Big_Nicky01✊️
4.3K posts

Big_Nicky01✊️
@Nicky__001
HUSTLE , PRAY , BE PATIENT THEN MUTE 🤐📌


Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Tanzania (PDPC) imesema ni kosa kisheria kwa mtu au taasisi kutumia kamera za usalama (CCTV) pasipo kusajiliwa kisheria na tume hiyo. PDPC imefafanua kuwa watumiaji wanapaswa kuweka tangazo au taarifa kwamba eneo husika limefungwa kamera za CCTV ili watu wajue, na pia mmiliki kuepuka kushtakiwa kwa kuingilia faragha na kudhalilisha utu wa mtu.

Okay guys I'm starting my drinking journey wish me luck 👍🏾 Namaanisha pombe

🗺️KARIBU KWENYE CHANNEL BORA YA #ViwanjaFacts 🗺️ Hapa utakutana na fursa halisi za viwanja, maelezo ya kitaalam, bei, na elimu juu ya uwekezaji bora wa ardhi.😉 Follow VIWANJA FACTS channel on WhatsApp: whatsapp.com/channel/0029Vb… 📞 0755506535 #ViwanjaDodoma #UwekezajiSmart

Ukitaka kuona mapenzi ya siku hizi hayana maana toa NGONO na PESA uone kama kuna kitu waeza offer kwa hiyo mahusiano😂🙌🏾



















