Father House 🏠 🇹🇿

50K posts

Father House 🏠 🇹🇿 banner
Father House 🏠 🇹🇿

Father House 🏠 🇹🇿

@robmasahi1

Man utd| Positive Thinking|Simba|Chriss Labs & Pharmacy|Fastflex Furniture| Real Estate

Arusha Katılım Ekim 2021
2.4K Takip Edilen3K Takipçiler
Father House 🏠 🇹🇿
Father House 🏠 🇹🇿@robmasahi1·
@Kiganyi_ Umekata Bima ya gari kwa mfano, say ni Premium, umekaa mwaka mzima bila kupata ajali, Bima imeexpire, so hauta kata bima kwa mwaka mwingine kwa kuwa hukupata ajali mwaka jana? 😂😂😂😂 duh huyu dada Kumbe ni box kiasi hicho?
Indonesia
0
0
0
16
M A G I R I
M A G I R I@Kiganyi_·
Maccm buana, smh
Indonesia
140
37
238
95.2K
Father House 🏠 🇹🇿
Father House 🏠 🇹🇿@robmasahi1·
@RahmaMwita Hapo sijaona ulichokisema, hivi unajua kama kupiga KURA ndiyo kuwapa UHALALI wa viongozi kuwepo madarakani na kuendelea kutumia hizo V8?Ndo maana hakuna siku kiongozi aliyopo madarakani atawaambia wananchi wasipige KURA!Kama wangekuwa wanaweza kufanya hivyo,wasingetaka UCHAGUZI!
Indonesia
0
0
0
7
Rahuuuum
Rahuuuum@RahmaMwita·
Kama kukaa na kura yako ndio kulinda basi hata kufanya kazi watu wasifanye wakae tuu majumbani wawasusie maccm. Maana ukifanya kazi unalipa kodi na hiyo kodi ndiyo inatumika serikalini wenzenu wananunulia MaV8 na sasa hivi wanataka na Private number wasikae foleni.😢😢
Rahuuuum tweet media
Indonesia
411
63
748
93.7K
Mwigulu Nchemba, PhD
Mwigulu Nchemba, PhD@mwigulunchemba1·
Nguvu ya Umma imeongea, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiye kipenzi halisi cha Watanzania, na mapenzi haya yanatoka kwenye vilindi vya nyoyo zao.
Mwigulu Nchemba, PhD tweet mediaMwigulu Nchemba, PhD tweet mediaMwigulu Nchemba, PhD tweet mediaMwigulu Nchemba, PhD tweet media
Indonesia
624
54
525
133.1K
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Hotuba yangu kwa Taifa hii leo kuelekea Miaka 61 ya Muungano.
Indonesia
737
461
1.6K
258.3K
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
Ruangwa happening now
English
36
4
66
10.4K
Father House 🏠 🇹🇿
Father House 🏠 🇹🇿@robmasahi1·
@JonMrema Msimamo wa Chama chenu ni NO REFORMS, NO ELECTION hapo ndo mnaposhindwa kuelewa, Reforms ni pamoja na hizo sheria na kanuni unazitaja hapo! Haikuwa na maana ya kusaini maadili! G-55 mlitaka reforms ambazo hamkusema pia,mpango wenu wa kuzipata, mkawa tayari pia kushiriki uchaguzi!
Indonesia
0
0
0
429
Jon Mrema
Jon Mrema@JonMrema·
Nasikitika kuwa kuna Mawakili ambao wanashauri kuwa tunaweza kwenda Mahakamani kudai haki ya kushiriki uchaguzi baada ya kutokusaini kanuni za maadili, hawajasoma kifungu hiki cha Katiba ? Kwamba Tume haihojiwi au ndio wanaendelea kutufanganya kuwa kuna option ? Wanaharakati wa mtandaoni ,someni Katiba hakuna namna tena . Wanachama wa Chadema na wwgombea hakuna namna tena, mpaka tutakapobadilisha Katiba ya nchi yetu . G-55 iliposhauri kuwa chama kikasaimi maadili tulijua msimamo wa katiba ya nchi japo mbovu ,ila ndio iliyopo leo na inatumika . Matusi,kejeli na ubagazaji ,ruksa .
Jon Mrema tweet media
Indonesia
560
48
379
112.5K
Father House 🏠 🇹🇿
Father House 🏠 🇹🇿@robmasahi1·
@Gogoryoking Vyote ulivyosema umeonesha kuwa uelewa wako ni 0! Hiki ni chama cha Siasa kilichosajiliwa na ofisi ya msajili, HAKI zake zote za kisiasa zinabaki pale pale, kutokushiriki uchaguzi au kufungiwa na TUME hakuzuii shughuli za kisiasa kama chama kuendelea! Stupid
Indonesia
0
0
0
32
Joffrey Baratheon, NDC
Joffrey Baratheon, NDC@Baratheonze·
Tofauti ni kwamba; 1. Hamtakua na access ya majukwaa ya kisiasa kuongelea uchaguzi maana youre not part of it. 2. Hamtakua na access ya walau ruzuku kama ile 2.8 Bil mlipata kwa sababu ya messy election ya 2020 3. Hamtakua na access ya ku form coalition kama sample ya UKAWA kwa sababu mpo disqualified kisheria 4. Sasa Polisi wana ruhusa ya kusema ni marufuku chama kisicho katika taratibu za kiuchaguzi kufanya mikutano ya kisiasa ili kupisha vyama 18 kufanya siasa 5. Mmenyima ndoto za kisiasa za vijana wengi kwa sababu ya akili ndogo za viongozi wenu wa juu Lissu, Lema na Heche ambayo they were barely understanding mchezo walikua wanachezeshwa na Maria.
Rose Mayemba@rose_mayemba

Tofauti ya sasa baada ya kutufungia na 2020 kabla hamjatufungia ni ipi? Hata hivyo, tumeshakubaliana hakuna Uchaguzi, hata hao waliosaini hawatashiriki. Hakuna atakayeshiriki. #NoReformsNoElection

Indonesia
96
24
80
11.1K
NTOBI
NTOBI@Ntobi_·
@BobWangwe Bro! Tatizo umejaza kamasi kwenye kichwa chako! Soma waraka!
HT
8
0
10
2.2K
Bob Chacha Wangwe
Bob Chacha Wangwe@BobWangwe·
Sijui kama hawa watu walikuwa wanajua kama wanatumika kuandaa mkakati wa kumbambikizia kesi Lissu! Hiki kikundi kimeingia kwenye historia chafu ya kutumika kuhujumu mapambano ya kidemokrasia nchini.Wanapaswa kuandaa waraka mwingine wa kuomba radhi kwa kutumika vibaya na watawala.
Bob Chacha Wangwe tweet mediaBob Chacha Wangwe tweet media
Indonesia
120
192
1.1K
84.7K
Father House 🏠 🇹🇿
Father House 🏠 🇹🇿@robmasahi1·
@Labella_Mafia95 Ni Kama SSH alivyotengua uteuzi wa Makamba na Nape, ni kwamba alikuwa hapendi maoni tofauti? Catherine ni kiongozi mkubwa wa Chama, lazima alinde maamuzi ya chama yaliyopitishwa kidemokrasia, hata Kama yeye yawezekana hakupiga KURA kupitisha, Lkn wengi wakishinda,HOJA ni ya wote!
Indonesia
0
0
0
20
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
“Watatoana damu”—hii ndiyo kusema hatucheki na wowote au? Hakuna kuwa na utofauti wa maoni tena? Nilidhani demokrasia ni kuheshimu tofauti, kumbe ukiwa na mawazo tofauti unaitwa msaliti. Dunia inabadilika kweli. 😐
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Indonesia
257
27
608
78.5K
Father House 🏠 🇹🇿
Father House 🏠 🇹🇿@robmasahi1·
@LembrusMchome @CatherineRuge @ChademaTz Ni sawa na Waziri katika serikali akinzane na msimamo wa serikali, ambao amekula KIAPO kulinda na kutunza SIRI, Alafu anatoka nje kuanza kuongea kinyume! Haijalishi msimamo wa serikali ni wa HOVYO au lah, tayari huyo ni MSALITI Kama wasaliti wengine! Ni HAKI kupigwa chini.
Filipino
0
0
0
152
Lembrus Mchome
Lembrus Mchome@LembrusMchome·
Msubhati @CatherineRuge ni moja ya wanawake ambao wamejitolea sana kwenye hiki chama, huyu dada usiku na mchana amekua akiiwaza @ChademaTz na amekua akitekeleza kazi zake kwa umakini mkubwa. Ametoa mtazamo wake umekua nongwa kwa dikteta uchwara.
Lembrus Mchome tweet media
Filipino
433
25
290
43.7K
Father House 🏠 🇹🇿
Father House 🏠 🇹🇿@robmasahi1·
@kwamekivaisi Sasa Mbona unahangaika na hiki chama kilichokufa? 😄😄😄😄 si ueleze tu Mama kafanya miujiza gani? 😂 kila kukicha Mara Lissu, Heche, CDM na tumeshakubaliana chama hakuna watu kabisa, na mama ameshashinda uchaguzi! 🙈🙈🙈
Indonesia
0
1
3
299
Kwame Kivaisi
Kwame Kivaisi@kwamekivaisi·
Hapa ni Masasi Mjini ambako jimbo zima hawa watu wana wanachama hai wasiozidi buku. Hapo uwanjani wamekuja watu wasiozidi 100. Siasa haina muujiza. HAMNA WATU na mlichokiona Masasi Mjini ni matokeo ya huu ukweli. Hii hali mtakutana nayo kila mnapokwenda hadi tunafika uchaguzi.
Indonesia
60
30
183
77.7K
Father House 🏠 🇹🇿
Father House 🏠 🇹🇿@robmasahi1·
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz Kwani kuna Watanzania wangapi mahospitalini wanahitaji huduma na CCM hajawaona kusaidia gharama za matibabu? Why her? What so special about her? Kama si kutafuta sababu za kuwasingizia wapinzani ubaya?
Indonesia
0
1
7
2.1K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
🚨🚨‼️IMPORTANT UPDATE‼️ A credible source has informed me that the Govt is setting up a fake medical report in Dodoma aa they seek to involve @HecheJohn in an incident that he was not involved. Sigrada - a leader within @ChademaTz had an altercation with a guard outside a meeting in Njombe that Heche was chairing! Now she claims to have been hurt badly and @ccm_tanzania have taken over! Watch how they forced doctors in Iringa hospital to allow them to transfer Sigrada to Dodoma despite doctors refusing! They are looking at ways to arrest Heche for something he didn’t even know had happened! Dirty tricks are textbook tactics of CCM Taarifa kutoka mdau anayeaminika Dodoma kanitonya kuwa muda huu wanaandaa ripoti kusema Sigrada amevilia damu kwenye ubongo na wanataka wamkamate LEO Heche eti alikuwa mwenyekiti wa kikao wakati Sigrada kaparuana na mlinzi NJE kwa mujibu wa ushuhuda wake! Heche hata hakuwa na taarifa hadi baadaye! Daktari atakayekubali kusaini ripoti hii feki na kuingia kwenye huu ujinga AFUTIWE leseni na @association_mat 🚮 Madaktari wa Iringa waligoma kufanya huu mchezo ndiyo maana naambiwa wamemhamisha Dodoma! Msichafue tasnia ya udaktari! Kama vipi kubalini madaktari wanaoaminiwa na Chadema wafanye vipimo pia na mthibitishe hii ilisababishwa na kipigo hicho na si ninyi mmembonda kichwani na fimbo kama Ndugai alivyofanya 🙄 maana ndo zenu! We @nchimbie na Makala mmeishiwa kabisa! Msicheze na wananchi! Tumewachoka ondokeni kwa amani! Na huyu Sigrada mwambieni watamwua asicheze na hawa jamaa Eniwei #TutaelewanaTu
English
121
97
368
49.4K
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
Rais Ibrahim Traoré amesema hakuna raia wake atakayetakiwa kusafiri nje ya nchi kupata matibabu bora. Viongizi wa kiserikali wakiwemo mawaziri na maafisa wa serikali pia hawataruhusiwa kutibiwa nje. More:⤵️
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Indonesia
29
57
1.2K
63K
D mbili.
D mbili.@Nistacal·
@ze_mandevu Gharama kubwa hapo ni Earth Works! Na kuweka ilo zege la juu sio Kazi ndogo usisahau ni eneo kubwa! Plus mishahara ya vibarua, mkandarasi, Mkandarasi mshauri na vifaa vyenyewe sababu cement yake sio km hizi za kawaida hivo wamejitahidi kama kupiga hata ungekuwa japo ni kdogo sn🙏
Indonesia
17
0
11
6.9K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Hii stendi mpya ya mabus Nzega imetumia Billion nne mpaka hapa ilipofikia, wataalamu wa ujenzi (Engineers) kwa hesabu zenu hii Stendi kimuonekano ina thamani ya hiyo Pesa?🤔
The mandevu tweet media
Indonesia
169
55
1K
125.9K
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Mbona unatoa taarifa nusu nusu wewe bumunda. Tangaza kabisa Zamalek kinuni wamepewa alama tatu na magoli matatu. Unajifanya kuwa una shabikia Al Ahly kwahiyo unaficha ficha mambo. Wewe ni shabiki wa Berekum ya huko kwenu Ghana acha shobo na Al Ahly
Micky Jnr@MickyJnr__

This is the moment Egyptian officials came to the stadium and announced the end of the game. Local officials ✅ Zamalek players ✅ Al Ahly players ❌ #yallayaahly #cairoderby #africanfootball #zamalek

Indonesia
229
7
362
49.2K
John Nguti Chadema
John Nguti Chadema@JohnNgutiCDM·
Kwamba Samia hamjui Prof.Sarungi aliyewahi kuwa; 1.Waziri wa Afya 2.Waziri wa Elimu 3.Waziri wa Mawasiliano 4.Waziri wa Ulinzi na JKT 5.Mkuu wa Idara hapo UDSM 6.Mbunge Rorya 7.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro 8.Mkurugenzi Mkuu wa Muhimbili 9.Mwana TANU kisha CCM tangu 1971 KWELI?
John Nguti Chadema tweet media
Indonesia
201
111
1.1K
94.7K