carry go
1K posts


🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Watoto watatu, wameripotiwa kufariki Dunia katika bwawa la kuogelea (sweeming pool) lililopo katika hoteli ya Esperanza mtaa wa Ilazo Jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wamesema waliofariki dunia ni watoto wa chekechea ambao wawili ni wa kike na mmoja wa kiume, wakikadiriwa kuwa na umri usiozidi miaka 6.
Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema watoto hao, walikuwa wakirejea nyumbani ndipo walipoingia katika eneo hilo kisha kuvua mabegi yao na nguo zao kisha kuingia kwenye bwawa hilo liliko katika hotel hiyo ambayo imefungwa kwa mda.
Kwa mujibu wa mashuhuda, watoto hao walianza kutafutwa kuanzia majira ya saa 5 asubuhi bila mafanikio, hadi ilipofika saa 12 jioni walipopatikana wakiwa wamefariki dunia.
Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.
#MeaMswahiliUPDATES
Indonesia

There's a town in South Africa where black people are not allowed to enter, yet they couldn’t do anything about it.
The name of the town is Orania, it’s a small, wh!te only town in South Africa and was founded in 1991.
Yet they think fellow black Africans searching for their next meal are their problems
YOU SOUTH AFRICANS 🇿🇦 WILL R£GR£T THIS


English

I don’t understand how I’m not on here and I still be catching strays lmfaooooo bruh 😭
Da ick🥲@vikthor_armani
How can I explain to my kids that this person is a male?
English

BREAKING: Lebanese journalist Amal Khalil has been killed in an Israeli attack, confirms her employer. Lebanon’s Health Ministry said Israel “pursued” Khalil by “targeting” the house where she took shelter after an Israeli attack.
🔴 LIVE updates: aje.news/bpt7v6

English

@Joe__Bassey We need peace in africa, we don't want to be colonised anymore
English

In Burkina Faso 🇧🇫, Captain Ibrahim Traoré has just abolished colonial prisons and replaced them with farms, skills, and freedom! Which other African president can do this?
While the world builds bigger prisons, Captain Ibrahim Traoré is tearing down the colonial justice system brick by brick and replacing it with something Africa has never seen before!
Under Traoré's bold prison reform, inmates who work on state farms can reduce their sentences by 3 months for every month of labour completed.
No more rotting behind bars doing nothing. No more colonial-style punishment with zero rehabilitation.
Agricultural fields are now open-air classrooms where prisoners learn vital farming techniques, contribute directly to the national economy, and cultivate a sense of purpose.
Traoré has already approved sentence reductions for 963 prisoners, including the full release of 372 detainees with at least one life sentence commuted.
The prisons are clean. The prisoners are working and learning trades. When they leave, they leave with skills to build a life!
This is not the system the colonisers left behind. This is Africa thinking for itself!




English

@MsagatiPili Mwambie huyo ni mpumbavu km wapumbavu wengine ikiwemo wewe.
Nederlands

@EduTalkTz Haswa ukiwa ulipata fursa lkn hukuitumia vzr,sasa umerud bila bila unataka upate chance nyingine unajikuta unakuwa mtumwa
Filipino

@Mnyamaa3 @TBoundBuses Sasa wakitumia hela yote ilotengwa kwenye ujenzi watakula wap
Indonesia

@TBoundBuses Hii barabara nilipita mwezi uliopita nikashangaa sana sasa sijui mkandarasi aliambiwa ajenge barabara tu hayo mengine hayamuhusu?
Indonesia

Majibu yameanza kuonekana.
By pass DODOMA.
2026 Barabara ya jiji haina sehemu ya watembea kwa miguu haina sehemu ya waendesha baiskeli 🚮
mhd@mhdhamad
Barabara hii inaonekana nzuri kwa macho, lakini kiuhandisi haijakidhi viwango vya usalama. Hakuna lay-bys (maeneo ya dharura) kwa magari yanapopata hitilafu. Hii ni hatari kubwa! Kuweka curbstones kushoto na kulia kwenye highway ni kinyume na best practices za kimataifa. Nchi nyingi hutumia shoulders (hard/soft shoulders) ili kuongeza usalama na nafasi ya dharura. Gharama ya kuweka curbstones pande zote + markings kali kwenye km 100+ ni kubwa sana. Kwa fedha hizo, ingewezekana kujenga flyovers kwenye makutano yote muhimu na bado pesa ingebaki. @Thommunkondya Umeona “Wazalendo” kazini?😂
Indonesia

@IkindaKani11826 @HappyKate437868 @HecheJohn @HildaNewton21 @KantelinyoM @mambosholizzy @MariaSTsehai @MO29TV @Sulategamaisho @Twaha_Mwaipaya @VitusNkuna AFCON tu peke etu tunashindwa
Indonesia

@MsomiKhan18 Hapo Dodoma,mh nahisi utafiti wako hauna evidence sahihi
Filipino
























