
@KennedyMmari @SerengetiBytes Poleni sana ndugu. Huu utamaduni wa kunyonya ideas na kuwapatia wengine fursa ambao hawakuwaza hata kidogo unaua ukuaji wa kampuni zetu. Nachoamini hata wakiiba vipi mawazo na mbinu hawatafikia mlipokuwa mmepanga japo kibiashara mmeshaathirika. Kuweni imara.
Indonesia
















