Neckae

1.4K posts

Neckae banner
Neckae

Neckae

@neckae

Entrepreneur

Katılım Kasım 2011
456 Takip Edilen107 Takipçiler
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Mpo serious kabisa baadhi yenu mnategemea Burnley atafanya kitu leo ? Tafuteni movies/ series za kuangalia kuliko kujipa stress zisizo na maana 😀
Indonesia
72
51
739
14.7K
Neckae
Neckae@neckae·
Good lad
English
0
0
0
20
Neckae
Neckae@neckae·
@fbuyobe This veeery unnecessary from you. Mambo ni mengi, some of us are just observing for the time being ila unakwepa mambo ya msingi raised, inatia mashaka.
English
0
0
0
1.4K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Hooh! Sikuona hii. Nimeicopy hii brindly kutoka kwa mtoa maoni hapa hapa mtandaoni nikiamini ameisafisha risiti ionekane vizuri. Kumbe mtoa maoni alikuwa maeshafanya hizo edition za kupachika jina langu. Asante F1 ibaki kuwa risiti sahii na F2 ni risiti iliyotengenezwa na mtumiaji mtandao huu kwa AI Mwenye kutoa utata wa hii transition ni mhusika pekee
Fortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet media
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania

Ina maana hizi receipts zinakuwa edited edited ? Zote nimezotoa kwa TL yako @fbuyobe Kwanini kuna mkanganyiko kwenye Depositor Uloweka ya kwanza DEPOSITOR alikuwa MSHABAHA MSHABAHA Ya Pili FORTUNATUS BUYOBE Lakin zote zinaelezea Transaction moja ? Ukiwa unavua samaki kwenye Ule mtego ukitingisha Kidogo tu SAMAKI ukimbia, JE YA KWELI NI IPI ??

Indonesia
54
6
93
49.2K
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
@INFLUENCERjr Nimekuja kugundua ni biashara ya chain kubwa sana ya watu wanajipatia pesa so kumbe ile short cut niliyokuwa nafanya kuwarahishia vijana kuwasiliana na waajiri moja kwa moja kwao ni kuwakosesha pesa Mwanangu nilikuwa nafanya kwa mapenzi ngoja niendelee na majukumu yangu
Indonesia
3
1
48
1.7K
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
SITOPOST Ajira zilizopo📍Dubai kuanzia sasa ni kosa kisheria nimejulishwa DM Vijana mnaojitafuta apologies your on your own kuanzia sasa🙏 nilikuwa nafanya kwa mapenzi wengine wapate lakini imekuwa tofauti AGENTS walio bongo kila kukicha wananipomoreshea vitisho & matusi DM
Filipino
92
82
731
36K
Neckae
Neckae@neckae·
@JosephC85099765 @Sativa255 @fbuyobe Kwenye kujiteka I doubt that. Possibly alikuwa compromised baada ya kutoka kule. Atumike kama chambo kunasa wengine in exchange of his freedom. Maybe.
Filipino
0
0
3
117
Joseph Chacha
Joseph Chacha@JosephC85099765·
@Sativa255 @fbuyobe @fbuyobe hana come back hapo, Buyobe ni kibaka wa Mafwele, ni mtekaji mzoefu. Alijiteka kuzuga raia ili apate huruma na kuaminiwa na wahanga wa utekaji ili awalengeshe kwa Mafwele. Huyo muuwaji, anapaswa kuunganishwa na Azizi huko Shimo La Tewa. Hii report wapewe Police Kenya.
Indonesia
1
3
55
2.5K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Uzi wa HILD umeeleweka sana. Tunachotaka sasa @fbuyobe atupe majibu ya upande wake-wote tunajua uwezo wake wa kuandika. Kama tulivyosoma uzi wa hilda na wa BUY0BE tutasoma.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
49
157
1.4K
41K
Neckae
Neckae@neckae·
@seveaugustus @mhdhamad Ingekuwa wewe tayari ushawekwa kati 😅😅 Meseji ya transaction imeingia through number ya kawaida.
Indonesia
3
1
6
431
mhd
mhd@mhdhamad·
Kazi ipo 😂
mhd tweet mediamhd tweet media
Euskara
30
12
241
39.8K
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Inawezekana ni kweli huyu jamaa anachoongea
Indonesia
12
29
147
5K
CyriloLeo
CyriloLeo@leodigardcyrilo·
Msipo ifungia Chadema kufika mwezi wa 12 Nchi nzima itakuwa chadema, nipo Iringa kijijini huku kuna kijana anayoa elimu ya katiba mpya kijiji cha Wenda 🤣
Indonesia
14
106
1.1K
23.1K
Wiseman
Wiseman@Bizydan·
EX-JAJI WARIOBA NI SEHEMU YA MPANGO WA MAPINDUZI YA OCT 29. Mzee Joseph Warioba,Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ananikumbusha "story" ya Waziri Mkuu wa zamani wa Nchi ya Burundi,Mh. Generali Alain Bunyoni ambaye alishiriki kuunda na kutekeleza njama za kutaka kumpindua Rais wa sasa wa Nchi ya Burundi,Mh Evarist Ndayshimiye. Haya sio mambo mageni kwa viongozi wengi wa bara la Afrika,yalikuwepo na yataendelea kuwepo. Upo ushahidi wa wazi kabisa kuwa,Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mzee JAJI mstaafu Sinde Warioba alikuwa sehemu ya waratibu wakuu wa mpango wa kuipindua Serikali ya Tanzania wa Oct 29. Kupatikana kwa taarifa hii sio tu kwamba kunastua anga la siasa la Tanzania lakini PIA kuhoji maswali magumu kuhusu nafasi ya Viongozi wakuu wastaafu katika ulinzi wa Amani na Usalama wa Taifa hili. Kwa kutambua hilo,☝🏽☝🏽Jaji Warioba ameungana na waratibu wengine wa Mapinduzi ya Oct 29 kuipinga(I)Tume ya Taifa ya Uchaguzi(II)Ripoti ya Tume ya Jaji Mkuu Mstaafu Mzee Chande na(III) kukataa pendekezo la kuundwa kwa tume ya KIJINAI kuwahoji wahusika wakuu wa mapinduzi yale. Jaji Warioba anafahamu kabisa kuwa ni lazima Tume hiyo itamwita na kumuhoji ushiriki wake kutokana na uwepo wa vikao vingi vya SIRI na Uongozi wa Juu wa Chadema Kabla ya Uchaguzi Mkuu akiwemo Mwenyekiti Tundu Lissu ambaye anashitakiwa kwa kesi ya UHAINI. Jaji Mstaafu Sinde Warioba kwa kutambua hilo☝🏽☝🏽ni kama kapigwa na "UBARIDI" na sasa kwa kushirikiana na Generali Ulimwengu ambaye mara kadhaa ameshiriki katika kamati mbalimbali za Chadema ikiwemo ile kamati iliyokutana na Mh Rais Mstaafu wa Malawi Lazarius Chakwera mwezi jana, ameanza kuratibu shutuma za Uongo dhidi ya👇🏽👇🏽 Ripoti ya Tume ya Jaji Chande,dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi na dhidi ya Mh Rais Samia Suluhu Hassan. Mpango huo maalum wa Chadema na "wadau" wao ulianza juzi baada ya Generali Ulimwengu kuandaa MAHOJIANO ya "mchongo" na Jaji Warioba wakitoa shutuma nzito ambazo kwa mtu mwenye hadhi ya Waziri Mkuu Mstaafu,mtu mwenye hadhi ya Jaji wa Mahakama Kuu na Wakili ni ngumu kuzitoa bila kuwa na ushahidi wa wazi. Mpango huu ☝🏽☝🏽wa Jaji Mstaafu Sinde Warioba na Mzee Generali ulimwengu unaenda sambamba na kuanza kwa mikutano ya hadhara ya Chadema Nchi nzima,pamoja na mradi wa kusambaza UONGO mitandaoni dhidi ya Mh Rais ambao nao umeanza sambamba na miradi hiyo mingine ya Chadema. Ni hatari kwa Jaji Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu wa Nchi kuutangazia Umma kwamba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ilipiga kura yenyewe na badae kumtangaza mshindi.Kauli hii inaleta sintofahamu kubwa ndani ya Taifa. Mh Rais hapaswi kukatishwa tamaa kuelelea kuundwa kwa Tume ya kuchunguza JINAI ya Oct 29 na kwa ushauri nadhani Mh Rais anapaswa kuitangaza Tume hiyo haraka. Kila mtu lazima avune alichopanda. #MustakabaliWaAmani #TumeYaUchunguziReport Ukweli Wa Ripoti
Indonesia
52
10
16
30K
chalkboard teacher
chalkboard teacher@justyfromNorth·
@zittokabwe Mbona sioni ukizungumzia athari za kinu Cha mafuta hayo kwenye mazingira?lakini pia kununua mafuta Mombasa apo kuleta tz si rahisi zaidi kuliko kwenda middle east na India uko?
Filipino
18
0
7
3.3K
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Mradi wa EACOP unasafirisha mafuta ghafi kwenda masoko ya duniani. Dangote anaweza kuyanunua mafuta hayo na kuyasafisha popote atakapo. Kaamua kuwa Afrika isiuze tena mafuta ghafi bali yeye ashirikiane na nchi zetu hayo mafuta ghafi yawe safi hapo Tanga. Hamtaki! Sasa atayanunua hayo hayo mafuta yenu ghafi atayashusha Mombasa, atayasafisha na mtanunua petroli, dizeli, mafuta ya taa na mafuta ya ndege kutoka Mombasa. Mtanunua mbolea ya UREA, Salfa ya Korosho na lami kutoka Mombasa!
cousin 420@420Cousin

Alaaaa Watu hawajui na wanachanganya mradi wa Hoima crude na biashara ya Dangote. Hivi ni vitu viwili tofauti kimkakati kabisa. Hoima crude ni resource ya Uganda na njia yake kubwa tayari imefungwa kupitia EACOP kwenda Tanga kwa soko la nje. Dangote refinery ni biashara binafsi ya usafishaji na usambazaji unaotafuta crude supply, fursa za masoko na uwezeshwaji Afrika Mashariki. kifupi Aliko kanusa fursa EAC watu wapo desperate washaanza kubabaika. Si kwamba Dangote ndiye anakuja kuokoa mradi wa Hoima au ndiye owner wa crude ya Uganda hapana. Uganda na Tanzania tayari walishafanya maamuzi yao ya kimkakati kuhusu Bomba la mafuta. Njia ya usafirishaji, pamoja na malengo ya mbeleni kuhusu refinery pamoja na nani wa kushirikiana naye. Mnapaswa kuelewa kenya kuwa na refinery hakubadilishi moja kwa moja control ya Hoima crude wala haifuti strategic advantage ya bomba la mafuta kupita Tanga. Wacha inyeshe tuone panapo vuja 😂😂😂

Filipino
33
45
252
31.8K
Neckae
Neckae@neckae·
@shaks_prince @IAmJogoo Women are loyal to their feelings and not our sacrifices. Mwamba amejifunza the hard way
English
0
0
0
59
Shakur Faith
Shakur Faith@shaks_prince·
@IAmJogoo Daah, mkeka mda wowote unaweza kuchanika. Ila 5 years? Hakumbuki chochote jamaa alicho sacrifice? Aisee🙌🏽
Kenya 🇰🇪 Indonesia
9
0
7
2.4K
Shakur Faith
Shakur Faith@shaks_prince·
Huwa sipendi kuongelea hii mada, ila leo acha tu nijue nini hasa sababu ya haya mambo. Jana muuza viatu mwenzangu kidogo achukue sheria mkononi. Long story short, alimchukua single maza na mwanae wa miezi 8. Kaishi nae na majukumu yote hadi chalii now ana miaka MITANO. 👇🏽
Kenya 🇰🇪 Filipino
173
107
670
57.6K
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Mkuu @TitoMagoti tarehe 12 June, Neema Gospel tutakua na ibada inayoitwa Grateful itakua ni kuimba mwaa mwee Kama admin nimekuona wewe ni mdau wetu mkubwa sana kule IG, naomba nikupe mwaliko Kama upo nje ya nchi tarehe hiyo sasa ufanye utaratibu uwepo
Indonesia
33
13
335
28.8K
MANTRA
MANTRA@the_ursurper·
@chapo255 Anything law related inadepend muhusika ana hela kiasi gani,upande wenye pesa zaidi ndio utakaoshinda
Filipino
1
0
1
626