Gaza

2.7K posts

Gaza banner
Gaza

Gaza

@noorg6961

Katılım Haziran 2015
112 Takip Edilen84 Takipçiler
Gaza
Gaza@noorg6961·
ZXX
0
0
0
2
Rashid Mugheiry
Rashid Mugheiry@mugheiry_rashid·
@noorg6961 @Jambotv_ @bajabiri MUNGU nakuogopa sana juzi kafa kiongozi watu walishangiria hukuona mbona hukusema muogope Mungu au yule aliekufa juzi sio binadamu
Indonesia
2
0
0
71
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Breaking News: Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini Seleman Bungara (Bwege) amefariki Dunia mchana huu, akiwa kwenye Hospitali moja ya binafsi huko Kigamboni, Dar es Salaam, Jambo TV imezungumza na Abbas S.A. Bungara ambaye ni Kaka wa marehemu, ambapo amesema marehemu alifikishwa Hospitalini hapo kwaajili ya kufanyika Dialysis kama ilivyokuwa ikifanyika kawaida, na ndipo umauti ulivyomfika, Amesema kwa sasa mipango ya mazishi inaendelea, na taarifa zaidi zitatolewa hapo baadae ila msiba (kwaajili ya watu kuhani) ni Temeke nyumbani kwa Abbas Bungara, Enzi za uhai wake marehemu Bwege amewahi kutumikia vyama vya siasa vya CUF, ACT Wazalendo na hivi karibuni alitangaza kujiunga na CHADEMA, ingawa mchakato rasmi wa kukabidhiwa kadi ya chama hicho ulikuwa haujakamilika. NB: Jambo TV itakuletea taarifa zaidi kuhusiana na msiba huo.
Jambo TV tweet media
Indonesia
97
90
715
22.6K
Gaza
Gaza@noorg6961·
@mugheiry_rashid @Jambotv_ @bajabiri Akhi muogope Mungu, tumefundishwa kusema inna Lillahi wainna ilayhi rajiuun unapotufika msiba. Na pia tumejatazwa kusema tusiyo ba ushahidi nayo, usibebe dhima kwa Mola kwa ajili ya siasa.
Indonesia
1
0
0
118
Rashid Mugheiry
Rashid Mugheiry@mugheiry_rashid·
@Jambotv_ @bajabiri Vipi leo tuna sherehe au uzuni asante mungu kwa hichi kidogo alikuwa upande wa mashoga mwisho mwisho wa uhai wake
Indonesia
4
0
0
1.2K
Ig @william_andason
Ig @william_andason@WiliamAndason·
Majengo _ mwanza Majengo _ Dodoma Majengo _ songea Majengo ipi nyingine unayo ifahamu wewe..?
Indonesia
20
2
26
1.5K
Gaza retweetledi
𝗚𝗠𝗣
𝗚𝗠𝗣@GMP_Press·
Repost the Quran, your hands will bear witness for you on judgement day....
English
2
265
850
10.9K
Gaza retweetledi
𝗚𝗠𝗣
𝗚𝗠𝗣@GMP_Press·
Repost the Quran, your hands will bear witness for you on judgement day....
English
3
291
735
7.3K
Gaza
Gaza@noorg6961·
@TweveDevota Nimewaza kama wewe. Je viongozi wako tayari kuondoa hii hali au tutaendelea kuwa na kiburi? Huku tuendako sio kuzuri ikiwa tutaendelea hivi.
Indonesia
1
0
1
151
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Hivi viongozi mnasoma jumbe wanazotuma Watanzania kwa viongozi waliofariki? Mnatafakari na kufikiria namna ya kutatua tatizo la hasira na visasi vinavyoonyeshwa au hamuoni? Bila kuchukua hatua tatizo hili litakuwa sugu na halitaweza kutibika, Mungu atusaidie.
Indonesia
25
19
131
8.4K
Gaza
Gaza@noorg6961·
@Rahim_Meghji Hawafati mashehe zao, wao wanaita msimamo, salafi hamba kwetu, tuna salafi jina tu
Indonesia
0
0
0
6
Gaza
Gaza@noorg6961·
@Rasheed_Atm @Rahim_Meghji @HamisKittumma Akhi tusome dini na kuifuata, sio mabishano yasiyo na tija, mwisho wa siku Allah ndie mjuzi. Kubishana hata kama unajua kakataza mtume Muhammad s.a.w. Na pia tumekatazwa kulaaniana na kuitana majina mabaya(Al Qur'aan)
Indonesia
1
0
0
15
Gaza
Gaza@noorg6961·
@Rasheed_Atm @Rahim_Meghji @HamisKittumma Akhi na wewe hupenda kunyooshea wengine vidole na hata kutaja majina. Wote tunawajibika kuacha haya. Kila mtu anafata akida anayoona ni sawa mwisho wa siku Allah ndio mjuzi
Indonesia
1
0
0
11
RASHIDI ADINANI
RASHIDI ADINANI@Rasheed_Atm·
@Rahim_Meghji @HamisKittumma Kukaa kumnyooshea Muislamu mwenzio na kumbeza kwenye Maasia hiyo Sifa ya Waumini kwani Wewe mwenzetu umetimiza na amri zote na kuacha makatazo yote au ndio nyani haoni.. Kuwa Biladu Tawhidi maana yake sio kuwa Malaika au Maasumu tatizo lenu Mnachanganya mambo
Indonesia
3
0
3
109
Gaza retweetledi
𝗚𝗠𝗣
𝗚𝗠𝗣@GMP_Press·
Repost, it will help you and me❤🕊️
English
0
26
39
1.3K
Gaza retweetledi
𝗚𝗠𝗣
𝗚𝗠𝗣@GMP_Press·
Repost, it will help you and me❤🕊️
English
3
99
279
3.1K
Gaza retweetledi
𝗚𝗠𝗣
𝗚𝗠𝗣@GMP_Press·
Repost, it will help you and me❤🕊️
𝗚𝗠𝗣 tweet media
English
0
40
84
1.7K
Gaza retweetledi
𝗚𝗠𝗣
𝗚𝗠𝗣@GMP_Press·
Repost, it will help you and me❤🕊️
𝗚𝗠𝗣 tweet media
English
0
35
82
949
Gaza retweetledi
𝗚𝗠𝗣
𝗚𝗠𝗣@GMP_Press·
Repost, it will help you and me❤🕊️
𝗚𝗠𝗣 tweet media
English
1
65
309
2.6K