Pastory

1.4K posts

Pastory banner
Pastory

Pastory

@pastoBusness

Agriculture & Entrepreneurship

Arusha, Tanzania Katılım Haziran 2021
4.5K Takip Edilen1.6K Takipçiler
HASARAROHO
HASARAROHO@HasaraRoho255·
@thomas_yona_ Hii bedside ni kama fanicha ile ya kuhutubia😂😂😂
Eesti
4
0
2
244
Brave man
Brave man@thomas_yona_·
Raha ya kuwa single vitu vyako ukiviacha ndani unavikuta kama ulivyoviacha😂
Brave man tweet media
Indonesia
15
17
164
9.3K
Pastory
Pastory@pastoBusness·
@Lizzie36021 Mamaezenu nimefuta VPN kumbe mambo bado
Filipino
0
0
0
11
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Ukute bado kuna mtu anatumia VPN😅
Lietuvių
52
23
374
47.5K
lyn Anzweni
lyn Anzweni@lynoxanzweni·
Unajiita sharp boy na hujui hii ni nini?
lyn Anzweni tweet media
Indonesia
122
131
1.4K
69K
Pastory
Pastory@pastoBusness·
@NachiwaMohamed @MkulimaKante Niliwah kuwala pale mafinga nilikua nasafir mbeya to Dsm unakuta kuku an paja kubwa sana lakin hawana radha
Filipino
1
0
0
9
Kante
Kante@MkulimaKante·
Ukiwa unaenda Kigoma kwa kutumia treni kuna kijiji kimoja kipo Singida hapo kuna kuku huwa zinauzwa kwa madirisha ya treni😁 Size ya wale kuku huwa inaogofya sana ni kubwa afu bei yake ndogo hadi unashtuka kama ni kuku kweli au ndege mwitu😁🫵
Indonesia
33
19
367
27.3K
Pastory
Pastory@pastoBusness·
@Hafahamiki @Kicheche_jr Jumanne Mjus mbona hua namuona ni kama magambo tu pale arusha stend ya mabas kumbe ni mdosi
Filipino
1
0
1
12
Limzuka
Limzuka@Hafahamiki·
@Kicheche_jr Jambazi tu. Alikuwa mfadhili wa CCM ndio maana akaendelea kuwa uraiani. Pia kuna yule mwenzake anaitwa Jumanne mjusi
Indonesia
2
0
2
187
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Binafsi natamani kumfahamu Banjo hata kama amekufa. Watu wanasema alikuwa mafia, alifanya nini na aliweza vipi kuishi muda mwingi huo na serikali haikumkamata? Huenda tuna cha kujifunza.
Comrade Kicheche Jr tweet media
Indonesia
16
10
271
34.4K
Ulimwengu 🇹🇿
Ulimwengu 🇹🇿@fizoo_2040·
@EsirEid Biashara yangu mpya ya food point inahitaji mtaji wa takribani TZS 1,945,000/- ili ianze kufanya kazi vizuri,hii inajumuisha vifaa vyote vya msingi,malighafi za mwanzo na maandalizi ya eneo. Kwa juhudi zangu binafsi tayari nimefanikiwa kukusanya na kuwekeza TZS 1,200,000/-.
Ulimwengu 🇹🇿 tweet mediaUlimwengu 🇹🇿 tweet media
Indonesia
2
1
5
501
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Siku ya Birthday Yangu,19th January Napotimiza Miaka 31. Nitatoa Zawadi ya 1m. watu wawili (ME na KE) kila mmoja atapata Laki 5. Unachotakiwa kufanya niambie hio TZS 500,000. nitakayokupa utaifanyia Nini Au itakusaidia kuSolve tatizo gani? Comment au Quote hii Post Tu! Tuna siku 10. Mwisho ni tarehe 18 saa nne asubuhi. Muda ni mrefu ili watu wengi waweze kuona hii - hasa Wale ambao hata bundle la kuingia humu wanapata mara moja moja saana! Hapo nitasoma Comments na Quotes zote- na ITAKAYONIGUSA atapata laki 5 saa sita usiku 19th january!
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
Indonesia
546
259
1.2K
340.4K
Pastory
Pastory@pastoBusness·
Siku ya Birthday Yangu,19th January Napotimiza Miaka 31. Nitatoa Zawadi ya 1m. watu wawili (ME na KE) kila mmoja atapata Laki 5. Unachotakiwa kufanya niambie hio TZS 500,000. nitakayokupa utaifanyia Nini Au itakusaidia kuSolve tatizo gani?
Pastory@pastoBusness

@EsirEid Mimi ukinisaidia hiy 500,000 nitaongezea na hela niliyojichanga ili ninunue pikipiki kwa ajil ya kufanyia delivery kwenye hii biashara yangu ya Chips. kwa sasa Delivery bado nafanya kwa baiskeli na kwa miguu kitu ambacho kinasababisha nisiweze kufafikia wateja wengi hasa wa mbali

Indonesia
0
0
1
31
Pastory
Pastory@pastoBusness·
@EsirEid Mimi ukinisaidia hiy 500,000 nitaongezea na hela niliyojichanga ili ninunue pikipiki kwa ajil ya kufanyia delivery kwenye hii biashara yangu ya Chips. kwa sasa Delivery bado nafanya kwa baiskeli na kwa miguu kitu ambacho kinasababisha nisiweze kufafikia wateja wengi hasa wa mbali
Pastory tweet media
Indonesia
0
0
1
208
1хBet
1хBet@1xBet_Eng·
Select one number from 1-25 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 One of the given numbers is the lucky one, and the 5 people who guess it will receive a promo 🎁 Comment your pick 👇
English
17.1K
848
11.3K
1.7M
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Kila mtu aandike perfume ambayo ameitafuta sana kaikosa naelekea zanzibar nitawatafutia
Indonesia
21
8
248
10K
Pastory
Pastory@pastoBusness·
@Adventure_36 Kitu kinauma n kwamba waliabakiza daki 5 wafike katoro mwisho wa safari
Indonesia
0
0
0
12
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Hii ajali imetokea maeneo ya Katoro apo, Poleni sana jamani
Adventure-360 tweet media
Indonesia
11
10
189
9.1K
Pastory
Pastory@pastoBusness·
@rayasel94 Mim kunasku nilienda pale kaumba pisi imeng'aa na wigi safi kufika ndani anakimbilia kuzima taa dadeq kushika kifuani hivi pako flati hamna maziwa nikagundua ni chiko mamae nilimwambia chukua pesa yako nifungulie mlango nisepe,niliki mbia vibaya mno,starudaia tena kwenda kaumba
Indonesia
0
0
1
29
Ray Asel
Ray Asel@rayasel94·
Hii video imenikumbusha kipindi nipo Moro, kuna mwana alienda pale Kaumba akalewa halafu akachukua Malaya akazama naye lodge anakuja kushtuka yupo na shoga Lakini yeye anadai hakupiga 😂😂😂
Filipino
38
28
178
11K
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Nukia vizuri sana na Kalage perfumes. ☎️ 0678213259
John kalage 🇹🇿 tweet media
Lietuvių
2
1
6
1.5K
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Kuna Dada mmoja kipindi tupo mwaka wa kwanza Chuo alikua anauza juice ya parachichi venue na visheti. Yule dada alipiga sana hela sasa hivi kafungua hotel yake ya nyota tano hapo uganda Na alianza na maparachichi mawili ..
Filipino
69
38
561
20.8K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Mahakamani pamechafuka sana Leo.. 😆 TAL ameambiwa ataje mashahidi wake kama anao. TAL amemtaja SSH, Mpango na Majaliwa katika orodha ya mashahidi wake. Hakimu Franco Kiswaga akasema hao mashahidi ataomba kibali Mahakama Kuu waingie kwa kuwa hawezi kuwaingiza katika commital.
Indonesia
111
382
2.8K
97K
P'site Shio
P'site Shio@Psiteshio1·
Watu wengi Sana wapo DM wananiuliza jinsi ya kupata PESA, Kupata pesa ni rahisi Sana, Niambie unauza nini?
Indonesia
10
4
81
2.9K
Pastory
Pastory@pastoBusness·
@mswahili___ Wanakuaga na nyota ya pesa na syo kwamba wanahela
Filipino
0
0
2
143
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Mikoa yote tunatuma perfume, nipigie simu. ☎️ 0678213259
John kalage 🇹🇿 tweet media
Eesti
1
0
0
1.1K
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Ili ninunue gari kama hii ya Nandy inabidi niuze perfume ngapi.?
John kalage 🇹🇿 tweet media
Filipino
18
7
95
73.3K
Pastory retweetledi
Pastory
Pastory@pastoBusness·
Hello @grok, Remove the person on my left and fill that space with a picture of this girl ( your sister in law). NB: i am the one who wore a wristwatch
Pastory tweet mediaPastory tweet media
English
1
1
4
719