Robin Hood

3.2K posts

Robin Hood

Robin Hood

@nake1006

Bury me where my arrow falls

Honolulu Katılım Şubat 2022
605 Takip Edilen216 Takipçiler
Robin Hood
Robin Hood@nake1006·
@ze_mandevu Tangawizi za same, kumbe ya morogoro wamepaka udongo mwenkundu 😀
Indonesia
0
0
1
47
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Haya machungwa kutoka Tanga, huu mchele kutoka Mbeya. Ongezea utapeli mwingine unaoujua wewe.😂
The mandevu tweet media
Filipino
75
30
323
10K
Robin Hood
Robin Hood@nake1006·
@ze_mandevu Hii ni "Cha Arusha cigarettes 🚬 🌿🍃" mzee! Kumbe majani ya hapo morogoro tu🚮
Filipino
0
0
0
48
JohnDoe
JohnDoe@mad_genius6·
Rev. Christopher Mtikila Mwanaharakati mkubwa wa haki na demokrasia ya vyama vingi. Alipinga sheria za uchaguzi (kama kuwanyima wagombea huru) na alifungua kesi mahakamani. Alikabiliwa na kukamatwa mara kwa mara, kuzuiliwa kwa mikutano na magazeti yake, na kushindwa kusajili chama chake kwa muda mrefu. Alikuwa na msimamo mkali dhidi ya Muungano na masuala ya kitaifa.
JohnDoe tweet media
Indonesia
2
11
31
1K
Robin Hood
Robin Hood@nake1006·
@kalage_jr Dar yote ni uswahilini mitaa inafatana Buguruni, vingunguti, kiwalani, yombo, unenda tandika, temeke, msasani, mbagala, Ukirudi tabata mabibo , kigogo, mburahati, mazense tandale, mwanayamala yote
Filipino
2
0
4
499
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Sidhani kama kuna sehemu yenye maisha ya uswahili hapa Dar es Salaam zaidi ya vingunguti😂
Indonesia
43
17
267
41.4K
Robin Hood
Robin Hood@nake1006·
@zoetjesheeftX Ukitaka ukoleze zaidi ongezea sema, kwanza ni ana kadi ya CCM na hamna Cha kumfanya
Indonesia
0
0
1
407
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Ukienda kumripoti mtu kituo cha polisi, usisahahu kusema "Alisema haogopi , hata kama kituo kizima cha polisi kitakuja" "Pia kasema polisi ni kama chumbani kwake akiingia jioni, asubuhi anatoka" 🫈🫈🫈
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
42
41
663
42.1K
MRENO⛑️
MRENO⛑️@mreno255·
#ARUSHA Pichani ni ndugu na marafiki wawili wamepotea katika mazingira ya kutatanisha. Majina yao ni Karen Mark Didas (23) na Nakivona Toroka (22).Siku ya tukio tarehe 20 Juni 2025, Nakivona alimsindikiza Karen @bananafarmecohostel iliyopo maeneo ya Shangarai Arusha..👇🏿
MRENO⛑️ tweet media
Indonesia
15
28
209
29.2K
Robin Hood
Robin Hood@nake1006·
@Gaspinho15 Safi kuna mshikaji nmekutana naye kavaa shat kama lako nikajua ni wewe
Indonesia
0
0
0
93
𝐓𝐡𝐞 𝐇𝐢𝐦.
Hivi ukitaka kumwambia rafiki Yako Kuwa anapenda kurudia rudia Hilo shati moja Kila siku kwa Lugha ya kistaarabu Bila yeye kukasirika utamwambiaje???😅
Indonesia
14
5
82
3.4K
Robin Hood
Robin Hood@nake1006·
@Elsukay0 Kuna mtu anasema njaa na msimamo havikai pamoja 😎
Eesti
0
0
0
48
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Wasanii wakifanya kazi na CCM aah wasaliti tusiwasupport ila mkamaria kafanya na kazi na wana CCM wawili Gnako na Vunja bei mnasema anatafuta ugali Sasa mbona hamueleweki nyinyi?
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet mediaEL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
Indonesia
56
37
270
24.2K
BLESSING BARABARA
BLESSING BARABARA@Blesaingthomas·
Hongera Sana Kijana Wa Chama
BLESSING BARABARA tweet media
Indonesia
2
31
237
2.3K
Robin Hood
Robin Hood@nake1006·
@Psiteshio1 Chekechea na la kwanza ilikuwa mwsho saa4, wengne mwsho saa8
HT
0
0
1
236
P'site Shio
P'site Shio@Psiteshio1·
Nashangaa mwanafunzi primary anaenda shule saa 12 asubuhi anarudi saa kumi na moja jioni anasoma nini?
Filipino
35
18
260
12.2K
Robin Hood retweetledi
Mo!
Mo!@Mohamed_8880·
@nake1006 @Therealngassa Sio kweli mkuu, nipo eastern Europe Leo ni wiki ya tatu hii. Mbona kupo peace tu. Na nimetembea night na kupita mitaa ya Wana hususan Budapest ila kujaribu kuona hii myth kama ni kweli. Europe kupo poa tu, tusihadaliwe na Movies
Indonesia
0
1
1
85
Celsius Ulanda
Celsius Ulanda@Celsius015·
Nani aliemwambiaga Gharib mzinga kwamba utangazaji ni Darasa la history 😂😂
Indonesia
30
39
589
25.8K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
‘Imekuaje JWTZ lilikuwemo mule na nchi haijatangaza hali ya hatari?’ Luteni Jenerali Mstaafu Paul Meela ambaye pia ni Mjumbe wa Tume iliyoundwa na Rais kuchunguza matukio ya Oktoba 29 ametoa ufafanua wa hoja zilizokuwa zikiulizwa juu ya ushiriki wa JWTZ kwenye kukabiliana na matukio ya Oktoba 29, 2025 ilihali haikutangazwa hali ya hatari. Lt. Jenerali Meela ameyasema hayo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Indonesia
34
40
245
42.7K
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Hivi demu mpaka anafikia hatua ya kukuuliza kama unaangaliaga chudai anakuwa amekuchukuliaje🤔
Indonesia
24
23
93
5.4K
Big
Big@Zephania_Ndaki·
@nake1006 Noma kaka watu wanaweza dhani ni utani
Indonesia
1
0
0
256
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Miaka inasonga aseee, Mara hii tu jamaa kashazeeka🙌
Djkid_b_____ tweet media
Eesti
25
17
205
16.6K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Licha ya kuongoza kura za Maoni katika Mchakato wa Uchaguzi wa Ubunge, Jimbo la Isimani (Mkoa wa Iringa), Kamati Kuu ya CCM, imemuweka kando Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama @fred_vunjabei na kumteua Emmanuela Kaganda Mtafikolo kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Isimani Mkoani Iringa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Katibu Wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo Kenani Laban Kihongosi, imesema kuwa kwa kuzingatia mamlaka iliyopewa chini ya Ibara ya 105 (7)(f) ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977 Toleo la Julai 2025, Kamati Kuu imefanya uteuzi wa mgombea waCCM kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Isimani, lililopo wilaya ya Iringa Vijijini ambapo Mgombea aliyeteuliwa ni Emmanuela Kaganda MTAFIKOLO. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
65
19
599
74.1K