
RT @awamisammy: My latest report featuring the one and only @ThatBoyKhalifax na Mbobezi wa Uraghbishi Richard Temu from @Twaweza_NiSisi. ht…
English
richard lucas
348 posts









Shirika la LANGO likifanya mafunzo kwa vitendo Kwa wanajamii wa kijiji cha Mchinga-1 kuhusu Uraghbishi hususani katika mbinu mbalimbali zinazomuwezesha mwanajamii kuibua changamoto zilizopo kwenye jamii yake na kuandaa mpango kazi wa kutatua changamoto hizo. @Twaweza_NiSisi


UFAFANUZI Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda akitoa ufafanuzi wa kina kuhusu uamuzi wa Serikali wa kutotangaza shule bora katika matokeo ya mtihani.







