Nesi

5.5K posts

Nesi

Nesi

@teddy_salone

Upendo

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2021
4.1K Takip Edilen15.2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Nesi
Nesi@teddy_salone·
Simba ikishinda navuka bahari kama MUSSA🤣
Nesi tweet media
Indonesia
107
33
562
32.1K
Nesi retweetledi
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
Uzuri upo kwenye tabia,ukizichukia tabia za mtu uzuri wake unaporomoka na kutokomea kusikojulikana!!🗝️📚
6
22
68
715
Nesi retweetledi
Waziri Wa Mbeya
Waziri Wa Mbeya@waziri_mbeya98·
Ukiona Sehemu Ambayo Haina Wasomi Wengi Huko Ndo Kwa Kutafutia Maisha Sasa..🔥
Indonesia
8
15
112
2.8K
Nesi retweetledi
chizzo drama
chizzo drama@Chizzodrama·
Kujenga nyumba ya ndoto ni baada ya kujenga nyumba ya kuishi , zingatia hilo
Indonesia
20
95
709
17.9K
Nesi retweetledi
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Ukilima mahindi ukakosa isiwe sababu ya kuacha kulima msimu ujao Lima tena .
Indonesia
2
16
60
1.2K
Nesi retweetledi
Man Like Sule™
Man Like Sule™@Maichagange·
Baada ya mvua kuacha kunyesha, mwamvuli hugeuka mzigo. Baada ya kipofu kupona, fimbo yake hukosa maana tena. Ni ngumu watu kukupenda wakishamaliza kukuhitaji. Ni Maisha
Indonesia
1
21
82
1.8K
Nesi retweetledi
Maisha_Halisi
Maisha_Halisi@hassanially1996·
⚠️ Usilazimishe Ukaribu Na Watu Kaa Kwenye Nafasi Wanayokuweka ili Ufanye Mambo Yako kwa Uhuru..📌
Indonesia
0
24
103
2.2K
Nesi retweetledi
Kabigwa_Afya💊
Kabigwa_Afya💊@kabigwa_78·
Ujana, Pesa na Mafanikio visitufanye tuone kumwabudu Mungu ni Ushamba!
हिन्दी
18
55
391
8.1K
Nesi retweetledi
Splendor Kyrios🌴
Splendor Kyrios🌴@Skyfly_gains·
Kadri unavyozidi kukutana na watu tofauti ndivyo unavyogundua ni kwa nini NUHU aliingia kwenye SAFINA na wanyama na sio hao watu.
Indonesia
3
15
86
2.6K
Nesi retweetledi
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Wewe sio mtumishi wa Serikali, Taasisi binafsi wala Shirika lolote sasa Lindi unafanya nini? Unaanzaje kuishi Lindi?
Indonesia
50
48
727
31.7K
Nesi retweetledi
NKENJA_7
NKENJA_7@Abraha1Brighton·
Usipo yaona maumivu ya wengine ni yako, Ipo siku Mungu atakukumbusha
Indonesia
0
3
42
761
Nesi retweetledi
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Maneno yoote mliyomwambia ameyasikia ila ameniambia atanivumilia hivyo hivyo😌
Indonesia
1
11
65
1.9K
Nesi retweetledi
Eng Jubel
Eng Jubel@EngJubel·
Maisha hayana huruma wewe endelea kujipa unyonge.
Indonesia
5
22
131
3.1K
Nesi retweetledi
Genious✍️
Genious✍️@chibelube·
Ikiwa wanakutemea mate nyuma ya mgongo Inamaanisha uko mbele yao.
Filipino
2
45
245
8.6K
Nesi retweetledi
Genious✍️
Genious✍️@chibelube·
Hii nchi mtu anakuuliza saizi ni saa ngapi unamjibu saa nane anakuuliza saa nane imefika saa ngapi?
Eesti
7
29
223
9.2K
Nesi retweetledi
Genious✍️
Genious✍️@chibelube·
Mtu kama unaweza kuniomba hela kipindi hiki, Wewe unaweza hata kuniua Kabisa.
Indonesia
2
31
240
6.8K
Nesi retweetledi
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
Mwanamke hacheat mkiwa na maisha ya dhiki,ana cheat mkishakuwa vizuri kiuchumi!!😁📚🗝️
Filipino
19
40
373
16.6K
Nesi retweetledi
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
Masikini anaweka akiba aitumie akipata matatizo,tajiri anaweka akiba aitumie katika uwekezaji!!📚🗝️
Indonesia
7
23
114
2.3K
Nesi retweetledi
Dr SALUMU
Dr SALUMU@Dr_salumu·
Kama kweli kutembea Kwa miguu ni mazoezi mazuri, Alhamdulillah tumeyafanya tangu tunazaliwa. Mungu tupe magari Sasa,mwili ushakaa sawa.
Indonesia
5
26
173
4K
Nesi retweetledi
Mthesalonike wa KIANDA✍️
Mthesalonike wa KIANDA✍️@KiandaWa14·
Kuna muda tunaamua kukaa kimya kwasababu hata tukiwaelezea tunayoyapitia hamuwezi elewa, hata tukiwaambia ukweli hamuwezi kutuamini💔 ~Wazee wa Sumbawanga✍️
Indonesia
14
28
62
1.3K
Nesi retweetledi
Zed🇮🇷🇹🇿
Zed🇮🇷🇹🇿@Zephania_Ndaki·
Inapofika Wakati Wako Wakuwa Nyundo , Piga Kwa Nguvu Na Kwa Haki, Kwa Maana Ulipo Kuwa Msumari, Hakuna Aliye Kuonesha Huruma!!!!
Filipino
5
19
70
1.2K