Rogers Gideon

1.9K posts

Rogers Gideon banner
Rogers Gideon

Rogers Gideon

@rogersgideon

Entrepreneur

Dar es salaam Katılım Ağustos 2011
235 Takip Edilen101 Takipçiler
Rogers Gideon
Rogers Gideon@rogersgideon·
@rose_mayemba Kuna kila dalili ya October 29 itarudia tena na ya safari hii itakuwa mbaya sana sababu ya kulipa visasi.
Indonesia
0
0
0
1
Rose Mayemba
Rose Mayemba@rose_mayemba·
Othman Chande, mwenye umri wa miaka 74, aliyebahatika kuwa na watoto na wajukuu, anataka watanzania waamini kwamba eti mtoto huyu alikuwa anatishia uhai wa Askari hivyo wakaamua kujihami kwa kummiminia Risasi ya kichwa. Kama si ushetani ni nini basi?
Rose Mayemba tweet media
Indonesia
14
100
347
6.2K
Rogers Gideon
Rogers Gideon@rogersgideon·
@rugemeleza Kaka tukipata katiba mpya iundwe judicial commission ambayo itakuwa na jukumu la kuchagua judges kupitia usaili wa wazi na pia kwa waliopo uteuzi wao upitiwe kuangalia vigezo na pia baadhi ya hukumu zao tata ziwe reviewed kama huyu wa kesi ya Lissu kisha wastaafishwe.
Indonesia
0
0
0
4
Rugemeleza Nshala
Rugemeleza Nshala@rugemeleza·
Raha ya Wanachadema i wazi. Waliowwnyima Watanzania haki yao ya kujumuika na kufanya siasa ni maadui wakubwa wa Taifa letu na hawastahili kuwa katika utumishi wa umma. Kama ni Jaji usiyejua kuwa unabanwa na Maamuzi ya Mahakama ya Rufaa iliyosema huwezi kuweka zuio kwa shughuli za siasa kwani ni haki ya kikatiba sasa unaendeleaje kuwa Jaji! Hilo linaeleweka kwa kila mwanasheria yeyote nchini. Sasa ilikuwaje likakiukwa? Hapa ajenda ovu ya kuhakikisha mgombea wa Chama Cha Mamumiani anafanya kampeni bila ushindani ilikuwa kazini. Hili hatutalifumbia macho na tutadai uwajibishwaji. facebook.com/share/v/1bCE9g…
Indonesia
15
83
374
8.4K
Rogers Gideon
Rogers Gideon@rogersgideon·
@MangiwaKwanza1 He is the architect of what's going on. Remember his motive behind the constitution he created in 1962.
English
0
0
0
5
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Babu hivi hii ndo Tanzania uliyokuwa unaitaka wajukuu zako tujivunie.
Mangi wa Kichaga tweet media
Indonesia
3
26
192
1.6K
Rogers Gideon
Rogers Gideon@rogersgideon·
@MangiwaKwanza1 Hizo bao 7 ni za mwanaume? au za mwanamke? hapa lazima tujue kutofautisha..sababu mwanaume anaweza piga bao 7 wakati mwanamke kapiga 1,2 au asipige kabisa. Kama hizo 7 unazo sema ni za mwanamke hapo sawa. Kama wote pamoja wamepiga 7 sawa. Lakini kama ni za mwanaume pekee, hapana.
Filipino
0
0
0
14
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Kama umemzoesha bao saba hakikisha unamuoa wewe usituachie matatizo wengine tuko busy kukuza uchumi nchi.
Filipino
16
26
316
12.8K
M A C K 🤠 🇹🇿.
M A C K 🤠 🇹🇿.@Omarymsomal·
Hivi shangazi Fatuma karume alipotelea wp? Au tayari alikula teuzi kimyakimya
M A C K 🤠 🇹🇿. tweet media
Indonesia
43
10
141
18.7K
Rogers Gideon
Rogers Gideon@rogersgideon·
@mkainerugaba Before you utter nonsense think what happened to Saif al-Islam Muammar al-Gaddafi son..
English
0
0
0
2
Rogers Gideon
Rogers Gideon@rogersgideon·
@mangekimambi @MariaSTsehai @enterbadboy Siku wana tangaza guilty verdict ndio siku itakuwa mwisho wa kila kitu manake maandamano yatakayo kuwepo yale ya October 29 ni cha mtoto. Safari hii hata Airport zote zitawekewa mawe hakuna mtu kukimbia na border zote zitakuwa under siege. Wasithubutu..Dunia wanaiona kesi hii.
Indonesia
0
0
1
62
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Tatizo kuna Watz bado mnawaongelea CCM as if ni watu wenye logical reasoning. Unasema kumkuta Lissu na hatia ni kitu hakiwezekani kwa watu ambao wanakwambia kabisa kuwa wao wameua kidogo tu mbona wengine wameua sana? Au watu ambao wanakwambia kimama anapewa moyo na viongozi wa nchi zingine kwa mauwaji aliyoyafanya. Samia na CCM mpaka walitengeneza sheria mpya ya mashahidi wa siri ili waweze kushinda hii kesi. Last but not least ukitaka kujua they are preparing people for a guilty verdict, angalia current reporting ya kesi ya Lissu kwenye media za Tz. Wanaripoti only side ya serikali, yani kama mtu hufatilii hii kesi kwenye social media ukisikiliza tu media za Tz unaweza dhani serikali imefanya kazi nzuri ya kumkuta Lissu na hatia.
Indonesia
23
112
573
20.4K
Rogers Gideon
Rogers Gideon@rogersgideon·
@MayonLaizer Raha ya hicho kiti ni kuzungunka duniani haswa Ulaya na Marekani kusini na Kaskazini wala siyo Asia ili kuona mema ya uumbaji wa Mungu na kuona watu wenye ustaarabu zaidi duniani toka eni na enzi..sasa ukipigwa ban ubakie ndani huku midege ya kutembelea bure ipo kiti hakina maana
Indonesia
0
0
0
5
Laizer Mayon
Laizer Mayon@MayonLaizer·
“The Economist inasema wazi: ‘Don’t welcome Africa’s newest despot.’ Hali Tanzania imekuwa mbaya zaidi tangu uhuru. The crisis is real. 💔🇹🇿 #TanzaniaCrisis #SamiaSuluhuHassan
Laizer Mayon tweet media
Indonesia
7
46
186
2.4K
Rogers Gideon retweetledi
Diego Muller
Diego Muller@Muller95Diego·
The 100% TRUTH. @SuluhuSamia's presidency is illegitimate 🚮
Diego Muller tweet mediaDiego Muller tweet media
Diego Muller tweet media
English
6
43
124
3.7K
Rogers Gideon
Rogers Gideon@rogersgideon·
@HecheJohn Kuna kibibi kimeamua kuwa dictator kwenye umri wa miaka zaidi ya 60 wakati ma dictator wenzie walikuwa kwenye miaka 30+ ili wale mema ya chi..unakuwa dictator at retiring age na kwenda The Hague!
Filipino
0
0
0
7
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Africa ujinga ni mwingi sana, sasa Huyu anang'ang'ania madarakani ili afanye nini?
Indonesia
155
212
1.3K
57.3K
Rogers Gideon
Rogers Gideon@rogersgideon·
@lucas_ngoto Hili ndio umeona baya eeh? Je, ulisema nini kuhusu kilichojiri Oct.29 na yanayo endelea?
Filipino
0
0
0
4
Lucas Ngoto
Lucas Ngoto@lucas_ngoto·
Jambo baya sana hili kwenye jamii yetu Lazima tukatae haya matendo kwa umoja na nguvu zetu zote Maumivu yanayobaki kwa ndugu huwa ni makubwa sana tukatae mauaji tukatae utekaji ni mbegu mbaya inaweza kuleta maafa kwenye taifa letu Mungu amrehemu marehemu awafariji walofiwa wote
Lucas Ngoto tweet media
Indonesia
65
32
222
23.7K
Rogers Gideon
Rogers Gideon@rogersgideon·
@Sativa255 Worst enough chama kizima wako radhi kife sababu ya mtu 1 irrespective of founding fathers efforts to put the state into international stage respect.. na tayari kimataifa kina onekana kama terrorist organization. Sooo bad..
English
0
0
0
1
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Tulivyo na watu wapumbavu hapa utasikia MAGEREZA wanakuja na kanusho kuwa "CHAKULA KILICHELEWA KUIVA". Wazee wetu walipambana na WAKOLONI WEUPE bado sifikirii kama walikutana na UKATILI zaidi ya huu wa WAKOLONI WEUSI. Hawa WAKOLONI WEUSI ni zaidi ya shetani.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
16
96
719
15.8K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
@mangekimambi Team Hakuna Kushindwa 🤣🤣 My team since childhood! Na sitaki kabisa company ya watu wanaokata tamaa na ku compromise!
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
5
45
276
7.9K
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Ukimpata huyu utataka nini? Kingine🤔
killo_Killotz tweet media
Indonesia
28
4
100
6.3K
Rogers Gideon
Rogers Gideon@rogersgideon·
@HildaNewton21 I can't wait to see her first trip to Europe and the Americas. Sometimes people don't learn from past experience to forecast their future..how will it be for her after relinquish power? how can one decide to become a dictator at the age of 60+
English
1
0
0
14
Rogers Gideon
Rogers Gideon@rogersgideon·
@MariaSTsehai Kweli Dada..na tena itabidi Mama afanye kama Museveni, kijana wake ampeleke mafunzo ya kijeshi fasta aje ampachike ma vyeo hadi aje awe mkuu wa hawa majamaa awanyooshe..hatuna faida nao tena wapo wapo tu.
Indonesia
0
0
1
2.3K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Naona milio huko jeshini! Watu kadhaa wamekuja DM kuhusu ishu ya Meja Jenerali Gaguti kuondolewa kijanja kwa kisingizio cha kuteuliwa Balozi ila lengo ni kumwondoa kwenye utumishi wa Jeshini na kupachika wazanzibari! Sasa kama sisi wananchi labda mlitaka tuwasaidiaje maana hamsaidiki!? Mliapa kutulinda ila maelfu waliuwawa na mpo tu! Mnapelekeshwa na kiongozi haramu! Acha mpangiwe hadi kuwa makuli wao Zanzibar maana mmeshaamua kuufyata! Until tutakapozinduka … #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
48
115
806
59.9K
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Hivi Shangazi Fatma Karume yupo salama?
Twaha Mwaipaya tweet media
Indonesia
139
63
922
54.1K