Joseph Chacha

1.6K posts

Joseph Chacha

Joseph Chacha

@JosephC85099765

Stockholm, Sweden Katılım Eylül 2017
265 Takip Edilen813 Takipçiler
Joseph Chacha retweetledi
Joseph Chacha
Joseph Chacha@JosephC85099765·
@AbroadTanzania Kama Makonda anaiba Billion 230 za kujenga uwanja Arusha huyu sponsor ana makosa gani kuiba Billion 1 tu za kuchapisha kofia? Huyu mie naona ni mzalendo sababu kajenga Ilala, akina Makonda, Abduli, Mbowe etc wanaiba wanaenda jenga Dubai au Cape Town.
Indonesia
0
0
2
71
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
CCM hana rafiki, anakula watoto wake, anakula watoto wa majirani, na anakula na wa ndugu zake pia. Kiufupi CCM ni chama kinachonuka damu. Ila pia na Huyu kofia ulitaka uuze kwa 800K yaan kofia moja sawa tunazo kofia tunazonunua classic hapa kofia moja ni 150,000 we unataka kofia kuuza 800K Kwakweli hii ni CHAma Ya MUPINDUZI
Indonesia
9
4
29
2K
Joseph Chacha
Joseph Chacha@JosephC85099765·
@TayanahTibs @mwigulunchemba1 alisema maiti zinazo okotwa kwenye viroba ni za wakimbizi wa Somalia. James Temba, Chalamila katupa mwili wake Mto Msimbazi bila kichwa, Super Sammy mlie tupa mwili kule Mto Rubana nao ni wakimbizi wasio na haki ya kuishi Tanganyika? Jaji Chande achunguze?
Joseph Chacha tweet mediaJoseph Chacha tweet media
Indonesia
0
0
0
46
Svetlana (Tayanah) Tibenda
Diversion ya Derby tulihitaji. Haya sasa, Turudi kwenye mambo ya msingi. Hivi statement unadhani ndio poa? Nani kamuua ndugu yetu na kukata kichea kabisa? Kwa nini? Lini tutaona upelelezi ukikamilika? Miaka mingapi sasa maiti zinavuliwa na hatujaona ukamilishi wa upelelezi?
Indonesia
1
1
4
321
Joseph Chacha
Joseph Chacha@JosephC85099765·
@Baradhuli2 Ndio, ngochiro tukubali Ninja alitekwa na Chalamila kwa kufanya uhalifu mbali mbali. James Temba alifanya uhalifu gani wa kuchinjwa na Chalamila?
Joseph Chacha tweet mediaJoseph Chacha tweet mediaJoseph Chacha tweet mediaJoseph Chacha tweet media
Indonesia
0
0
0
27
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Kumbe jamaa ni muhalifu mkubwa tu.
BARADHULI tweet media
Filipino
21
16
63
8.4K
Joseph Chacha
Joseph Chacha@JosephC85099765·
@PMadeleka Mpongeze pia RC- Chalamila kwa kukiri kumteka Ninja @Ninja_Damour, Afande Nyundo kaujulisha umma kuwa yeye ndio yuko nae Changómbe.
Joseph Chacha tweet media
Filipino
0
0
1
57
Joseph Chacha
Joseph Chacha@JosephC85099765·
@TitoMagoti Chalamila alitoa maiti ya Temba bila kichwa ili kutishia ngochiro. Document uharamia wao wote! Ni lazima watawajibika kwa utekaji, mauaji, ubakaji, ufiraji wa akina Afande Nyundo.
Joseph Chacha tweet mediaJoseph Chacha tweet mediaJoseph Chacha tweet mediaJoseph Chacha tweet media
Indonesia
0
0
0
18
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
WATEKAJI WA NINJA WAMEJULIKANA. Kwahiyo @tanpol mmekaa na @Ninja_Damour kwa zaidi ya masaa 24, ndugu zake wamezunguka vituo vyote vya Polisi mkakana kwamba sio nyie mliomkamata, saizi ndo mnakubali kwamba mnamshikilia? Ule ni ukamataji wa aina gani, sheria ipi ambayo inaruhusu maofisa wa Polisi kwenda kukamata mtu huku wakiwa wamevaa musk za kufika sura zao na kutumia gari lenye plate number fake? Halafu siku hizi watu wote mnaowateka, mnawapeleka kwenye karakana yenu ya kutesea watu hapo Chang’ombe. Nyie ndo watekaji wenyewe, haya mtuambie na ndugu zetu wengine mliowateka akiwemo Balozi Polepole, @mdudenyagali, @DEUSDEDITHSOKA, @DIONIZKIPANYA25 n.k mmewapeleka wapi..? #FreeNinjaDamour
Hilda Newton tweet media
Indonesia
20
92
362
15.1K
Joseph Chacha
Joseph Chacha@JosephC85099765·
@HildaNewton21 @tanpol @Ninja_Damour Operation maadili ya @Dr_DGwajima na Bashite imebuma. Walitoa maiti ya Temba bila kichwa ili kutishia ngochiro. Ngochiro tuendelee ku document details zote, hakuna uharamia watakosa wajibishwa. Wateule wa Samia wote ni watekaji na wauaji. Afande Nyundo yuko kazini.
Joseph Chacha tweet mediaJoseph Chacha tweet mediaJoseph Chacha tweet mediaJoseph Chacha tweet media
Indonesia
1
3
7
1.3K
Joseph Chacha
Joseph Chacha@JosephC85099765·
@FeliusFesto @ChademaTZ2 Mwenyekiti kamati ya ulinzi Dar ni Chalamila ambaye ndio mtekaji na muuwaji. Hiyo taarifa ya Police ameandika Chalamila mwenyewe, ndio maana haina hata jina imetolewa na Police gani. Hiyo ni taarifa uongo nafuu ya jaji Chande. Taarifa kwa umma huwa zinaandikwa na Msime.
Filipino
0
0
1
46
Felius Festo
Felius Festo@FeliusFesto·
Ni muendelezo wa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa, kuuawa kikatili na miili kukutwa imetelekezwa lakini katika matukio yote hayo hamjawahi kupata majibu. Uchunguzi wenu haujawahi kuleta suluhu. Intelijensia yenu inatumika kuwafatilia @ChademaTZ2 tu na kusahau wajibu wenu.
Felius Festo tweet media
Indonesia
7
19
64
3.9K
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kwani huyu bro ni nani haswa Africa?🤔
(---) Onesmo Mushi tweet media
Filipino
31
5
149
15.6K
Joseph Chacha
Joseph Chacha@JosephC85099765·
@Chahali Kabudi anavaa hiyo kitu au itakuwa UTI sugu inawasha.
Joseph Chacha tweet media
हिन्दी
0
1
0
984
Joseph Chacha
Joseph Chacha@JosephC85099765·
@davitheempire Endapo akileta majibu ya uchunguzi itakuwa kama jaji Chande kuwa James Temba alijiteka, aka-jichinja mwenyewe kwa wivu wa mapenzi, atakuwa na uthibitisho wa shahidi mwenye kiapo pamoja na pathologist bila mahakama ya corona!
Joseph Chacha tweet mediaJoseph Chacha tweet mediaJoseph Chacha tweet mediaJoseph Chacha tweet media
Indonesia
0
0
0
153
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸
MJRILO hakuona umuhimu wa kuchunguza KUTEKWA kwa Temba ila ameoona umuhimu wa kuchunguza KIFO chake hili jeshi la polisi ni sehemu ya haya mauaji na utekaji wa watu nchini Mtuuwe tu tumechoka
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 tweet media
Indonesia
12
36
143
4.3K
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Ziara ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba mkoani Iringa imeibua matumaini mapya kwa wananchi waliokuwa wamekata tamaa ya kudai haki zao, baada ya kiongozi huyo kuonesha wazi kuchukizwa na kile alichokiita unyang’anyi wa haki za wanyonge. Akizungumza Mei 2, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Igowole wilayani Mufindi, Dk Mwigulu amesema kama msimamizi mkuu wa shughuli za Serikali hataruhusu tabia ya kuchelewesha au kukwepa kulipa madai halali ya wafanyakazi na watoa huduma iendelee kushamiri. Amesema taarifa alizonazo zinaonesha kuwa vijana wengi wanaofanya kazi katika viwanda na makampuni mbalimbali wananyimwa stahiki zao kwa kucheleweshwa malipo au kutolipwa kabisa, hali inayowakatisha tamaa na kuathiri maisha yao. “Hii tabia ya kuzoea shida za watu na kuchezea jasho lao haikubaliki. Haki za wanyonge si za kufanyiwa mzaha,” amesema Dk Mwigulu. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametoa onyo kwa watendaji wa sekta ya ardhi nchini, akiwataka kuacha tabia ya kuchochea na kusababisha migogoro ya ardhi inayojirudia mara kwa mara, akisema Serikali imechoshwa na malalamiko yasiyoisha kutoka kwa wananchi. Katika kusisitiza uzito wa tatizo hilo, Waziri Mkuu ameitaja kampuni moja binafsi (jina linahifadhiwa) ya kuwa miongoni mwa zinazolalamikiwa kwa kudaiwa kuwadhulumu wananchi, akisema kampuni hiyo inadaiwa na mwananchi mmoja Sh28 milioni tangu mwaka 2021, pamoja na Sh9 milioni za wafanyakazi tangu Aprili 2024. “Huyu anadai Sh28 milioni tangu 2021, lakini ukiwaona wanaendelea na maisha ya anasa, wanabadilisha magari na mavazi kila siku, wakati wanaodai wanateseka,” amesema. Kutokana na hali hiyo, amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Heri James pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa kuwasaka wamiliki wa kampuni hiyo ili wajisalimishe na kulipa madeni hayo mara moja kabla hajamaliza ziara yake. “Nimesema watafuteni walipe madeni yote wanayodaiwa sasa nirudi hapa nikute hawajalipa halafu tupimane ubavu, haya ni mambo ya kupuuza haki za watu na yanafanyika kwa makusudi kabisa,”amesema. Akisisitiza dhamira ya Serikali, Waziri Mkuu amesema uzoefu unaonesha kuwa ucheleweshaji wa malipo mara nyingi si kwa kukosa fedha bali ni uzembe na kupuuza haki za watu. Ametolea mfano tukio la mkoani Kilimanjaro ambapo wakulima wa kahawa walikuwa wakidai Sh400 milioni kwa zaidi ya miaka saba. Amesema aliagiza walipwe ndani ya mwezi mmoja, lakini walitekeleza ndani ya wiki moja tu, jambo alilosema linaonesha wazi kuwa baadhi ya wadaiwa huchelewesha kwa makusudi. “Hii inaonesha si kwamba hawana uwezo, bali ni kukosa uwajibikaji,” amesema. Akiwa kwenye mkutano wa hadhara Igowole Waziri Mkuu ameubana uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kufuatia malalamiko ya kikundi cha Ibantu Group kinachodai malipo ya muda mrefu baada ya kutekeleza kazi ya ufyatuaji tofali. Mmoja wa wanakikundi hicho amesema walifyatua tofali 16,600 kwa makubaliano ya kulipwa Sh250 kwa kila tofali, sawa na zaidi ya Sh39 milioni, lakini hawajalipwa tangu mwaka 2022. “Mheshimiwa Waziri Mkuu, tumeteseka sana. Hatuna pa kukimbilia, tunaomba msaada wako,” amesema mwanakikundi huyo. Malalamiko mengine yametolewa na fundi Christopher Mwangoka, anayedai Sh1.5 milioni kwa kazi ya ujenzi wa vyoo katika Shule ya Sekondari Kibengu, ambapo sehemu ya malipo ilishafanyika, lakini kiasi kilichobaki hakijalipwa kutokana na mvutano wa utekelezaji wa mkataba. Akijibu hoja hizo, Waziri Mkuu amesema haiingii akilini kwa taasisi ya Serikali kupokea kazi na kushindwa kulipa walioitekeleza. “Sasa kwa nini hamjawalipa? Kama mlipokea tofali, kwa nini haki yao haijatendeka?” amehoji kwa ukali. Amesema Serikali haiwezi kujificha nyuma ya makosa ya wachache na kuwanyima haki wananchi waliotekeleza majukumu yao kwa uaminifu. “Serikali haiwezi kujificha nyuma ya makosa ya watu wachache na kuwanyima haki wale waliotekeleza wajibu wao,” amesema. Kutokana na hali hiyo, ameagiza uongozi wa halmashauri kuhakikisha fedha hizo zinalipwa mara moja kabla hajaondoka eneo hilo.
ROYAL TELEVISION tweet media
Indonesia
5
1
19
2.8K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam linachunguza kifo cha James Temba mkazi wa Tabata Chang’ombe Wilaya ya Ilala. Taarifa Kamanda wa Polisi Kanda hiyo, Jumanne Muliro aliyoitoa leo Jumapili, Mei 3, 2026 imesema linachunguza kifo cha mtu huyo ambaye Aprili 30, 2026 saa 09 :00 Alasiri mwili wake ulikutwa unaelea kwenye maji yaliyokuwa yanatiririka katika Mto Msimbazi eneo la Kipawa Wilaya ya Ilala. Kamanda Muliro amesema mwili huo ambao haukuonekana kuwa na kichwa baadaye uchunguzi wa awali umeonesha unaweza kuwa wa mtu aitwaye James Temba. Amesema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea ili kubaini chanzo cha kifo hicho na hatua zaidi za kisheria zitachukuliwa kwa watakaobainika kuhusika. #HABARI #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
28
16
335
38.3K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Rais wa Kenya William Ruto amealikwa kuhudhuria Mkutano ujao wa Viongozi wa Kundi la nchi Saba tajiri zaidi duniani (G7) utakaofanyika Évian, Ufaransa, hatua inayoashiria kuimarika kwa nafasi ya Kenya katika diplomasia ya kiuchumi duniani. Uthibitisho wa mwaliko huo umetolewa katika kikao cha ngazi ya juu kilichofanyika Paris kati ya Balozi wa Kenya nchini Ufaransa Betty Cherwon na Katibu Mkuu wa Mipango ya Kiuchumi Boniface Makokha, wakati nchi hiyo ikikamilisha maandalizi ya Mkutano wa Mawaziri wa Maendeleo wa G7. Kwa mujibu wa taarifa ya ubalozi, kikao hicho kilichofanyika ofisini kwa balozi kilijikita katika kutathmini utayari wa Kenya na kuimarisha misimamo yake ya sera kabla ya mazungumzo ya mawaziri yaliyofanyika Aprili 29 hadi 30 Paris. Cherwon amesema mazungumzo hayo yameipa Kenya fursa muhimu ya kuratibu vipaumbele vyake na kuhakikisha mchango wake katika ajenda ya maendeleo ya G7 unakuwa na uwazi na athari. Kenya itahudhuria mkutano wa Juni pamoja na nchi nyingine zilizoalikwa zikiwemo Korea Kusini, Brazil na India #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
5
5
130
5.6K
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
PUBLIC STATEMENT
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
English
18
128
307
10.5K