@TonnyUnfiltered@fintanjr_ Akikaribia umri wakupevuka bora wote wakiume na kike wasome day boarding saiz zimekua zinazalisha mashoga na wasagaji mungu atusaidie watoto wetu
Nipo safar, kapanda kisichana cha afu2 na crop top hakina hata mtandio,hajanisalimia😏, nikauchuna.dakk2 kimeanza kutapika ,
nikataka uchuna ila kikazid mpk kinalegea
Nikakipa dawa za kuzui kutapika , kikaa sawa
Kidogo kinaongea kinyaturu na mbuzi wenzake huko , nikasikia neno
WALEVI WA ILE BAR wanadai kuwa AZAM TV imesomba watangazaji wengi kutoka radio kubwa, muongoni mwa watangazaji wakubwa ni Jabir Saleh(KuviChaka) kutoka EFM na Ibrahim Kasuga kutoka EATV/Radio.
Walevi waongo sana sio watu wa kuwaamini😂😂