Ndadeba David retweetledi
Ndadeba David
1.4K posts

Ndadeba David
@ndadeba
wife, loving mom and independent women alsop beautiful woman inside and outside
Mwanza city center Katılım Haziran 2015
603 Takip Edilen78 Takipçiler
Ndadeba David retweetledi
Ndadeba David retweetledi
Ndadeba David retweetledi

@fatma_karume Shangazi wewe ni board member wa Centre for Strategic Litigation, June mwaka jana mlipewa USD 306,000 sawa na 900M na Ford Foundation ambazo zinapaswa kutumika hadi August 2026.
Mind if you can tell us mmetumiaje hizo pesa na kwa malengo gani hadi mkapewa hayo mamilioni ?


Indonesia
Ndadeba David retweetledi

@Kamali_assad @Phbhimself Huo ndio mfumo wanaoutumia Wa kuomba na kupiga kura itakaye mwangukia anakuwa Papa
Filipino

@Phbhimself Haya maneno na hivi vitendo vinapatikana katika sura gan aya ya ngap katika biblia au ni mambo ya kidunia
Indonesia

Kardinali wa Ufaransa, Dominique Mamberti, ameteuliwa kuwa Protodeacon.
Kwa heshima hiyo, atakuwa na jukumu la kipekee na la kihistoria, kutangaza kwa ulimwengu maneno maarufu "Habemus Papam!" yaani, “Tunaye Papa!”
Lakini nafasi hii si ya kawaida.
Hii ni nafasi inayobeba heshima kubwa, inayochukua jukumu la kutangaza kwa ulimwengu wakati Kanisa Katoliki linapopata Baba Mtakatifu mpya.
Ndio, Dominique Mamberti ndiye atakayesimama mbele ya dunia nzima, kwenye kile kilele cha jukwaa maarufu la Kanisa la Mtakatifu Petro.
Akiwa amevaa vazi lake rasmi la makardinali, uso wake ukiwa na uzito wa majukumu na furaha iliyofichwa.
Na kusema maneno ambayo hutamkwa mara chache sana katika historia.
"Annuntio vobis gaudium magnum, Habemus Papam!" (Nawatangazia furaha kuu, Tunaye Papa!)
Ni maneno ya kale yaliyojaa uzito wa kiroho na kihistoria, maneno yanayoashiria mwisho wa fumbo lililotawala Vatican kwa siku kadhaa fumbo la Conclave.

Filipino

@Kamali_assad @Phbhimself Matendo ya mitume
23 Wakaweka wawili, Yusufu, aitwaye Barsaba, aliyekuwa na jina la pili Yusto, na Mathiya.
24 Kisha wakaomba, wakasema, Wewe, Bwana, ujuaye mioyo ya watu wote, tuonyeshe ni nani uliyemchagua katika hawa wawili,
Filipino
Ndadeba David retweetledi

@kinlop_ Huo ni msalaba wa Mtakatifu Petro Mtume aliyesurubiwa kichwa chini miguu juu, ndio maana unaona katikati pale kuna jogoo yule aliyewika mi ninavyoelewa. Na hacha kuwa na mawazo ya kumpa ukubwa shetani kwani we una shirika naye, izo alama ni zenu pia?
Filipino

“Kanisa katoliki ni ibada” hii ndo tafsri ya haraka utakoyokujia kichwani.
Cult ikiwa na maana hasi, au isiyo sahihi. Ikimaanisha kikundi fulani kinajitenga na imani kali sana.
Je, tunaweza kusema mazishi haya ya Papa ni ya Kishetani? Kutokana na haya mavazi ya kofia? kuekwa chini juu misalaba?
Nadharia ni nyingi juu ya tukio hili, ila huu ndo ukweli.
@kinlop_ Uzi🧵👇🏽


Onyeka Nwelue@onyekanwelue
The Catholic Church is a Cult.
Indonesia
Ndadeba David retweetledi

This is good 💯
Pope Francis wrote this in the Hospital.
“The walls of hospitals have heard more honest prayers than churches...
They have witnessed far more sincere kisses than those in airports...
It is in hospitals that you see a homophobe being saved by a gay doctor.
A privileged doctor saving the life of a beggar...
In intensive care, you see a Jew taking care of a racist...
A police officer and a prisoner in the same room receiving the same care...
A wealthy patient waiting for a liver transplant, ready to receive the organ from a poor donor...
It is in these moments, when the hospital touches the wounds of people, that different worlds intersect according to a divine design. And in this communion of destinies, we realize that alone, we are nothing.
The absolute truth of people, most of the time, only reveals itself in moments of pain or in the real threat of an irreversible loss.
A hospital is a place where human beings remove their masks and show themselves as they truly are, in their purest essence.
This life will pass quickly, so do not waste it fighting with people.
Do not criticize your body too much.
Do not complain excessively.
Do not lose sleep over bills.
Make sure to hug your loved ones.
Do not worry too much about keeping the house spotless.
Material goods must be earned by each person—do not dedicate yourself to accumulating an inheritance.
You are waiting for too much: Christmas, Friday, next year, when you have money, when love arrives, when everything is perfect...
Listen, perfection does not exist.
A human being cannot attain it because we are simply not made to be fulfilled here.
Here, we are given an opportunity to learn.
So, make the most of this trial of life—and do it now.
Respect yourself, respect others. Walk your own path, and let go of the path others have chosen for you.
Respect: do not comment, do not judge, do not interfere.
Love more, forgive more, embrace more, live more intensely!
And leave the rest in the hands of the Creator.”
—Pope Francis

English
Ndadeba David retweetledi
Ndadeba David retweetledi

Tuzame kwenye moja ya mambo ya kuvutia zaidi katika mila za kale na utamaduni wa Kanisa Katoliki, jinsi jeneza la Papa linavyoandaliwa.
Hatua kwa hatua, kwa heshima ya juu kabisa, na kwa mila zilizodumu kwa karne zaidi ya tano.
Stori hii si ya huzuni tu, bali ni mchanganyiko wa imani, heshima, na historia inayovutia.
Katika Kanisa Katoliki, Papa huzikwa ndani ya majeneza matatu, kila moja likiwa na maana yake ya kipekee.
Jeneza la ndani, Lile la Mwangaza wa Imani (Cypress Wood).
Jeneza la kwanza linafanywa kwa mti wa cypress, mti wa kale ambao tangu enzi za Warumi umehusishwa na maisha ya milele.
Hili ndilo jeneza ambalo mwili wa Papa huwekwa moja kwa moja, likiwa na uzuri wa unyenyekevu usio na mapambo makubwa.
Jeneza hili huwakilisha maisha ya kiroho, unyenyekevu, na ukaribu na watu wa kawaida, sifa zilizomtofautisha Papa Francis.

Indonesia
Ndadeba David retweetledi

Usiku wa tarehe 25 Aprili, mwaka 2025, historia ya Kanisa Katoliki itaandika ukurasa mzito, ule wa heshima ya mwisho kwa Papa Francis.
Baba Mtakatifu aliyegusa mioyo ya wengi kwa upole, busara, na upendo kwa walio kata tamaa.
Katika tukio la kipekee litakalofanyika katika ukumbi wa Vatican, Kadinali Kevin Farrell, mtu aliyepewa hadhi ya kipekee ya Camerlengo.
Atasimama mbele ya dunia kuongoza moja ya ibada takatifu na za kihistoria zaidi katika maisha ya Kanisa , ibada ya kufunga rasmi na kufunika jeneza la Papa Francis.
Kadinali Farrell si jina geni kwa wale wanaoifuatilia Vatican kwa karibu.
Alizaliwa nchini Ireland mwaka 1947, na baadaye akahamia Marekani ambako alihudumu kama Askofu wa Dallas, kabla ya kuteuliwa kuwa Kardinali na kisha kupewa dhamana nyeti kama Prefekti wa Dikasteri ya Walei.
Familia na Maisha, chombo muhimu kinachoshughulika na masuala ya familia, ndoa, na maisha ya kiroho ya waumini.
Lakini zaidi ya hayo, mwaka 2019, Papa Francis mwenyewe alimpa cheo cha heshima na wajibu mkubwa, Camerlengo wa Kanisa Katoliki.

Filipino
Ndadeba David retweetledi
Ndadeba David retweetledi

Ziara ya Papa Francis nchini Sudan Kusini, ziara iliyoshtua dunia kwa ishara ya unyenyekevu isiyo ya kawaida.
Mwaka ulikuwa 2019, mwezi wa Aprili. Dunia ilitazama kwa mshangao, huku historia ikijifungua polepole mbele ya macho ya ulimwengu.
Sudan Kusini, taifa changa zaidi duniani, lilikuwa limegubikwa na giza la vita vya wenyewe kwa wenyewe, chuki za kikabila na mateso ya wananchi waliokuwa wakikimbia makwao kila siku.
Katika hali hiyo ya sintofahamu, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, alifanya jambo ambalo lilitikisa siasa, dini, na misingi ya ubinadamu.
Alifanya ziara ya kidiplomasia na kiroho katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, akiwa na ujumbe mmoja.
“Amani ni zawadi kutoka kwa Mungu, lakini lazima tuitafute kwa bidii ya binadamu.”
Lakini tukio kubwa zaidi lilikuja Vatican, siku chache baada ya ziara hiyo nchini Sudan Kusini, wakati ambapo viongozi wa kisiasa wa nchi hiyo.
Rais Salva Kiir na mpinzani wake wa muda mrefu, Riek Machar, waliitwa kuja Vatican kwa mazungumzo ya amani.

Indonesia

















