ALPHA

3.1K posts

ALPHA

ALPHA

@Alphared_11

MUUZAJI NA MNUNUAJI WA ACCOUNT ZA X ⏰

Tanzania Katılım Ekim 2025
197 Takip Edilen278 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
ALPHA
ALPHA@Alphared_11·
REPOST 🔥 Account for sale 👇 YouTube Subscribers 4,063 I am buying an account starting from 👇 4K 👉100K Welcome DM ✅
English
15
20
28
1.7K
KIKAKA CHA IT
KIKAKA CHA IT@_kikakaOg·
Pale Unapo maliza kuweka Tangazo af liwake kwa hii cpr(cpc) aiseeeh Unaweza enda kutoa ushuhuda Anyway Tulale
KIKAKA CHA IT tweet media
Filipino
3
1
6
462
ALPHA
ALPHA@Alphared_11·
@Mussa_Mdeve Wewe ndo unajipoteza sasa, Huwezi Kufunga Ramadhani bila ujaangalia mwandamo wa Mwezi wa Shabani wala Rajabu kwaiyo tunangalia kwanza miezi mingine ya Kislamu ilivo ndo huwa tunamalizia kwenye Ramadhani na sio wao wanavoamuwa bali Quran imeshaeleza hilo
Indonesia
0
0
1
10
Mdeve Tz
Mdeve Tz@Mussa_Mdeve·
@Alphared_11 Na ndiomaana nikasema viongozi wanatupoteza kwasababu tatuzo huanza pale tunapoanza kufunga ndio huwa tunatofautiana kuuona na anaweza akatokea mtu akasema umeonekana tuanze kufunga bado viongozi wakakataa kulingana na walivoamua wao
Indonesia
1
0
0
8
ALPHA
ALPHA@Alphared_11·
Cha kwanza wewe ni Mpumbavu. Mtume ameshasema hivi👇 Fungeni kwa kuuona au Fungeni kwa kukamilisha masiku na Funguueni kwa kuuona na Funguueni kwa Kukamilisha masiku. Haya nambie bwana @Mussa_Mdeve wapi umeuwona mwezi hapa Tanzania.
Mdeve Tz@Mussa_Mdeve

@Rahim_Meghji Mi ni muislam bro ila nikwambie kwamba Uislam wetu Tanzania unaongozwa kwa maoni ya mtu mwenye sauti juu na kikundi cha viongozi ambao hawako makini na uislam ilo liko wazi

Indonesia
1
0
0
27
ALPHA
ALPHA@Alphared_11·
@Mussa_Mdeve Mbona nimeshaelezea kwanza hakuna Funga 40 ndani ya Uislamu mwisho ni 30 tu kwaiyo kama kuna mawingu na malizia Funga yangu 30 baada ya hapo kesho nafungua ndo ambacho kimetokea Leo
Indonesia
1
0
0
8
Mdeve Tz
Mdeve Tz@Mussa_Mdeve·
@Alphared_11 Na je kama sehem ulipo kuna hali ya mawingu yanayoweza kuendelea hata wiki utafunga siku 40?
Indonesia
1
0
0
8
ALPHA
ALPHA@Alphared_11·
@Mussa_Mdeve Kwaiyo ikiwa hatujauwona mwezi sisi tunakamilisha masiku ndo hapo inakuwa rahisi kusema sikuuu kesho tunafunga kesho sababu tunakamilisha masiku 30.
Indonesia
1
0
0
4
ALPHA
ALPHA@Alphared_11·
@Mussa_Mdeve Mussa bwana 😁 Hatuamrishwi Shekhe na tunasema ni siku flani sababu soma hapa 👇 Fungeni kwa kuuona au Fungeni kwa kukamilisha masiku na Funguueni kwa kuuona na Funguueni kwa Kukamilisha masiku. Haya ni Maneno ya Mtume wetu Muhammad S.W
Indonesia
2
0
0
15
ALPHA
ALPHA@Alphared_11·
@Mussa_Mdeve Lini umeona Tanzania imesikiliza kwa wenzetu ambao Majira yanatofautina ? Wapi umeona tumesikiliza ?
Filipino
1
0
0
10
Mdeve Tz
Mdeve Tz@Mussa_Mdeve·
@Alphared_11 Haya niambie bwana Omary lini uliuona mwezi ukaanza kufunga na lini ulishakaa baharini au sehem maalum za kuusubiri mwezi uuone ndio ufungue? Wote hua tunasikilizia kwa wenzetu na hii hutokana na hali ya hewa kuna baadhi kunakua na mawingu zingine kunakua na shwari
Indonesia
1
0
0
9
ALPHA
ALPHA@Alphared_11·
@safarimlevi @MariaSTsehai Kaka sio Leo tu bali nazungumzia kitu ambacho toka muda ana mambo yake mengi kwa sasa anayafanya ni ya kipumbavu kila mada yeye anadakia hajali imekaaje inamshusha vyeo wala nini yeye anadakia tu
Indonesia
0
0
0
26
ALPHA
ALPHA@Alphared_11·
Mimi nitaendelea kusema @MariaSTsehai ni Mpumbavu wa mwisho kabisa.
ALPHA tweet media
Filipino
1
1
2
410
Rugata
Rugata@rugata0005·
@Alphared_11 @BillyTronix1 Usiku na mchana vinauhusiano gani na mwezi? Je mna wasiwasi kuwa kenya, Saudi Arabia, na mataifa mengine yanaweza kuwa danganya kwamba leo ni eid kumbe sio?....Ni ukanjanja kwenye moja na mbili.
Indonesia
1
0
0
25
ALPHA
ALPHA@Alphared_11·
@musyokaNdesa @SaidiPweza @Rahim_Meghji Hao ni wapumbavu kama nyie mnaingia nao kanisani Papa wenu anawabariki kabisa, ila lahasha kamwe huwezi kuja kuta Wanaingizwa Msikitini na Kusapotiwa sahau hilo
Indonesia
1
0
0
15
Mbaade 🤠
Mbaade 🤠@Hamis_Mbaade·
Sisi kwetu Tanzania mashekhe wetu wapo kama shirikishi la CAF hawaonagi aibu 😂😂😂🙌
Mbaade 🤠 tweet mediaMbaade 🤠 tweet media
Indonesia
15
23
169
5.1K
ALPHA
ALPHA@Alphared_11·
@Jaguar_455 Maneno haya 👇 Fungeni kwa kuuona au Fungeni kwa kukamilisha masiku na Funguueni kwa kuuona na Funguueni kwa Kukamilisha masiku
Indonesia
0
0
0
7
ALPHA
ALPHA@Alphared_11·
@Jaguar_455 Iko hivi sisi tunafata Miezi yetu kuanzia Rajabu shabani hadi Ramadhani mwezi mtukufu, Tutaangalia Shabani ya 29 hatujaona mwezi Basi tunamalizia 30 kisha ndo tunaanza kufunga Ramadhani na ndoinavokuwa, Mufti hapangi bali anafata Quran na Maneno ya Mtume yanavosema. Cheki 👇
Indonesia
1
0
0
14