your obsession

361 posts

your obsession banner
your obsession

your obsession

@scottarno3

the scene is horror na me ndo stelingi/ mindfully & good humor

earth Katılım Eylül 2020
1.5K Takip Edilen1.7K Takipçiler
your obsession
your obsession@scottarno3·
@George_Ambangil haijalishi kocha ni nani au play style ni ipi, bruno g na tonali wanatosha, baleba tutaangalia bei ya kifungashio.
Indonesia
0
0
2
80
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Kiukweli kabisa kuhusu ujenzi wa eneo la kiungo cha United mwishoni mwa msimu huu , binafsi nimeamua kunyuti na kuwaamini wafanya maamuzi maana viungo wazuri safari wapo , ni hela yako na ushawishi wako na hata kisifa wapo pia kadhaa tofauti tofauti. Sina preference😀
Indonesia
40
21
472
10.8K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Nimekaa nikafikiria : Big Petr, JT , Ricky , Gallas, Ashy, The Bison , Obi , Ballack, Jean Claude, Lamps , Didi , Anelka, Malouda my word . Angalia hizo species ,The Powerhouses .!Now ukiitazama vitoto vingi unaweza kuwa bully easily. Ila naelewa hizo Powerhouse now kuzipata mh
Indonesia
34
18
430
23.8K
Muzikknow
Muzikknow@Muzikknow·
Wimbo unaoufahamu ambao ndani yake inasikika milio ya risasi 🎶 🔫
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
87
16
163
9.6K
Babu Bomba
Babu Bomba@BabuBomba4·
Wanangu mbona hamjan tag mambo mazuri kama haya mmeanza lini kuwa na Roho za Bongo freva. Naambiwa humo ndani utachagua wewe ma Punch line sijui ma wordplay an kamaliza Kila kitu hivi ni kweli? youtu.be/9jywQeI0qW0?si…
YouTube video
YouTube
Indonesia
11
23
97
5.5K
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
Which track got you into DAX??? 🤔
Dullah_theKing🎧 tweet media
English
46
24
105
3K
your obsession
your obsession@scottarno3·
@chapo255 now imagine kuwa hata watu pia hawakuwepo kipindi hiko, na sisi hatupo.? kama tupo, tumetoka wapi.?
Filipino
0
0
0
16
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Wait… Mna uhakika gani kama hao mitume kweli walikuwepo? Kama ni watu tu walikaa na kutunga stori? Nawaza kuwa Mwenyezi Mungu amuumbe binadamu dhaifu kwa makusudi alafu mwisho wa siku amchome moto? Unatengenezaje kitu unachokipenda kisha ukiangamize? Kwanini Shetani ni mmoja?
Filipino
153
64
616
48.8K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Wasanii wa zamani waliamini sana kwenye majina ya vyeo mfano👇😅 Luteni Kalama Prince Dully Muheshimiwa Temba Komando Jide Inspector Haroon Mwana Falsafa King Crazy GK Professor Jay Ongeza wengine
Indonesia
55
47
525
28.3K
your obsession
your obsession@scottarno3·
@DullahTheking2 ila hii kuvutiwa au kutokuvutiwa ni issue subjective, hisia huleta upofu, unaweza ukawa uko sahihi ila kwa jicho la shabiki wake atakuona unaongea kitu hakina maana,
Filipino
0
0
1
25
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
Nadhani ile siku sikumuelewa TRUBA vizuri alichomaanisha, leo niliirudia ile intavyuu na kuizingatia zaidi. Kumbe alimaanisha FA haRhyme vizuri ☑️ Kiukweli yupo sahihi na hata aliposema CHID BENZ anaRhyme vizuri zaidi ya FA yupo sahihi kwa 100% Hapa inabidi utulize kichwa ndio umuelewe, FA ni mnoma katika Falsafa,Uwasilishaji,Matumizi ya Lugha na Blaa Blaa Ila namna anaRhyme haivuti hisia ya msikilizaji 🚶🏾‍♂️ Nipo tayari kurekebishwa,kufundishwa na kukosolewa 👇🏽
Filipino
14
6
72
8.9K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Kama hampo vile , kumbe mnatuvizia tu .! Haka karekodi ketu ka kutofungwa mwaka huu 2026 kanakwaza sana . Hata kidogo mnataka mtupokonye ? Tutambie nini sasa ? Mpo makini sana leo pale St James Park 😀😀😀
Eesti
41
28
639
16K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Tutakuja kushtuka nafasi zote nyeti na muhimu top leaders ni wazenji!! Itafika time kila muhimili, kila taasisi ya maamuzi makubwa unakuta head ni kutoka kisiwani!! Wanachomekwa kwenye position mdogo mdogo kimya kimya bila watu kusanuka!! Hadi hawa wabara wanaopewa ganji saivi na kuona wameyapatia maisha watazidiwa nguvu na kila watakapotaka kukimbilia kuisaka haki watakutana na mlima karafuu!! Naam…..itakuwa toolate na tutawaambia tuliwaambia hamkusikia!! Unajua hata kama kwenye jamii waliosoma sana sheria ni wahaya, huwezi wajaza wahaya peke yao kwenye kila position ya mahakama. Ni lazima uchanganye na wadigo kidogo, wakurya na wachaga!! Ndio maana pia rais akiwa muslim, vice lazima awe christian, na spika akiwa christian, PM lazima awe muslim AND VICE VERSA!! Ni hatari sana kuweka Top’s wote wa kutoka eneo moja!!
Indonesia
93
131
1.1K
53.4K
Mr Mike™
Mr Mike™@Mr_MikeOG·
I'm looking for insults so intelligent you don't realise you've been roasted until 3 thoughts later
English
58
104
403
51.7K
your obsession
your obsession@scottarno3·
@Roma_Mkatoliki @EsirEid humu kuna wasenge wanaukum* mwingi sana, yani wapigane wao ila sisi tunajigawa kisa itikadi za kurithi... huu utumwa unatesa mafala wengi sana
Filipino
1
0
5
885
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
KHAMENEI Hajafa unaambiwa, ule mtego tu, jamaa kajichimbia chimbo kama Makaveli!! 😁
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 tweet media
Suomi
84
72
1.5K
56.4K
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
RAP NI MAHESABU WAZEE 👇🏽 "Kimistari im so tall{So-To} nikisimama wananifikia kwenye torso" 👉🏽 SOTO~TOSO Sio internationa kama KOLO im so Local{LOKO}"👉🏽KOLO~LOKO Japo Sometimes naenda shika GOTO hata TOGO, Level dope sio uGOLO soma LOGO" 👉🏽GOTO~TOGO 👉🏽u-GOLO~LOGO 👇🏽👇🏽
Filipino
13
27
130
6.2K
breaker🐐
breaker🐐@AthanasBenson·
@DullahTheking2 Kimistari am so Tall Nikisimama wananifikia kwenye TORSO ( kiwili wili)
HT
1
0
3
269
MELLAH
MELLAH@mellahcoffee·
@tonymaster01 Kuna Mjomba alianza kama tuition then kikawa kituo cha wanaorudia mitian saiz kajenga shule. Alikuwa anatufos tusome ualimu kumbe ndoto yake ilkua aje kufungua shule.
Indonesia
3
0
25
3.7K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Athleticism, Win duels , pass forward quicker after turn over . Then if you can be clinical you win a game ( Yes you have to defend better when needed ) City did it
English
10
9
195
5.4K
your obsession
your obsession@scottarno3·
@AthanasBenson @chapo255 kuhusu flow ni ngumu sana kumtetea vina, ila mashabiki zake hawataki kukubali hilo kwamba jamaa anaflow mbovu inayojirudia nyimbo tofauti, presentation iko predictable sana
Indonesia
1
0
0
19
breaker🐐
breaker🐐@AthanasBenson·
@chapo255 Yani unaacha kuskiliza wimbo na mashairi,vina na mistari,flow kali tofauti tofauti,contents,delivery kwenye nyimbo zake yani wewe unakuja kuleta hoja ya "aina ya sauti yake" 😀 hapa kweli hakuna mtu unaacha kusema kitu cha maana ueleweke unazngumzia sauti🙌
Indonesia
2
0
3
400