara ya ustahimilivu na kuendelea kuwepo. Upepo mkali unaopeperusha bendera. Upepo tunaweza kutafsiri kama nguvu kutoka nje—pressure ya kisiasa, vyombo vya dola, au mazingira magumu ya ushindani wa kisiasa. Kwa mtazamo wa kisiasa, upepo unatafasiriwa kama ishara ya nguvu au shinikizo linalotoka kwa dola au mfumo wa utawala. Mawingu mazito angani. Mawingu katika sanaa mara nyingi hutumika kuonyesha hali ya sintofahamu, mgogoro, au kipindi kigumu. Hivyo anga lenye mawingu linaweza kuwakilisha mazingira ya kisiasa yenye mvutano katika Tanzania, hasa wakati wa ushindani mkali uliopo kati ya CHADEMA na DOLA. Mlingoti mrefu unaoshikilia bendera. Huu unaweza kuashiria msingi wa harakati—yaani wanachama, wafuasi, au misingi ya chama. Hata kama bendera imechanika, mlingoti bado umesimama na umenyooka wima, ikimaanisha kwamba msingi wa harakati bado haujaanguka. Bado upo imara. Kwa kuzingatia harakati nyingi za kisiasa barani Afrika, harakati za wananchi zinapofikia hatua fulani, haziwezi tena kusimamishwa na nguvu tu za dola. CHADEMA imepita maumivu mengi — viongozi kufungwa, mikutano kupigwa marufuku, wanachama kunyanyaswa. Katika historia, harakati zinazozaliwa kutokana na kile wananchi wanachoona kama ukandamizaji mara nyingi huimarika zaidi kadiri shinikizo linapoongezeka. Kila shambulizi kutoka kwa “dola katili” linatafsiriwa kama uthibitisho harakati hiyo ina ukweli unaoogopwa. CHADEMA sasa ni imani. Itikadi ya CHADEMA imejikita ndani ya mioyo ya watu. Kitalaam, taasisi ikishafikia hatua ya kuwa harakati (movement), inakuwa vigumu kuizima kwa kutumia nguvu za dola pekee, kwa sababu huwezi “kufunga” au “kupiga marufuku” fikra. CHADEMA imeshambuliwa sana na dola katili la CCM lakini bado inapepea. CHADEMA ni movement siyo tena chama cha siasa. Dola katili ya MaCCM inatakiwa kuelewa kwamba, CHADEMA ni imani ya watanzania. Hakuna idadi ya vitisho ambayo itawaogopesha. NB; huu ni mtazamo wangu binafsi. Ukweli na usahihi wa kazi hii ya sanaa ni wa mtunzi, @masoudkipanya.
Martin Maranja Masese tweet media
Indonesia
16
128
673
18.2K
Mzee Baba
Mzee Baba@mzeefather·
@IAMartin_ @wizara_afyatz @ChangiaDamuTz Si mkachangie damu wakuu kma mgonjwa wenu kapata Units 12 za damu mnataka areplace nani izo 12? Akitoea mgonjwa mwingine mwenye dharura ya uhitaji wa damu itakuaje?
Indonesia
0
0
0
1
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
. @wizara_afyatz na @changiadamutz Mama mjamzito amejifungua katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala – Amana Regional Referral Hospital. Anapatikana katika wodi No. 09, ambapo katika kipindi hicho cha kujifungua aliongezewa damu chupa 12. Familia ya mama mjamzito, imelipa gharama stahiki za huduma ya kujifungua, baadae wakaletewa gharama ya mzazi huyo kuwekewa damu ambayo wamepewa risiti ya malipo ya damu. Pia, wamelipa malipo yote. Mama aliyejifungua amekuwa discharged (ameruhusiwa kutoka hospitalini), lakini amenyimwa ruhusa ya kuondoka hospitalini hadi alete watu 12 wa kuchangia damu (replacement donation) iliyotumika. Maagizo hayo ya kumzuia mama aliyejifungua yametolewa na Muuguzi Mkuu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala (Amana Regional Referral Hospital), ambaye anapatikana chumba Na. 15 katika hospitali hiyo Je, utaratibu huo ni sahihi kisheria? Kwanini Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala inautumia kama sharti la kumzuia (dention) mgonjwa? Je, kumzuia mgonjwa kuondoka baada ya kuruhusiwa siyo false imprisonment? Kisheria, chini ya Mkataba wa Huduma kwa Mteja na Wizara ya Afya, hospitali hairuhusiwi kumshikilia mgonjwa aliyesharuhusiwa kuondoka (discharged) kwa sababu tu hajapata wachangiaji wa damu wa hiari. Sera hii ililetwa kwa sababu ya tatizo la kihistoria katika hospitali nyingi ambapo wagonjwa au familia zao waliambiwa wapeleke “wachangiaji damu” kabla mgonjwa hajaruhusiwa kuondoka hospitalini. Sera inaweka msimamo: Damu inayochangiwa ni ya hiari na bure. Wagonjwa hawapaswi kulazimishwa kulipa au kuleta wachangiaji kama sharti la kupata huduma ya damu. Hairuhusiwi kuuza au kununua damu. Gharama inayolipwa hospitalini ni vifaa vya maabara, vipimo vya usalama wa damu, uhifadhi wa damu, na huduma ya kuongezewa damu, lakini siyo malipo ya damu yenyewe. Wagonjwa wasibebeshwe mzigo. Kwamba wagonjwa wanatakiwa kuleta wachangiaji wa damu (replacement donors) ndiyo waruhusiwe kuondoka wodini? Je, wakikosekana hao replacement donors? Mgonjwa atashikiliwa kwa muda gani hospitali?
Martin Maranja Masese tweet media
Indonesia
78
164
490
39.5K
Mzee Baba
Mzee Baba@mzeefather·
Nobody is rich enough. Just pray that life doesn’t test you with a problem bigger than your account balance. Always stay humble and kind.
English
0
0
0
5
Mzee Baba
Mzee Baba@mzeefather·
“The married ones want divorce, while the unmarried ones want to get married and be loved. Children want to become adults, while the old want a little more time. The unknown want fame, while the famous want privacy.”
English
0
0
0
21
Mzee Baba retweetledi
UTV Ghana
UTV Ghana@utvghana·
Jehovah’s Witnesses have revised their policy on blood transfusions, allowing members to have their own blood removed, stored, and reinfused during medical procedures. #UTVGhana
English
484
782
2.5K
1.7M
Andrew Moser
Andrew Moser@Andrew_Moser·
@USMC @usairforce Chuck Norris didn't experience death. Today death experienced Chuck Norris.
English
6
57
1.2K
35.3K
U.S. Marines
U.S. Marines@USMC·
Chuck Norris didn't join the Marine Corps...the Marine Corps applied to him. Heaven’s streets have always been guarded by Marines. Today, Chuck Norris reported for duty. We mourn the passing of Chuck Norris, a @usairforce veteran, who also became an honorary Marine in 2007 when awarded the title by then Commandant of the Marine Corps, Gen. James T. Conway. Chuck Norris is one of just over 100 individuals to be awarded the title of Honorary Marine in the entire 250-year history of the Corps. Some missions may require a battalion, but this one just requires an Honorary Marine. #USMCHistory #USMC #SemperFidelis
U.S. Marines tweet mediaU.S. Marines tweet media
English
1.4K
20.7K
127.3K
2.4M