V8

2.1K posts

V8 banner
V8

V8

@DonaldTL2024

Liberia, Costa Rica Katılım Ekim 2023
225 Takip Edilen81 Takipçiler
V8
V8@DonaldTL2024·
@HecheJohn Mm kuna muda nahisi hawa jamaa sio binadamu
Indonesia
0
0
0
12
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Mwigulu Wambie Watanzania nani huyo alimpiga Lissu risasi ili ionekane ni serikali? Tangu mwaka 2017 Mpaka sasa mmechukua hatua gani? Je hao waliompiga risasi Lissu ili ionekane serikali ndio waliomfukuza Lissu bungeni? Tena kinyume cha sheria? Je hao watu ndio walimnyima Lissu pesa ya matibabu ambayo, alitakiwa kupewa kisheria? Mpaka leo? Je hao ndio walimnyima Lissu kiinua mgongo chake ? Je hao watu ndio waliondoa polisi wanaolinda nyumba za serikali na kuacha geti wazi? Je hao watu ndio wamemkamata Lissu na kumpa kesi ya uongo ya uhaini? Tatizo mnafikiri Watanzania ni wajinga kama nyie.
John Heche tweet media
Indonesia
140
433
1.8K
59K
MK47TA
MK47TA@MK47TA·
MANGE KIMAMBI NA USANII WA UPASUAJI ILI KUTOROKA MIKONO YA SHERIA @mangekimambi Inasikitisha kuona mwanamke mtu mzima wa miaka 46 badala ya kujiheshimu na kufanya mambo ya msingi bado anahangaika na sarakasi za kuongeza na kupunguza matiti kama binti wa miaka 18 anayetafuta soko. Leo hii unatuambia unarudi kwenye "factory setting" huko Los Angeles hivi huna aibu? Katika umri huo ambapo busara inapaswa kuongezeka siyo idadi ya upasuaji wa plastiki. Huu ni ushahidi tosha wa ukosefu wa utulivu wa akili na nidhamu ya kimaisha. Unajinasibu kuchagua "usalama" wa Marekani lakini ukweli ni kwamba unachopigania ni muonekano wa bandia huku utu wako ukiwa umeshachakaa kwa uchochezi na matusi ya mitandaoni. Lakini huwezi kutufanya wajinga huu upasuaji wa ghafla una dhumuni lingine kabisa la kijanja na tumeugundua. Tunajua kama wewe ni mhusika wa mbele kabisa kwa kilichotokea Tarehe 29 Oktoba na ripoti ya tume ya uchunguzi inakaribia kutoka na ukweli wa madudu uliyoyafanya hapa nchini unaenda kuelezwa kwenye hiyo ripoti. Unajua fika kuwa mkono wa sheria umeanza kukufikia na kuna uwezekano mkubwa wa kurudishwa Tanzania ili utumikie adhabu zako. Hii "muvi" ya kulala kitandani na kusingizia kupona upasuaji ni mbinu ya kitoto ya kutafuta huruma na kutengeneza mazingira ya kusema "mimi ni mgonjwa, siwezi kusafiri." Unaogopa kurudi nyumbani kukabiliana na makosa yako hivyo unaamua kujikata kata miili ili upate sababu ya kujificha chini ya mablanketi ya hospitali za Marekani. Alafu huu ni usaliti wa hali ya juu kwa wale unaowahimiza waingie mitaani wapate vilema na matatizo wakati wewe unatumia muda wako na pesa zako kufanya "cosmetic procedures." Wakati Watanzania maskini wakihangaika na maisha "mwanaharakati" wao anahangaika na saizi ya kifua chake. Unatafuta sababu ya kutokurudi nchini kwa kisingizio cha kuumwa huku ukijua fika kuwa roho inakudunda kwa uoga wa kufikishwa mbele ya sheria. Siku zote muongo na mchochezi mwisho wake ni aibu na huu upasuaji wako hautakusaidia kufuta ukweli kuwa unakimbia vivuli vya matendo yako mwenyewe. "Factory setting" ya kweli unayopaswa kurudia ni ya kuwa na uadilifu na kujiheshimu kama mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa kuelekea utu uzima. Kujificha nyuma ya kuta za hospitali za Los Angeles hakutakuepusha na Tume ya Uchunguzi wala mkono mrefu wa dola. Watanzania wameshakushtukia huu siyo upasuaji wa urembo ni upasuaji wa "uoga." Unaweza kubadili umbo la matiti yako mara mia moja lakini hautoweza kubadili ukweli kuwa unatetemeka kwa hofu ya kurudishwa nyumbani kutumikia adhabu ya usaliti na uchochezi ulioupika kwa muda mrefu.
MK47TA tweet media
Indonesia
6
18
16
3.9K
britishboe
britishboe@british77boe·
Mfano angekua dada ako?
britishboe tweet media
Filipino
47
13
84
31.9K
V8
V8@DonaldTL2024·
@HildaNewton21 JIBU NI HILI, KAMA MAGUFULI ALIJARIBU NA AKASHINDWA, JE NINANI MWOLINGINE ATAWEZA?
Indonesia
0
0
0
7
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️SERIKALI HARAM YA IDD AMIN MAMA IMEPANGA KUMUUA MHE. LISSU KWA RISASI‼️ Nimejulishwa kwamba baada ya Serikali haram ya Idd Amin Mama kuona mbinu zao zote za kutaka kummaliza Mhe. Lissu huko Gerezani zinavuja sasa wamekuja na mpango mwingine. Mpango huu unaratibiwa na Paul Makonda na Faustine Mafwele. Wamepanga kwamba kesi ya Mhe. Lissu itakapoanza kusikilizwa Mahakama ya rufani, atabadilishiwa Askari Magereza wale ambao huwa wanapanda nae gari moja kwa ajili ya kumlinda kila wanapompeleka na kumtoa Mahakamani badala yake wanaletwa Askari wa KMKM kutoka Zanzibar hao ndo watakuwa wanapanda nae gari moja na watavalishwa nguo za Askari Magereza ili wasishtukiwe. Wamepanga kwamba mara baada ya kesi kuhairishwa Mhe. Lissu atakapokuwa anatolewa Mahakamani kurudishwa Magereza wakiwa njiani convoy ya Magereza itavamiwa na watu wenye silaha kisha watawafyatulia risasi kutakuwa kama kuna majibizano ya risasi then wale KMKM ambao watakuwa nae ndani ya Gari, watamuua kwa risasi humo humo ndani ya gari. Then Serikali haram itakimbilia kwenye media kusema kwamba kauwawa na watu wasiojulikana so wanawasaka watu wote waliohusika kwenye shambulio hilo ili wasionekane kwamba ni wao. Wamepanga mpaka watu wakuja kuwatetea kwenye mitandao ambao watakuwa wanasema Serikali haram haihusiki na kwamba kama ingetaka kumuua basi ingemuulia Magereza. Yani Nduli Idd Amin Mama ameuwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu, ameiba maelfu ya miili na kwenda kuizika kwenye makaburi ya Halaiki ili kupoteza ushahidi. Tangu aingie madarakani hadi leo kateka na kupoteza watu zaidi ya 300 lakin bado hajatosheka na sasa anataka na damu ya Mhe. Lissu. Wapendwa kama tusipompambania Mhe. Lissu hawa watu watammaliza huku tunaona maana mpaka sasa wameshagundua kwamba hawana ushahidi wa kutosha kumtia hatiani ili wamnyonge ndo maana wanapanga njama za kutaka kumuua kwa risasi akiwa bado mikononi mwao. Idd Amin Mama anamchukia Mhe. Lissu kiasi kwamba anatamani kuona akiuwawa ili asionekane tena kwenye uso wa Dunia, yote ni kwasababu Mhe. Lissu kakataa biashara ya UDALALI WA SIASA ni mtu mwenye msimamo thabiti ambao Idd Amin Mama na washirika wake wanautafsiri msimamo huo kwamba ni kiburi. Jambo moja ambalo wanatakiwa kulitia akilini ni kwamba kama wakithubutu kutekeleza huo mpango wao wa kumuua Mhe. Lissu hii nchi haitatawalika yani ya Maandamano ya Oktoba 29 itakuwa cha mtoto.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
150
345
1.5K
106.4K
V8
V8@DonaldTL2024·
@fado_fft Yesterday, from Tanzania 🇹🇿 thanks bro
V8 tweet media
English
1
0
0
22
FED🦅
FED🦅@fado_fft·
Make I share small funds for una this morning , join my telegram channel and drop id , link below 👇 t.me/jhgfdghgdhjjj
English
1.3K
98
654
46.5K
V8 retweetledi
FED🦅
FED🦅@fado_fft·
N63CC0, SS4ZN7- WAKE UP TO BOOM🏀
FED🦅 tweet media
English
0
956
6.1K
1.5M
V8
V8@DonaldTL2024·
@xlusako Kama hata MUNGU WA MBINGUNI HAWA MWOGOPI UNAFIKIRIAJE?
Indonesia
1
0
0
750
Nkota ☭
Nkota ☭@xlusako·
Kwa ujasiri wakajiundia na tume kabisa.🗑️
Nkota ☭ tweet media
Indonesia
30
80
545
22.9K
V8
V8@DonaldTL2024·
@DoneSome18 @ReganTesla_ Kaka kwakifupi endelea kutupa odds MUNGU WA MBINGUNI AENDELEE KUKU BARIKI, WEWE SIO MBINAFSI. AMEN
Indonesia
0
0
0
179
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
No Tesha, ni kafursa flani hivi kamekaa kimkakati. Ukiachana na hizo kamari za Casino, hii naweza kuitetea kidogo. Betting ni Monetization of enjoyment unayoipata kwenye Michezo kama mpira, basket etc. Yani unaigeuza burudani kuwa faida kwako pale inapokwenda sambamba na matarajio yako. Tunakuomba usiwakasirikie Vijana, tuwahimize tu wasiwekeze uwezo wao wote kwenye betting. Ukiweza kuifanya kama burudani ni bora zaidi japo Mimi mwenyewe nimeshavuka hiyo hatua sio burudani tena bali ni Kazi
Filipino
7
5
72
4.2K
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Content za kamari zinazidi kuongezeka kwenye mitandao siingilii kazi za watu lakini hili ni zaidi ya bomu linatengenezwa kwenye jamii.. TIME WILL TELL
Indonesia
75
67
711
102.8K
Haki uhuru
Haki uhuru@jasper_joram·
@DoneSome18 @ReganTesla_ Safi master umeiweka vizuri sana hii ni kazi maana tunaweka hela zetu nyingi sana huko na lengo tupate tuondokane na umasikini..alafu betting sio kosa la jinai,alipaswa kukemea ushoga na sio betting
Filipino
1
0
5
392
V8 retweetledi
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
Alhamdulilah leo tumeweka Kibindoni Odds 600 Tuzidishe Dua tuna safari nyingine mbili nazo zifike tamati kama tulivyoomba. Sifa na Utukufu tunamrudishia Mungu wetu. Asanteni sana Familia. Aise nina ndugu humu wananipa moyo mno wa kusonga mbele hata katikati ya watu wasiotutakia mema hata kidogo. Aloo nimependa sana Mungu wetu alivyowajibu leo bila hata kuchelewa yani. What a Gift in this Holly month. TUMEUONA MKONO WAKE BWANA
Indonesia
56
39
400
46.4K
V8
V8@DonaldTL2024·
@DoneSome18 Barikiwa mtu wa Mungu
Indonesia
0
0
0
239
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Huyu jamaani mjinga Franii hivi wakati anajifanya ana akili kumbe ana Upumbavu mkubwa sana Sasa unalaumu na kusema mifumo ili kuwakandamiza waafrika. Sasawewe chihonda umemgundua nini Cha kushindana na hao wazungu na waarabu unaowazungumzia. 🚮🚮
mTusi original 👦 tweet media
Indonesia
49
15
142
12K
Hancy Machemba
Hancy Machemba@hancymachemba·
Tukiwa Hospital uliniambia "daddy twende nyumbani sitaki kukaa hapa" Nilikuahidi uongo kuwa tutarudi nyumbani kumbe hautorudi tena. Pumzika kwa amani mtoto wangu Machemba jr😘😘😭😭😭
Hancy Machemba tweet media
Indonesia
1.4K
174
2.1K
85.4K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imekutana na aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa yaliyojadiliwa ni pamoja na namna matukio hayo yalivyoanza, athari zake kwa watu, mali na miundombinu pamoja na kujadili namna ya kuondokana na matukio hayo.
Swahili Times tweet media
Indonesia
66
6
214
29.3K
V8
V8@DonaldTL2024·
@davitheempire Wote wana ulinzi mkali, vitu vingi wanafana tofauti tu ni mmoja yupo mahabusu na mwingine ikulu
Indonesia
0
0
1
638
V8
V8@DonaldTL2024·
@zoetjesheeftX Si alisema hana nguvu za kiume?
Eesti
0
0
0
1.2K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Kwa Sasa siongei sana na sitaki kujihusisha na mitandao Kwa Sasa ila niko karibu sana na MUNGU wangu Kwa alicho nitendea. Ninacho taka kusema ni kwamba MUNGU anaenda kuwaziba mdomo Watanzania, Subirini tu muda utaongea ndani ya mwaka huu huu, Whozu anaenda kuniheshimisha Mimi. 🗣️Wema sepetu Hivi Nini kipo nyuma ya pazia Kwa Wema na Whozu?
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
20
7
207
25.6K
V8
V8@DonaldTL2024·
@takadini_23 Huyu ni mpiga hela tu na bado ni Muslim
Filipino
1
0
1
21
takadinie
takadinie@takadini_23·
Huyu ndio mchungaji peekee Tanzania anaweza kuwashawishi vijana wengi waokoke
takadinie tweet media
Indonesia
32
15
150
6.9K
V8
V8@DonaldTL2024·
@Sativa255 TUKAE HUMO
Filipino
0
0
0
183
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Jana baada ya post nyingi kuhusu studio yangu na baadae nikatoa post ya kuelezea kuwa Studio ilikuwa Ndoto yangu ya KITAMBO kabla watu wengi hawajanijua leo—kuna jamaa akaja kuweka comment. “Kaka Naomba uachane na SIASA” hii comment niliielewa sana na ni mtu ambae baada ya kunijua SATIVA halisi wa kabla ya kutekwa na huyu wasasa kuwa ni mtu ambae tayari ana maisha yake hata kabla ya SIASA na sasa anaona bora nibaki kwenye mishe zangu na niachane na SIASA. Huu ndio ushauri wa KIPUMBAVU ambao nimeuona kwa siku ya jana. Wazee SIASA ni maisha—na ukitaka kuelewa hilo basi jifunze kwangu. Mimi nilikuwa mtu ambae nina ishu zangu, ila bado NIKATEKWA. Tunayo mifano mingi ya ndugu zetu ambao wametekwa na kupotea na kupigwa RISASI #MO29 hata hawakuwa wakijihusisha na SIASA. Kiufupi kila GUMU na ZURI unalopitia leo jua ni SIASA imeamua upitie hali hiyo. Kwahiyo HARAKATI ZA SIASA SIWEZI KUACHA nitafanya kila ninapoona zinanihitaji hakuna WA KUNIZUIA—NISHAFANYA KABLA,NAENDELEA KUFANYA NA NITAFANYA MILELE. Tukae humo—GOOD MORNING. TUTAKUWEPO🫵🏻😎
Indonesia
40
156
1.4K
61.3K