D mbili.

468 posts

D mbili.

D mbili.

@Nistacal

Katılım Nisan 2023
145 Takip Edilen17 Takipçiler
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚
Leo nilikuwa najaribu kupekua pekua Elimu ya Donald John Trump kumbe Yule dingi hana Elimu duuh sikuamini macho yangu. Kumbe ndomana anafanya mambo ya kijinga. Trump anamiliki kashahada ka Uchumi tu kutoka Chuo kikuu cha Pennsylvania kilichopo Washington Yani anamiliki ka Degree kamoja ka uchumi. Kwa Ufupi Anashindwa Elimu na mke wangu 😁 Hii dunia kuna Watu wana bahati sana Yani unamiliki Shahada ya uchumi Alafu unatawala Zaidi ya Watu mil 300 hapo sasa ndo nimeelewa kwanini Iran imechoma kambi zao Zote za kijeshi Mpaka Askari wao wakajificha kwenye makazi ya Raia.
Indonesia
19
3
78
10.3K
D mbili.
D mbili.@Nistacal·
@mlinganya @carstin_x Unamuezulie mwenyezi mungu uwongo? Nadhani utatamani kufa kama unachosema ni ukweli!
Indonesia
0
0
0
1
Malcolm 🏆
Malcolm 🏆@mlinganya·
Alafu watu hawajui kwenye uislamu zinaa ni dhambi kubwa kuliko liwaat (ushoga). Moreover wengi wanaotukana wakibanwa wathibitishe ushoga wa Anko T hawatoweza
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

#TajiriLaKihaya YESU akiwa nyumbani kwa Simoni Farisayo, kuna yule mwanamke aliesemakana ana dhambi nyingi ‘Kahaba’ Alilia na machozi yake yakamiminika miguuni mwa Yesu. Akaifuta miguu hiyo kwa nywele zake. Akambusu miguu na kuipaka mafuta ya marashi. Na akasamehewa madhambi yake… Huwezi jua huenda hio ni njia moja ya kumfamya huyo T akabadilika… Msikate tamaa na rehema za mwenyezi Mungu- Hakuna dhambi isiosamehewa almuradi uombe Toba ya kweli… Masheikh na wachungaji hawapo kwa ajili ya watu wema tu…

Indonesia
181
11
112
153.8K
D mbili.
D mbili.@Nistacal·
@EngMapundajr @CJosephat7 Pesa haipigani dogo nidhamu ya pesa ndo inapigana Nadhani us ndoto kubwa kupata majenerali kama wa hitler au middleast!
Filipino
0
0
0
2
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
USA Annual Military Budget is Usd 900-960 Billion China ,Russia and North Korea All Combined Annual Military Budget is Usd 400-550 Billion. Afu kuna Mtu yuko Mbwinde Huko kashiba Ubwabwa na Dagaa Anaropoka Mmarekani Anamuogopa Mrusi ,Mara Kiduku mara Mchina. Kmlbbyk 😹😂😀
Filipino
35
31
240
7K
D mbili.
D mbili.@Nistacal·
@believe_juda @Thommunkondya Stendi ya dodoma bravo ila Dar wamezingua na Morogoro ishu sio kukopi mazingira bali ni kujua na bunifu mpya kila siku ifanane na tanzanite na kuna ideas kibao.
Filipino
0
0
0
4
Believe juda
Believe juda@believe_juda·
@Thommunkondya Kuna kitu Cha muhimu sana wataalamu wetu wanasahau au wamiliki wa miradi Wana sahau, Design kwa kuzingatia Utambulisho wa sehemu au design kwa kuacha alama. Walicho kufanya kwenye SGR wamezingatia utambulisho wa Dodoma miamba na Dar biashara (soko la madini)
Indonesia
2
0
1
675
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Aliyedesign vituo vya SGR anajua kazi yake he did it well. Kama ile ya Dar es salaam na dodoma kila nikishuka nasema serikali yangu ya CCM ilifanya kazi hapa🙌🏿🙌🏿🙌🏿. Ndiyo maana huwa nakuwa mkali bila sababu mtu akiponda au akitukana mradi wa SGR 😂😂. Ile ni standard ya dunia wakuu.
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o@gabyconscious

@Thommunkondya AlieDesign Stesheni za SGR kaka anafaa kuDesign kila sehemu ya serikali

Indonesia
16
4
73
12.3K
Billy
Billy@BillyTronix1·
Sema Venezuela wanyonge sana hata Masaa 12 hayajaisha Rais kashatekwa 🙌🙌🙌
Tanzania 🇹🇿 हिन्दी
65
45
803
38.5K
D mbili.
D mbili.@Nistacal·
@Masstown_ Huyu ni ndege hai na sio ndege ya kusafirisha abiria.
Türkçe
0
0
0
8
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
WASOMI walio wengi ELIMU haijawakomboa. 🚶🏾‍♂️
Indonesia
19
55
327
8K
D mbili.
D mbili.@Nistacal·
@spana_Konki Maisha ya ki usa usa yanawavuruga Sana wanangu! Inaweza kuwa bado mnautoto mwingi!
Indonesia
0
0
0
3
D mbili. retweetledi
Cool_Ustaaz ☪
Cool_Ustaaz ☪@Cool_Ustaz·
Why women will love DAJJAAL.? —THREAD 🪡
Cool_Ustaaz ☪ tweet media
English
10
124
451
26.9K
D mbili. retweetledi
#TOTTechs
#TOTTechs@TOTTechs·
Tujadili kidogo Kwenye Tech kuna hii Global Chain ni very interesting, mfano NVIDA, or Apple chips zinatengenezwa na TSMC, a Taiwanese company, Hizi Chips zinatengenezwa kwa kutumia EUV lithography machines, hizo machines zinatengenezwa na ASML, a Dutch company. 👇 (1/3)
Polski
6
8
92
4.5K
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Hatujafulia. Hatukupata hela za baba, ndugu matajiri, au connection. Kama wewe ni mmoja wetu, piga ❤️ kwenye hii post naomba.
Indonesia
2
4
63
1.6K
D mbili. retweetledi
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Kama mwanaume, ni bora uwe na mwanamke anayekuunga mkono au usiwe na mwanamke kabisa.
Indonesia
3
7
52
1.5K
D mbili. retweetledi
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Baadhi yetu tunajenga kutoka sifuri. Hakuna urithi wala msaada.
Eesti
0
3
29
1K
D mbili. retweetledi
#ElimikaWikiendi
#ElimikaWikiendi@ElimikaWikiendi·
“Mafanikio sio ajali. Ni juhudi, uvumilivu, kujifunza na kujitoa. Kubwa kuliko yote ni kupenda unachofanya.” - Pelé
#ElimikaWikiendi tweet media
2
80
433
15.6K
D mbili. retweetledi
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Hivi vifaa ukivitumia vizuri vinaweza kukusaidia kuongeza salio la account yako ya bank.
Small Business Elevator tweet media
Suomi
2
9
112
2.5K
D mbili. retweetledi
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Ukitaka kutatua matatizo ya wanawake kila mara, utateseka maisha yako yote. Kila mtu ana wajibu wa kujitafutia maisha anayotamani. Hakuna aliyezaliwa kuwa ombaomba—mara nyingi ni uvivu unaowafanya baadhi ya wanawake kudhani msaada wa kifedha lazima utoke kwa wanaume wanaodet nao.
Indonesia
2
8
75
1.9K
D mbili. retweetledi
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Unakumbuka ulivyoenda kuunda personal timetable mara tu baada ya kusikiliza motivational speaker? 😅 Usiishi kwa motivation peke yake — tengeneza tabia, maana ndizo zitakazokusaidia kuwa consistent kweli kweli. 💪😂
Indonesia
2
7
57
1.7K
D mbili. retweetledi
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Kanuni ya Kwanza: Nyamaza wakati mwingine. Sio kila kitu kinahitaji kusemwa.
Indonesia
0
3
62
1.1K