Bellucci
14.1K posts

Bellucci
@real_throneboy
Head Treasurer at Tanzania Producers and Composers Association (TPCA) @tpca_tz | Record Producer | Co-Founded Put2sleep Bookings


Namshukuru Mungu 🙏 Jitihada zangu za kuhakikisha #Tanzania inakuwa na ramani ya shule zote na hali ya muunganisho wa intaneti kupitia mradi wa @Gigaglobal unaofadhiliwa na @ITU & @UNICEF sasa zimetambuliwa kimataifa kama mfano bora. Miaka takribani mitano iliyopita, nilianza safari hii nikiwa na lengo la kuweza kujua kwa urahisi shule zetu zilipo na ngapi zimeunganishwa na intaneti kwa kuitazama ramani ya nchi yetu. Leo, karibu shule zote zimeainishwa na kuthibitishwa kwa takwimu rasmi kupitia fursa niliyoitafuta na kuikabidhi Serikalini kupitia Wizara husika, ambapo nilipendekeza @ucsaftz ipewe jukumu la kusimamia mchakato huu. Hakika wamefanya kazi nzuri na wanastahili pongezi kubwa 👏🏽 Sasa ramani ipo tayari: eneo lote ambapo kuna rangi nyekundu ni vidoti vingi vyekundu ambapo kila kidoti chekundu ni shule isiyo na intaneti, na kidoti cha kijani ni shule yenye intaneti. Takwimu zinaonyesha kati ya shule 27,800, ni takribani 1% tu ndizo zimeunganishwa na intaneti. Takwimu hizi zitawezesha hatua sahihi na chanya kuchukuliwa. Aidha, vidoti vya rangi ya bluu ni shule ambazo bado zinahitaji uhakiki huku baadh ya shule zinaendelea kuchakatwa. Najivunia mafanikio haya, na pia kupata fursa ya kuielezea dunia safari hii ambayo imeiweka Tanzania kuwa moja ya nchi za kujifunza katika namna bora ya kufanikisha zoezi la kuwa na ramani “school connectivity map”. Ninatoa shukrani za dhati kwa Geneva Research Lab for Digital Impact, Geneva Innovation Movement na mradi wa GIGA kwa utambuzi huu ninaouthamini sana. 🗓️ 31/3/2026 📍#Geneva 🇨🇭

It's been 16 years since these two cooked up this masterpiece

Wimbo unaoufahamu ambao ndani yake inasikika milio ya risasi 🎶 🔫




the weather sucks today

four legendary producers… but one’s gotta go 👀 who are you choosing?












