Max

17 posts

Max banner
Max

Max

@official_jorb

am graphics designer

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2023
20 Takip Edilen1 Takipçiler
Python Programming
Python Programming@PythonPr·
What will be output of the following python code?
Python Programming tweet media
English
45
28
210
23.2K
V8
V8@DonaldTL2024·
@Labella_Mafia95 Makubwa ni kweli, ila ameufanya mziki umilikiwe na illuminati kama marekani, hilo hujui
Indonesia
1
0
2
2.6K
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
Sijajua kwa nini Diamond ameamua kuachana na Mbosso mapema hivi — ni kama ndoto ya kutengeneza empire kwa Diamond inashindikana hivi. Wasafi Records imekuwa incubator bora kwa wasanii wengi, na Diamond amekuwa akifanya kazi kubwa sana kuwapa promotion wasanii wake. Thread: ⤵️
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Indonesia
48
65
1.7K
236.7K
Max retweetledi
Son of Kaibanja...
Son of Kaibanja...@GideonsMuk73592·
@millardayo Mwalimu wa kiume unapotaka kumuagiza ama kumuelekeza mwanafunzi wa kike hakikisha hauko peke yako ofisini ama sehemu ya ndani yoyote ya jengo,hata ukiwa nje fanya hivyo ukiwa umekaa na walimu wenzio.Staff za walimu zina watu wenye roho mbaya sana kaa kitaalamu..
Indonesia
18
1
61
5.7K
Mr Health💊💉
Mr Health💊💉@ItsMrHealth·
Tusome Comments Za Wataalam Wa Mambo...💦
Mr Health💊💉 tweet media
Filipino
247
44
1.7K
293.1K
Max
Max@official_jorb·
@millardayo daa inaumiza ndugu zangu mnavyo shangilia over 1.5
Indonesia
0
0
0
16
millardayo
millardayo@millardayo·
Askari Polisi wawili wamefariki dunia wakati wakifanya majibizano ya risasi na Mtuhumiwa Atanasio Malenda (30) ambaye walienda kumkamata usiku wa kuamkia leo December 18,2024 katika Kijiji cha Msagali Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma ambapo Mtuhumiwa huyo pia amefariki baada ya majibizano hayo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, George Katabazi amesema “December 18,2024 majira ya saa saba usiku huko katika Kijiji cha Msagali Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma Askari Polisi D/Cpl. Jairo Boniface Kalanda na Pc. Alfred John walifariki dunia katika mapambano ya risasi wakati wakimkamata Atanasio Malenda (30), Mkulima, Mkazi wa kijiji cha Msagali aliyekuwa anatuhumiwa kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha ambapo alilkuwa amemjeruhi Yohana Lameck na kumpora kiasi cha Tsh. milioni “ “Askari Polisi hao wakiwa na wenzao walipata taarifa kuwa Mtuhumiwa huyo aliyekuwa anatafutwa yuko nyumbani kwake katika Kijiji Cha Msagali na walifika Kijijini hapo na kutafuta Uongozi wa Kijiji na kuelekea nao nyumbani kwa Mtuhumiwa huyo ambapo Mtuhumiwa huyo alitoka ndani na kuanza kuwashambulia Askari na katika majibizano hayo ndipo vikatokea vifo hivyo” “Mtuhumiwa Atanasio Maleda nae amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu Hospitali ya Wilata ya Mpwapwa kutokana na majeraha aliyoyapata wakati wa mapambano hayo, aidha katika majibizano hayo Askari D/cpl. Msuka na Raia mmoja anayefahamika kwa jina la Masima Nyau wamejeruhiwa na wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
293
67
1.5K
188K
Max
Max@official_jorb·
What an amazing day! starting my day special prayers about my daily hustling. Love God! 😘
English
0
0
0
6
Max
Max@official_jorb·
@FatumaCute hatutakiwi kumcheka mshikaji kikubwa kumpa moyo ili apone maumivu ajione mwanaume tena
Indonesia
1
0
0
799
Max
Max@official_jorb·
@mangekimambi hapo kwemye kuingia barabarani ingia wwe na familia yako tuone mfano
Filipino
0
0
1
40
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Kuna watu humu X nawaonaga wana akili ila sometimes huwa hawaoni the bigger picture kwenye issues Blindly wengi walifurahia Nape na January kutumbuliwa. Wengine wakafurahia na Kinana kujiuzulu. Guys hii kitu ilitakiwa kuwafanya Watanzania mpanick mnooo instead mkawa mnafanya party sababu tu hamumpendi Nape. Ila you are missing the bigger picture. This is bigger than Nape, January or Kinana. This is the same exact playbook kama ya Magufuli alipoanza harakati zake za kubaki madarakani. Kwanini hamulioni hili tatizo kubwa linalokuja?? Mkiangalia vizuri actions zooote za Samia zinatuambia anaelekea kule kule kwa Magufuli. Kwanza angalieni vijana ambao anawaingiza kwenyw cabinet au anaowarudisha kwenye game. Kumbukeni Jerry Silaa ndio alikuwa kiranja kwa kuelimisha watu kwanini Magufuli abadilishiwe katiba, Samia kankim atış huyu fastaa, Ally Hapi ndio alikuwa Kiranja wa kuwatukana wastaafu ambao hawakutaka katiba kubadilishwa, Samia kamrudisha haraka. Bashite ndio siomuongelei maana sıtomaliza leo. This are bad and it’s going to get worse from here on. Tuache kupiga domo kwenye mitandao, instead tuingie barabarani peacefully ili kuleta mabadiliko tunayotaka? Wenzangu hamjachoka kulalamika Kwenye mitandao? Lazma tufanye maamuzi magumu.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet mediaMange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Filipino
377
224
2.3K
294.9K
Max
Max@official_jorb·
Max tweet mediaMax tweet mediaMax tweet media
ZXX
0
0
1
11
Max
Max@official_jorb·
Max tweet media
ZXX
1
0
1
29
Max
Max@official_jorb·
Max tweet media
ZXX
0
0
1
7