Rouhan Isa
7.2K posts

Rouhan Isa
@IsaRouhan13797
أنا لا أخاف من ضجيج الناس، أنا أعرف من أين أتيت.✨
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Nisan 2025
2.8K Takip Edilen505 Takipçiler

% kubwa ya hizi mbanga unakuta mtu Hana hela hajiwezi, ana fake life ila anafundiaha watu kutajirika kupitia kitu ambacho yeye mwenyewe hakijamtajirisha.!! 😂
Adamoo@Addy_Adams
90% forex wa Kibongo matapeli tapeli,,, nilikua na mpangaji huyo muda wote anajifungia ndani na simu hazipatikani hadi akutafute mwenyewe… Sebuleni Tv2 kubwa kwenye meza Laptop 3 kumbe alikua busy anawapiga Mazoba wenye tamaa na hela za kuDownload 😆😆😆
Indonesia

Sikujui hunijui ila Nakushauri USIOE Matarra
Kama unataka kuchapa nitakuletea mademu, ukitaka wa kuzaa nae kwa mkataba nitakuletea.
Nisingependa uumie kwa mara ya pili
Wako katika kuingilia mambo yako,
Gaby wa Dubai kibarazani🙏🏾
JAPHET MATARRA@Eng_Matarra
Mwaka huu nitaoa tena Hebu tuseme inshallah🙏 Najua sitafungwa jela tena, ila akija kuondoka huyu sitarudia kuoa tena.
Indonesia

Ukumbusho ni zawadi majuto ni adhabu chagua kusikiliza mapema kabla hujalazimika kujilaumu baadaye
MR BEN@Eric__Bernard
@EsirEid Nashangaa wanaotafsiri hii kama Masimango. Mhusika anapikwa kwa Tweets zake mwenyewe ambazo aliwahi kuandika humu ndani kuhusu watu wengine. Hakuna anayemsimanga ni kumkumbusha Tweets zake tu.!
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Mimi nitafukua Makaburi… na MSAADA NITATOA…
Umekua miongoni mwa watu walionipiga Spana kwa kuwasaidia watu Mitandaoni ila leo mm nakutumia Hela mtandaoni na wewe unaomba Msaada mtandaoni kama walivyoomba wale uliokua unawaponda!
Sina Beef na wewe… tunaweka kumbukumbu sawa!
Kama jinsi nlivyowasaidia wale na Leo tunakusaidia wewe… ila ingekua bora kama ungeweka Bill nzima hapa- ili tujue tunachanga kiasi gani!
Mtu anaweza toa laki 5 kumbe bill ni laki 2 au mtu akatoa elfu 50 akajua amemaliza kumbe bill ni milion 5.
UGUA POLE Bro… MWENYEZI MUNGU AKUPONYE na Akujaalie uwe na AFYA NJEMA🙏🏽
Binafsi nipo tayari kwa mchango mwingine- ukiweka taarifa zako sawa!

Filipino

@EsirEid Ukumbusho ni bora kuliko majuto unakupa nafasi ya kurekebisha mapema maana majuto hayabadili chochote zaidi ya kukutesa moyoni
Indonesia

@fintanjr_ Hakuna mwanamke alie salama kwa sasa labda mama zetu tu
Indonesia












