DRAGON MABATI MAKAMBAKO

5.8K posts

DRAGON MABATI MAKAMBAKO banner
DRAGON MABATI MAKAMBAKO

DRAGON MABATI MAKAMBAKO

@parody002

Katılım Aralık 2023
1K Takip Edilen761 Takipçiler
THE GENIUS
THE GENIUS@Boomm6290·
Under 7 goals On Sportybet Win 100M Ready Code is Ready Who is Ready? Say boom and retweet for code
THE GENIUS tweet media
English
19
11
27
13.1K
DRAGON MABATI MAKAMBAKO retweetledi
𝗠𝗪𝗔𝗠𝗕𝗔™🇹🇿
[🇷 🇪 🇵 🇴 🇸 🇹 please  ] 𝐖𝐀𝐏𝐖𝐀𝐀𝐀𝐀! 𝐖𝐀𝐏𝐖𝐀𝐀𝐀𝐀! 𝐖𝐀𝐏𝐖𝐀𝐀𝐀𝐀!! 🙏🏻nimewaita mara 3 kwakuwa hamjawai kyniangusha leo nimekuja na Bidhaa Bora Toka @TecnomobileTZ 👑Camon 30 YAkijanja 👑Laptop kali @Iambrejin @NasriAllyy @iam__wambui 🙏
TECNO Tanzania@TecnomobileTZ

RETWEET CHALLENGE!!! 🚨 Mwenye RT nyingi zaidi, ZAWADI: TECNO WATCH 2 PRO! (Thamani 120,000/=) 1. QOUTE TWEET post hii 2. Andika Bidhaa zetu mbili bora kwako (Kati ya CAMON 30, SMARTWATCH, LAPTOP au EARBUDS) 3. Tag marafiki watatu + Follow page Challenge MASAA 24 Tu! #AIOTtz

Filipino
192
376
389
28.4K
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
LUWUMBA: ALIYEPOTEA NA AKUTWA MAFINGA AKIWA MAUTI BILA BAADHI YA VIUNGO VYA MWILI! Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Ndugu Damson Gaudensi Luwumba (pichani) alikuwa anaishi katika Kijiji cha Nundwe Kata ya Nyahimbwe, Wilaya ya Mufindi katika Mkoa wa Iringa. Alikuwa akifanya kazi za kuchoma mkaa na kujishughulisha na kilimo. Alipotea tarehe 26 Juni 2024. Baada ya kupata taarifa kuwa hajaonekana, tulianza kumtafuta tarehe 1 Julai 2024. Tulimkuta akielea kwenye maji tukiwa na familia na vijana waliotusaidia kutafuta na mwenyeji wa Nundwe, Mwenyekiti wa ulinzi akiwa na kijana wake. Tulimpata muda wa saa 12 :30 jioni akiwa na majeraha mbalimbali kwenye mwili wake na yalikuwa ni majeraha ya kukatwa. Tukampeleka Kituo cha Polisi cha Mafinga. Polisi walichukua maelezo hatimae wakaamuru kuwa tumpeleke mochwari iliyo hapo hapo hospitali ya Mafinga. Huko baada ya kumkagua tulimkuta akiwa hana masikio, lips za mdomo, macho,nyonyo na sehemu za siri kwani vyote vilikuwa vimenyofolewa. Hatukuwa na mtu hata mmoja wa kutoka sehemu alipokuwa anaishi. Asubuhi askari wakiwa na madaktari walifanya uchunguzi wa kifo chake na wakatoa majibu kwamba ameuwawa kwa kuchinjwa. Tulimzika tarehe 4 Julai 2024 katika Kijiji cha Mkonge, Kata ya Luhunga, Wilaya ya Mafinga. Wakati tunazika hakukuwa hata na mtu aliyekuja kuzika kutoka upande wa kule alikokuwa anafanya kazi zake,hakukuwa na marafiki,viongozi wa dini wala wa serikali. Mpendwa Baba Askofu,kifo cha ndugu yetu kimetuumiza sana. Mazingira tangu kupotea kwake, kupatikana na hata maziko vimetufanya tujiulize maswali mengi sana. Iweje watu wa eneo alikokuwa akiishi wasitoe ushirikiano wa hata kumsitiri mwenzao? Tunaomba utupazie sauti ili kusudi uchunguzi wa kina ufanyike ili kubaini mazingira ya kifo chake ili kusudi haki ya ndugu yetu iweze kutendeka. Ni Mimi Fred Gaudensi Luwumba, 0759060285 Kaka wa marehemu, Kijiiji cha Mkonge,Kata ya Luhunga, Mafinga, Iringa, 6 Julai 2024.
Boniface Jacob tweet media
Indonesia
156
207
1.1K
135.7K
DRAGON MABATI MAKAMBAKO retweetledi
Godfather fan
Godfather fan@Godfxer_fan·
Judge people by their questions rather than their answers.
English
37
40
81
26.5K