TARSHA
1.5K posts


Kuna siku niliwahi kusikia alikuwa sijui Milner yule anamzungumzia David Silva akiulizwa kwanini hapewi sana maua yake akasema something like " Ukiwa unaonesha muendelezo wa kiwango cha hali ya juu mara kwa mara na kila msimu , unazoeleka na watu wanachukulia ni rahisi "
That is for me BIG WILLO .
✍🏻Controlled defending actions
✍🏻He just cruise through games
✍🏻He make it easier in the eye to defend wide areas against different attacker being pacey winger , dribbler , powerful CF etc
Kila nikijiuliza why huyu jamaa hayupo kwenye hii mijadala yetu ya mchezaji bora , seriously sipati majibu na sijui kwanini
Unless kuna kitu na miss vibaya mno . Apart from VVD at his very best , i struggle to see any CB in European football better than him .
Mtu yoyote anaona kuna CB bora zaidi ya Big Willo aniambie twende punch for punch kwa arguments.

Indonesia

@ShijaDenis UI amna kitu ila ina kila kitu.. ila me natumia Samsung keyboard nimecostumize na good lock ni unyama
Filipino

when it comes to home screen customizations I really get inspired by these guys’ setups always @AnxiousHolly @tarunvats33 @VerdeSelvans they have some of the simplest yet best looking home screens tbh



English

@ShijaDenis nawashangaa wanaosema et simu zao kubwa hiv mnaijua oneplus 13s ni simu compact i think ni inch 6.2 alaf betri lake kubwa then ipo 15T hizo simu ni unyama performance ya top flagship
Filipino

@taricksadat Tafta ambazo ni quality au tafta za Gharama kama hizi IEM huw za motoo sana
Indonesia

@KijanaWaHovyo69 @baraka_asege kwan wanaenda vitan , sema dizain kali
Indonesia

sa hiyo next match ya nn na mechi ni leo, jamaa wa simba kazingua hapo
Masterplan🇹🇿@master_plan9
Simba kwenye Graphics Bado sana.😂
Filipino

“Mama Samia aanzishe mchezo kila mwananchi anatoa @ 1,000/= kila siku
Tupo raia milioni 65
Hivyo kila siku anatoa mtu anapokea bilioni 65(65,000,000,000)
Mama kwa kuwa kijumbe atachukua milioni 500”
Adventure-360@Adventure_36
KWAHIYO MMEKUBALIANAJE?
Filipino




























