NetPoa

219 posts

NetPoa banner
NetPoa

NetPoa

@netpoatz

“Not just websites. We host dreams, stories & tomorrow’s brands.” 👉 https://t.co/NYiI0K7vCF

Dar es Salaam Katılım Mart 2019
114 Takip Edilen289 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
Sajili Domain Name kwa haraka na netpoa.com Tembelea sasa netpoa.com uhamishie biashara yako Mtandaoni.
Indonesia
0
2
5
418
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
🎉 Happy Customer Service Week from Netpoa! 🎉 This week, we celebrate you — our valued clients! At Netpoa, we believe every website, every domain, and every message matters. Your trust inspires us to serve better every day. 💬 Our team is here to ensure your online journey is smooth, secure, and successful. 🌍 Whether it’s hosting, domains, or support — we’re always by your side. Thank you for choosing Netpoa as your trusted hosting provider. Together, we build, we grow, and we connect! 💙 #CustomerServiceWeek #NetpoaCares #ThankYouForChoosingNetpoa
English
0
0
1
10
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
🌍 Did you know? A domain name increases trust in your brand. Check availability and register yours now. Visit netpoa.com to get started.
English
0
1
2
85
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
✅ Own your identity online. Secure your .co.tz or .com domain today with Netpoa. Visit netpoa.com to get started.
English
0
1
2
36
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
🚨 Is Your Business Still Offline? You're losing customers every single day! 😱 🔑 Own Your Domain Name ⚡ Get Super-Fast Web Hosting 💼 Start your online business with professionals you can trust — NetPoa. 👉 Click here to get started now: netpoa.com
English
0
1
1
17
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
Secure Your .TZ Domain Today! 🇹🇿 Your brand deserves a Tanzanian identity! Get a .tz domain and establish a strong online presence with Netpoa. 🔥 ✅ Build trust with local customers ✅ Improve SEO for Tanzania ✅ Protect your brand name Register now at netpoa.com
NetPoa tweet media
English
0
1
3
57
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
Ameandika @stevenyerere2 kupitia page yake ya Instagram muda huu 👇 "Kunyamaza ni sifa ya Kukomaa, Matumizi Mazuri Mengine ya Mdomo ni kukaaa kimya,...Sio kila jambo Unajibu vingine vikupite kwa Maslahi mapana ya heshima yako na watu walio kuzunguka., Nguvu ya kukaa kimya huwa Inatesa sana". Tivu Ake ameandika hivyo siku chache baada ya mtoto wa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Charles Makongoro kumtaka aache kutumia jina la baba yao. #Trending #NyerereDay #MwalimuJuliusKambarageNyerere #SteveNyerere
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
294
20
824
108K
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
@swahilitimes Una wazo la biashara? Na unatamani wazo lako liwe halisi na kufikiwa na watu wengi mtandaoni? Tembelea NetPoa.com leo upate huduma bora za gharama nafuu kabisa
Indonesia
0
0
0
12
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa amesema Serikali iko tayari kufanya kila linalohitajika ili kuwezesha Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON 2025.
Indonesia
196
24
484
40.8K
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akifungua Mkutano Mkuu wa 149 wa IPU uliofanyika Geneva, Uswisi amewasisitiza Wajumbe wa Bunge hilo kumuamini na kumpa nafasi afanye kazi yake na waache kufikiria dhana ya Ukoloni kwa wanaofikiria hivyo ikiwemo kupinga kila kitu kwakuwa anatokea Tanzania au Afrika. Dkt. Tulia ameyasema hayo baada ya baadhi ya Wajumbe kukosoa uamuzi wake wa kufanya ziara Nchini Urusi na kukutana na Rais Vladimir Putin kuhusu vita ya Ukraine badala ya kwenda Gaza ambapo Dkt. Tulia amesema alipochaguliwa tu November mwaka jana alienda Israel na Palestine na kuonana na Viongozi na kusema hajachagua upande kwenye migogoro yote na kwamba IPU inapambana kurejesha amani kwenye migogoro hiyo. “Mimi sio Mungu, sio Malaika, ni Binadamu, nafanya kilicho ndani ya uwezo wangu, kikosi kazi kiliniambia nifanye nilichofanya kosa langu ni nini!?” — Dkt. Tulia Mkutano huu umehudhuriwa na takribani Washiriki 1,500 wakiwemo Maspika, Naibu Maspika, Wakuu wa Misafara na Wabunge, na unatarajiwa kuhitimishwa Oktoba 17, 2024 kwa kutoa maazimio muhimu yatakayolenga kutatua changamoto za Kimataifa zinazoikabili Dunia kwa sasa.>> youtu.be/WOkJFr0KF-k?si…
YouTube video
YouTube
Indonesia
127
45
619
55.5K
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
@millardayo Umewahi kutamani biashara yako ifikiwe na watu wengi mtandaoni? Netpoa.com ipo kwaajili ya kupata utambulisho wa biashara yako kupitia Domain name na huduma ya Hosting
Indonesia
0
0
0
7
millardayo
millardayo@millardayo·
#VIDEO Mamlaka ya Hali ya Hewa Mkoa wa Manyara imewataka Wananchi Mkoani humo kuwa na tahadhari pale wanapoona upepo mkali unaofanana na kimbunga ambao kitaalamu unaitwa dust devil (Kinyamkera) kwani huleta madhara makubwa ikiwemo kuvibeba vitu vizito hadi angani na kisha kuviangusha kama ilivyotokea jana October 14,2024 Babati Mjini kwa kulibeba tenki la maji hadi angani. Akiongea na @AyoTV_ kwa njia ya simu, Afisa Mfawidhi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Mkoa wa Manyara, Selva Mziho, amethibitisha kutokea kwa tukio la Kinyamkera kubeba matanki na kutupa upande mwingine na kusema Kinyamkera mara nyingi hutokea kipindi cha kiangazi baada ya jua kali. “Kulikuwa na dust devil si unajua upepo unavuma kutoka kwenye high pressure kwenda low pressure ambako upepo huwa unaelekea ili kujipa balance kwakuwa kuna hewa nyepesi, kwahiyo ikiwa maeneo ya wazi penye hewa nyepesi ndio inatokea dust devil, kama ulivyoona Watu wanakimbia imebeba matenki yameenda juu kwa upepo ule hata wewe Mtu inaweza kukunyanyua” ———— Selva. “Naifahamu kwa jina la dust devil nadhani ndio hicho Kinyamkera, Mtu ukiona kitu kama hicho kaa mbali na eneo kwasababu hiyo ni nature huwezi kuzuia, ukiona kitu kama hicho unasogea mbali” ——— ameeleza Selva. #MillardAyoUPDATES
Filipino
74
54
643
116.2K
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
@millardayo Unatamani kupata email za kibiashara kama vile info@biashara.co.tz. Basi tembelea netpoa.com leo upate huduma hii kwa gharama nafuu
Indonesia
0
0
0
26
millardayo
millardayo@millardayo·
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan kupitia Wizara yake ya Maadili, imeahidi kuanza kutekeleza sheria mpya inayopiga marufuku Vyombo vya Habari Nchini humo kuchapisha picha za viumbe hai ambapo Msemaji wa Wizara hiyo amesema lengo la kufanya hivyo ni kwasababu picha za viumbe hai zinapingana na sheria za Kiislamu. Imeelezwa kuwa sheria hii mpya imeweka masharti mengine kadhaa kwa Vyombo vya Habari ikiwemo kuepuka kuchapisha picha za viumbe hai na kutokudharau au kupinga mafundisho ya Dini ya Kiislamu. Utekelezaji wa sheria hii umeanza taratibu ambapo tayari Maafisa wa maadili wa Serikali ya Taliban katika mikoa mbalimbali wameanza kuwaita Waandishi wa Habari na kuwaelekeza kupunguza uchukuaji wa picha na kuepuka matukio mengi ili kuanza kujifunza taratibu sheria hiyo mpya. Ripoti zinaonesha kuwa Afghanistan imeendelea kuporomoka katika viwango vya uhuru wa Vyombo vya Habari ambapo idadi ya Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari imepungua kutoka 8,400 mwaka 2021 hadi 5,100, huku Wanawake wakiwa ni 560 tu, kwa mujibu wa Ripoti ya Waandishi Wasio na Mipaka (RSF), Afghanistan sasa inashika nafasi ya 178 kati ya nchi 180 katika orodha ya uhuru wa Vyombo vya Habari kimataifa. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
177
68
1.6K
163K
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
@millardayo @ayotv_ Apumzike kwa Amani Unatamani biashara yako ipate email ya kitaalamu (Professional Business Emails kama vile info@biashara.co.tz ) Tembelea netpoa.com leo upate huduma hii kwa urahisi sana
Indonesia
0
0
0
40
millardayo
millardayo@millardayo·
Meja Jenerali Mstaafu Charles Mbuge amefariki dunia leo October 12,2024 alfajiri akiwa Nchi India alipokuwa akipatiwa matibabu, kifo cha Mbuge kimethibitishwa na Mtoto wake wakati akiongea na @AyoTV_. Itakumbukwa August 02, 2024 Mbuge aliagwa rasmi Jeshini baada ya kulitumikia Jeshi kwa zaidi ya miaka 38 na aliagwa kwa kukagua gwaride rasmi la kijeshi katika Viwanja vya Mgulani (Twalipo Admistration Unit-TAU) Jijini Dar es salaam. Mbuge amepitia katika nafasi mbalimbali za Uongozi ikiwemo kuwa Mkuu wa JKT, Mkuu wa Mkoa Kagera na Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika Ofisi ya Waziri Mkuu. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Filipino
241
117
2.1K
201.8K
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
@omari_manyama Unatamani kupata Professional Business Emails kama vile info@biashara.co.tz? Tembelea netpoa.com leo utimize jambo kubwaa kwaajili ya biashara yako?!
Indonesia
0
0
0
1
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
@Sirajitz1 Je unatamani biashara yako kufikiwa na watu wengi mtandaoni? Basi sajili Domain&Hosting kutoka NetPoa.com kwa gharama nafuu..
Indonesia
0
0
0
8
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
@Bwoisama Je unatamani kupata email za kibiashara? (Professional Business Emails kama vile info@biashara.co.tz ) Changua kifurushi chako cha hosting kwa gharama nafuu kabisa ujipatie email yako mapemaaaa
Indonesia
0
0
0
4
The Insight Council
The Insight Council@insightcouncil_·
Hivi mtu anaendesha treni ua anaitwa nani?🤔
The Insight Council tweet media
Indonesia
603
49
1.4K
131.9K
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
NetPoa tweet media
ZXX
0
3
5
147
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
@omari_manyama Una wazo la biashara na unataka ifikiwe na watu wengi mtandaoni? Sajili Domain Name yako leo kwa gharama nafuu sana kutoka NetPoa.com
Indonesia
0
0
0
2
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
@fumbokhanJr Unatamani biashara yako ifikiwe na watu wengi zaidi? Sajili Domain Name ya biashara yako leo hapa NetPoa.com
Indonesia
0
0
0
6
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Upo zako umetulia ghafla unaona mtu kamshika hivi mke wako😂
Fumbo Khan tweet media
43
27
848
89K
NetPoa
NetPoa@netpoatz·
@Rydx_017 Je wajua waweze hamishia biashara yako Mtandaoni na kuifanya ifikie wateja wengi kwa gharama nafuu
Indonesia
0
0
0
12
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Mmeliona jibu la swali, Angalia vizuri walio lia kwenye msiba wa Dida...😂😂😂😂 Video kwa Comments👇
Latto 𝕏 tweet media
HT
85
28
1.3K
204.9K