Sabitlenmiş Tweet
SONDA MNO ♈
18.2K posts

SONDA MNO ♈
@temba_45
liverpool fans## hardworker## socialist boy ♈
Mbeya, Tanzania Katılım Nisan 2020
4.5K Takip Edilen3.5K Takipçiler

@rose_mayemba Wewe ni choko kweli yaani wageni waende kulala kwenye nyumba za watu 😁😁
Filipino

@temba_45 @Adventure_36 @tanpol @LatraTZ @TBoundBuses Hamna anayetaka kuua abiria ndo maana wamepaki gari.
Indonesia

Abiria wa takbiir wamesimama ushirombo kwa zaidi ya masaa nne baada ya abiria kulalamika kuwa gari mbovu.
Wamekwama hapo polisi wanaangalia na dereva wanasema wameagiza gari katoro lakini hamna.
Wanaomba msaada waweze kuondoka nyingine nzima @Adventure_36 @tanpol @LatraTZ

Indonesia

Shida kubwa tuliowahi kufanya kama nchi ni kuruhusu wafanyabishara wakawa ma MP
#Gm
Indonesia

@UNSUPPORTED_APK @Adventure_36 @tanpol @LatraTZ @TBoundBuses Gari mbovu mfumo wa umeme unasumbua hiyo mnataka kuua watu sio
Indonesia

@temba_45 @Adventure_36 @tanpol @LatraTZ @TBoundBuses abiria wako wamegoma hawataki namba D wanataka zile E.
Filipino

Tukiendelea na huyu mzee nitajiweka pembeni kwa kulinda afya yangu ya akili.
Sky Sports Premier League@SkySportsPL
Arne Slot is expected to continue as Liverpool head coach next season, Sky Sports News understands, as the club close in on Champions League qualification 🔴
Indonesia

Wakuu sio Tshiling Mkajazana Ni Kenyan Shiling Ohoo😂😂
Florah@FayChep476320
Before you date me, here is my monthly expenditure 😂 Hair & Nails - 6,000 Food cravings - 7,000 Transport - 5,000 WiFi $ Data - 3,000 Shopping - 8,000 Self-care - 6,000 Attitude maintenance fee - 10,000 Ukiona budget imekushinda, nipee tu hi.
Indonesia





















