RAHISI TECHNOLOGY
17.4K posts

RAHISI TECHNOLOGY
@rahisitech
We no dey chase odds, odds dey chase us 😎 From street to sports betting, na steady tips only Small stake, better thinking, better results 🔥

Ana laki moja anauliza anaweza kufanya biashara gani!!!?








Arsenal imekuwa bingwa wa EPL, Arsenal Ina kipa bora kwa misimu mitatu mfululizo, Arsenal ina mabeki na ukuta imara zaidi kwenye ligi lakini bado mchezaji bora wa ligi amepewa Bruno Fernandes ambaye timu yake ipo nafasi ya tatu. Chuki dhidi ya timu ya Arsenal zipo wazi sana.

Max Dowman mtoto wa miaka 16 ana kombe la EPL, lakini mchezaji bora wa msimu anapewa Bruno Fernandes mwenye miaka 31 ambaye hajui hata kombe la EPL linafananaje. Hii ni robbery ya hali ya juu katika historia ya tuzo hizi. Tuzo hii alistahili kupewa David Raya kipa wa Arsenal.
























