JLG

5.2K posts

JLG banner
JLG

JLG

@petlineworld

Jinsia zinazaliwa lakini mwanaume na mwanamke hawazaliwi bali wanajengwa kwa malezi ili kwa jinsia zao watimize majukumu ya kujenga jamii.

Dodoma, Tanzania Katılım Ağustos 2024
2.6K Takip Edilen1.1K Takipçiler
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
MUNGU HADHIHAKIWI HUYU NDIYO ALINUKULIWA AKISEMA WAPINZANI WOTE WAUWAWE ASIBAKI HATA MMOJA
Tanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
42
87
588
44.6K
JLG
JLG@petlineworld·
@godbless_lema Hawawezi kukuelewa, kiufupi bila jukumu la kutiza ngono iliyomzaa muhusika ulikua ni uzinzi na zinaa vyote pamoja. Pia mwanadamu anakua anazidiwa ata na kuku, Bora kuku yeye anajua yupo ili aliwe, ila mwanadamu anakua Hana sababu kabisa. Dhambi inaanzia pale kutokujielewa
Indonesia
0
0
0
27
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Usipokuwa makini katika maisha na kutafakari kwa kina, unaweza kujikuta unaishi bila kusudi. Ukizaliwa, unaishi kwa ajili ya kula, kunywa, mapenzi, kuzaa, kuzeeka na hatimaye kufa. Kukosa purpose ya maisha ni tatizo kubwa sana, na ndilo chimbuko la ujinga na upumbavu kutawala duniani. Bila kusudi la kweli, haki na utu hakuna kitu chochote kinachoweza kuwa na maana. CCM ni mfano halisi wa andiko hili. Ni Chama kinacho haribu sana Taifa. Wana bidii ya kuficha uovu , mateso, mauaji kuliko kulinda na kutetea ukweli na utu. Hii ni hasara kwa Taifa lote na vizazi vijavyo. Wakati sadism inakua culture ya Nchi hakuna mtu anayeweza kuwa salama. Hata wao wenyewe. Muda utapiga kelele kubwa sana siku sio nyingi.
Godbless E.J. Lema tweet media
Filipino
49
127
871
36.7K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi kwanini hoteli nyingii wapishi ni wanaume..?🤔
kasesco☆ tweet media
Filipino
45
28
264
14.9K
JLG
JLG@petlineworld·
@Nicky__001 Anataka awe mzuri kwa ajili ya Nini?? Ili iweje then??
Indonesia
0
0
0
66
HAPPNES MLAY
HAPPNES MLAY@Happinesmlay·
Mkija DM mnaniita Mrembo mkija kwenye comment mnasema mimi mbaya Kwahiyo niwaeleweje? Nauliza kwa mara ya mwisho mimi ni MZURI au MBAYA?
HAPPNES MLAY tweet media
Indonesia
244
40
469
81.5K
JLG
JLG@petlineworld·
@ze_mandevu Kila mmoja uwa anaongea kulingana na uwezo wake unapoishia, Kila unachoongea Kiko sahihi kulinga na mahali upo, Nini unafanya, na hatua Gani unayo. Lakini kwenye hatua ya kufa ndipo wote wanakua mwenye muelekeo na hatua moja, namaanisha majibu ni mengi maana wote hatuko sawa
Filipino
0
0
0
14
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Sema Jamaa kuna vitu anaongeaga fact anasema "Huwezi ukawa hauna Pesa halafu ukatuambia una akili, akili unazifanyiaga nini?, wewe kama hauna Pesa hauna akili" una maoni gani juu ya hii kauli yake?🤔
The mandevu tweet media
Indonesia
135
63
1.2K
60.5K
Mr. Mambo. Mengi😎
Mr. Mambo. Mengi😎@mr_mambo_mengi·
Kama kuna app nyingine wazee mtupe code hiyo..!!??
Mr. Mambo. Mengi😎 tweet media
Filipino
75
64
394
41.3K
JLG
JLG@petlineworld·
@tonymaster01 Huyu mjusi is ana additional of nutritional value, hapo ni wewe umuunganishe na samaki upate double protein, cabs, na vitamin au upunguze Kisha uendelee na samaki, ni wewe tu
Filipino
0
0
0
97
JLG
JLG@petlineworld·
@Happinesmlay Umri umeenda sasa! Kuna sura Mpya nyingi kurudi kwenye hii tunasahau kabisa
Indonesia
0
0
0
31
HAPPNES MLAY
HAPPNES MLAY@Happinesmlay·
Au mmenisahau?
HAPPNES MLAY tweet media
Français
127
22
363
45.8K
AIvine
AIvine@AIvine_·
You can make $8,240/month with a Faceless YouTube Channel, if you have: 1. Internet 2. Mobile 3. 1 hour a day I have compiled a detailed guide to show you how. It's 100% FREE: Like & Comment 'Guide' and I will DM it to you for FREE. (Must follow me to get DM) FREE for next 24 hrs
AIvine tweet media
English
1.9K
288
2.5K
243.1K
JLG retweetledi
Arsène Lupin
Arsène Lupin@Lupin_Ai_Coder·
Data Analytics from Zero to Expert Free Course 😱🤯 A Complete Udemy Paid Course for Free Limited Time (24 Hours Only) This course covers: - Excel - SQL - Tableau - And many more. Simply: 1. Follow me to get the link 2. Like and repost 3. Type "All" to receive the link in a DM
Arsène Lupin tweet media
Arsène Lupin@Lupin_Ai_Coder

🔥 Big upgrade just dropped! Seedream 4.5 has arrived — now driving APOB AI’s Ultra 4K generation mode. What’s new? ✨ Ultra-sharp, richer 4K visuals ✨ Full Real ✨ Built for influencers, brand videos, fashion, and immersive storytelling Try it here 👉 mega.apob.ai/Lupin

English
291
191
529
33.8K
JLG retweetledi
Selina
Selina@selinatasnim1·
All Paid Courses (Free for First 4500 People) 𝗣𝗮𝗶𝗱 𝗖𝗼𝘂𝗿𝘀𝗲 𝗙𝗥𝗘𝗘 (PART - 2) 🎯 Social Media Marketing Course 🎯 WordPress Development Course 🎯 Facebook Ads Course 🎯 Search Engine Optimization 🎯 Email Marketing Course 🎯 Amazon Business 🎯 Fiverr Freelancing Course 🎯 Graphic Designing 🎯 Video Editing Course 🎯 Ecommerce Business Course 🎯 Drop shipping Course 🎯 Shopify Course 🎯 Web Development & Design. 🎯 And Many More Applicable only for First 1500 People To get Simply: 1) Repost & Like 2) Comment "Need" to receive your copies.
Selina tweet media
English
1.5K
892
1.7K
172.7K
Setu
Setu@setu_ai_expert·
Excel is difficult to learn, but not anymore! Introducing Complete Excel Training Course, All formulas, Tips & Tricks , shortcuts Absolutely Free It helps you to save 80% time and money To get it FREE, just: 👉 Like and Repost 👉Comment "Excel" 👉Follow me (so that I can DM) (Free for only 48 Hours)
Setu tweet media
English
563
785
2.1K
163.9K
JLG retweetledi
Nas
Nas@Nas_tech_AI·
All Paid Courses (Free for First 4500 People) 𝗣𝗮𝗶𝗱 𝗖𝗼𝘂𝗿𝘀𝗲 𝗙𝗥𝗘𝗘 (PART - 2) 🎯 Social Media Marketing Course 🎯 WordPress Development Course 🎯 Facebook Ads Course 🎯 Search Engine Optimization 🎯 Email Marketing Course 🎯 Amazon Business 🎯 Fiverr Freelancing Course 🎯 Graphic Designing 🎯 Video Editing Course 🎯 Ecommerce Business Course 🎯 Drop shipping Course 🎯 Shopify Course 🎯 Web Development & Design. 🎯 And Many More Applicable only for First 1500 People To get Simply: 1) Follow @Nas_tech_AI (So, that I can DM) 2) Repost & Like 3) Comment "Need" to receive your copies.
Nas tweet media
English
304
218
437
34.6K