Ten king
30.4K posts

Ten king
@pintinoh
/⚽ fan/ 📰.united
The Netherlands Katılım Eylül 2015
1.3K Takip Edilen1.5K Takipçiler

ASTAGHFIRULLAH NIWEKE WAPI SURA YANGU KESHO MIE!
Usiku wa Oct 31,2025 nilikuwa nachati na Mkuu wa Mkoa fulani ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa ule,tulikuwa tunajaribu "kudigest" kujua nini hasa kimetokea na nani hasa alitufikisha katika matukio yale ya Oct 29 na kuendelea.
Aliyoniambia Mkuu wangu yule niliogopa,nikasema hata huyu anaweza kufanya haya?Ndio maana nasema tu je,niweke wapi sura yangu kesho kuelekea kutangazwa kwa ripoti ya Ex-Jaji Mkuu Chande.
Kwa kifupi kuna watu watatajwa na ripoti ya kesho na Watanzania hawatoamini.Na ndio hapo watanzania wengi watajua ukweli kwamba kwanini hawa jamaa walikuwa wanaipinga hii ripoti.
Cha kushangaza zaidi kuna KANISA moja kubwa hapa Nchini lilitumia eneo lake kama uwanja wa kupanga matukio ya Oct 29.
Kesho ndio Watanzania wataweza "kuconnect dots"kwamba kwanini baadhi ya watu fulani fulani waliendelea kuishambulia Serikali mitandaoni hata baada ya Oct 29 mpaka leo.
Yule Mzee wa "Freka Fyeka Fyeka" kama namuona huko alipo.
Dah,October 29 ilikuwa na SIRI kubwa sana na bila Tume ya Ex-Jaji Mstaafu Chande Watanzania wengi tungekuwa gizani.
Kuna kijana mmoja mfuasi wa KANISA la Fyeka Fyeka Fyeka Mkoa fulani alipokamatwa simu yake ilikutwa "anachat" na KIongozi wa KANISA HILO MKOA fulani.
Walichokuwa wanapanga ni JINSI ya kutumiana FEDHA ya Mafuta kwa ajili ya choma choma yao.MESSAGE ZIPO na naamini Ex -JaJi Mkuu Chande atakuwa nazo hizo SMS.
Katika Mkoa fulani Nyanda za Juu Kusini wapo Wanyarwanda walikamatwa kwenye maandamano yale.Waziri Mkuu Mh Mwigulu Nchemba anaposema wapo watu kutoka Nje walilipwa kuja kuongeza nguvu kufanikisha MAPINDUZI yale,watu walimbeza sana.
Mwigulu hawezi kuongea VITU bila kuwa na taarifa za ndani kutoka katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Serikali.
Swali?Tuwafanye nini watu hawa?☝🏽☝🏽☝🏽
Indonesia
Ten king retweetledi

@meamswahili Juma aache wasiwasi, vijana Wana ushahidi, aache tuukomboe mpira
Indonesia

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Baada ya Taarifa Kusambaa Kila Kona Kuhusu YANGA Kupeleka Barua za Fidia Baada ya Madai ya Udhalilishaji Yaliyofanywa na Wachambuzi wa Soka Alex Ngereza na Wilson Uruma, Mchambuzi na Mtangazaji Juma Ayo Ajitokeza Kuwaombea Msamaha.
#MeaMswahiliUPDATES
Indonesia
Ten king retweetledi

@RevocatusMagum1 Amin nakuambia, hakuna mambo ya Yanga kununua mechi, nyinyi mnakosa ubingwa kwa uzembe mdogomdogo, mnakosaga ushindi kwenye mechi nyingi kwa kupoteza nafasi nyingi za wazi, then mnakimbilia kusema mnakamiwa, ukamiwe kwenye mechi ukose nafasi za wazi zaidi ya 4?
Indonesia

-Yanga kabla hawajamdai Oruma Bilioni 10 kwa kuwachafua wamemtaka awaombe radhi pamoja na Efm na TVE kushusha post zote zinazoonekana matamshi yake yaliidharirisha Yanga.
Ningekuwa mimi Oruma ningewaomba radhi hadharani kabisa...Tena ningerekodi video clip ya kuwaomba radhi na kuipandisha Mtandaoni
Kwanini...?
1)Yanga wanaweza kushindwa kesi ya Morrison ila kesi ya hivi hawashindwi nakuambia...wote tunajua!
2) Kwenye hii Nchi linapokuja suala la Simba na Yanga hata wakili wako anaweza kukusaliti akaacha kutokea Mahakamani ukaishia jela!
3) Tuhuma za Kuihusisha Yanga na rushwa/upangaji wa Matokeo haijaanzia kwa Oruma, Mamlaka inajua lakini wa kuthibitisha hayupo...Suala la kipa wa Tabora United liliishaje?
4) Kuomba radhi hata bando la jero haliishi...Aombe radhi...Yanga ni wakubwa sana kwenye hii Nchi...Hawezi kutoboa japo kila mtu anajua alichosema Oruma ndio ukweli wenyewe!
Nafunga hizi Story siziongelei tena ✍️

Indonesia

@RevocatusMagum1 Kama ni ukweli haina haja ya kuomba radhi, asimamie anachoamini, na kinachonishangaza hili suala watu wa Simba ndio wanaotaka liishe nje ya vyombo vya Sheria, ni kwamba hamuamini kama ana ushahidi? Au mnataka kupata kichaka kama kawaida yenu mnapofeli?
Indonesia

@Adventure_36 @Foseveni47 Kuna mahala nimeona mdau mmoja anasema hii kesi yanga ni bora wakaiacha maana inawwza waletea shida makaburi yakianza kufukuliwa
Indonesia

@Sirajitz1 Ukifikia hapa maana yake wewe una shida, Mama yako hakuheshimu, na mkeo hakuheshimu
Indonesia

@SportsarenatzTz Unamsajili mchezaji sababu ya mechi 2 au 4 alizokamia? Wenzetu walioendelea huwa wakimuona mtu, scout wanaweza program maalumu ya kuifuatilia, hasa anapocheza mechi za kawaida zinazokia hazina presha kubwa, vinginevyo unamsajili mchezaji hata vikombe kama muungano huwezi kumtumia
Indonesia

🚨 Yanga imekubali uwezo wa beki Nasry Kombo ambaye ni nahodha wa TRA United wakati akiwazuia washambuliaji wa kikosi hicho, kisha Simba kwenye mechi mbili tofauti zilizochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, hivi karibuni.
Yanga inapiga hesabu za kumalizana naye mapema, endapo ikimpata Kombo, imepanga kutoendelea kuwa na Assinki, hivyo atarudi Singida Black Stars.

Indonesia

#MICHEZO: Kuna nafasi kubwa ya Azam FC na Singida Black Stars kucheza fainali ya kombe la Muungano kuliko Simba na Yanga kutokana na mahitaji ya timu zao.
Unaona hili likitokea msimu huu?
#Michezo #HainaKuchoka #EastAfricaTV

Filipino

🚨 WATU WANAZUNGUMZA… LAKINI DE REUCK ANAFANYA KAZI! 🛡️🔥
Tangu aingie kwenye kikosi cha Simba SC, huyu jamaa ameleta utulivu ambao ulikuwa unahitajika sana kwenye defence.
👉 Striker akimkimbia? ANAMFIKA.
👉 Cross ikipelekwa? ANAISAFISHA.
👉 Presha kubwa? BADO YUPO CALM.
Hii sio beki wa kawaida…
Hii ni kiongozi wa ukuta wa nyuma 💪
📊 Kila mechi anaonyesha consistency ya hali ya juu
⚔️ Anapambana hadi dakika ya mwisho
🧠 Ana IQ kubwa ya mpira
🔥 Ukweli ni huu: Simba wamepata upgrade ya maana sana.

Indonesia

@RevocatusMagum1 Njia sahihi tuwaache Yanga waende kwenye vyombo vya Sheria, ili ndugu mchambuzi akatoe ushahidi, ni mtu pekee aliyeonyesha Yuko tayari kutoa anachojua, nashangaa Kuna watu wanataka Yanga afunike kombe, wanaogopa nini? Kwamba wataguswa?
Indonesia

🚨Tumefikaje hapa...?
Huko nyuma Wachezaji walikua wanalalamika timu kubwa ikihonga baadhi ya Viongozi na wachezaji ili walegeze bahati mbaya walikuwa wanakosa ushahidi kwakuwa waliotakiwa kutoa ushahidi walikuwa hawautoi na wachezaji walifungiwa...Rejea tukio la Benjamin Asukile alivyoituhumu Yanga kupiga simu kwa wachezaji ili wawape milioni 40 waachi...Pengine Mtangazaji Gift Macha asingemtoa hewani huenda angefunguka zaidi!
Unalikumbuka sakata la Yanga na Tabora United pale mkoani Tabora...Kile kilichotokea kiliongeza utata zaidi kwamba haya mambo yanatokea ila wanaotakiwa kuyasema wanabanwa na kuogopa adhabu kwakuwa maisha yao yanategemea hiyo hiyo industry.
Sasa hivi kete iliyobaki ni kwa wachambuzi...Timu zinawatumia wachambuzi kusema yanayowakera na wachezaji pia .
Tukumbuke hawa wachambuzi wana marafiki ambao ni makocha,wachezaji na viongozi kwenye hizo timu ambao kwa namna nyingine hawafurahishwi na kinachofanyika kwenye hizo timu ndogo zinapokutana na timu zetu kubwa!
Timu zetu zinawatumia 'Machawa' kusukuma agenda zinazoharibu radha ya Football na kuleta hisia mchanganyiko kwamba Timu kubwa ikishinda ujue kuna namna imetokea.
Hata kama Oruma atafungiwa,atatozwa faini ama vyovyote vile ni lazima tukubali kwamba mpira wetu unaelekea shimoni...Sasa hivi watu hawafurahii ushindi tena, Ushindi wa timu kubwa sasa hivi hauna msisimko tena kwasababu matokeo yanajulikana.
Yanga kamfunga Mbeya City, watu wanasema Yanga kanunua mechi...Simba kamfunga Namungo watu wakasema kwanini Mgunda awaweke Bench Fabrice Ngoy na Buswita?...Huu ni mwelekeo
Hatupo sehemu salama.

Filipino

@HastaRuego Yaani hata ukiwatoa hao bado big wa Tandale bado haingii?
Filipino
Ten king retweetledi

Klabu ya Leicester City imeshushwa daraja kwenda League One (daraja la tatu la soka England) baada ya msimu mbaya sana wa 2025/26.
Matokeo ya sare ya 2-2 dhidi ya Hull City ndiyo yaliyothibitisha kushuka kwao.
Walikuwa nyuma kwa pointi kadhaa na hawakuwa na nafasi ya kujiokoa tena huku zikiwa zimebaki mechi chache
Hii ni relegation ya pili mfululizo (kutoka Premier League → Championship → League One)
Kwa nini Leicester wameshuka daraja?
Sababu kuu ni mchanganyiko wa matatizo ya uwanjani na nje ya uwanja:
1. Adhabu ya pointi
*Walikatwa pointi 6 kwa kuvunja sheria za kifedha
*Hii iliwashusha kwenye msimamo na kuharibu nafasi yao ya kubaki Ligi.
1. Matokeo mabaya Uwanjani
Walishinda mechi chache sana katika kipindi cha pili cha msimu.
Wameshinda mchezo 1 tu kati ya 18 za mwisho
1. Mabadiliko ya makocha mara kwa mara
Klabu ilibadilisha makocha mara kadhaa ndani ya muda mfupi.
Hii ilisababisha kukosekana kwa mwelekeo wa timu.
1. Matatizo ya kifedha
Hasara kubwa (zaidi ya Paundi Milioni 200 kwa miaka 3).
Mapato yanatarajiwa kushuka sana baada ya kushuka daraja.
1. Usimamizi mbaya
Wamiliki na uongozi wamekosolewa kwa maamuzi mabaya na matumizi mabaya ya fedha.
#KitengeUpdates

Indonesia




















