therealestro_
5.1K posts

therealestro_
@therealestro_
| 📸 | being HUMAN | #awiseantinaclock🐜
Tanzania Katılım Ağustos 2020
806 Takip Edilen551 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
therealestro_ retweetledi

Naomba Repost Yako 🙏🏾
iPhone 12promax
⚙️ 128Gb
Bei Tsh. 785k💰
☎️ 0657116867
wa.me/255657116867
📍K/koo Masasi/Msimbazi St
🛵 DSM Tunafanya Delivery
🚛💨 Mikoani Tunatuma
@Sativa255 @salmakorosho @chapo255 @MiriamMkanaka @RaphaelMheta

Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@444holywitch Ndo nasema hapa sasa sipokei hela zinanuka matako mimi
Filipino

Kila mtu ni ombaomba ni inategemea unaombaje tu😁
Extreme Introvert🧕💫@Sincerelyrahma7
Wale wa ooh utaacha swala wiki haiishi habari zenu popote mlipo😁👋 Hivi si mtu atoe sadaka aninunulie hayo mabaibui, majuba na maninja jamani😭
Eesti

@AyoubChakah Mapacha wa kariakoo wanakodigi vigoma… bwana weee🔥🔥🔥
Filipino

@therealestro_ Mashujaa Wana Songi Lao Ilo Hapo Lisikilize Hapo Wanakwambia Acha Kujilegeza... Sasa Usiombee Wawe Wamekutangulia Goli Alafu Beki Wao Kakugonga Upo Chini Unaomba Faulo Kwa Refa 😂😂
Indonesia

@FamWorld2025 Mmmh mbona siku nyingi hivyo… approximately ni 2
Indonesia

Kitu wasichojua watu wengi ni kwamba Mungu anapomuandaa mwanaume kwa ajili ya ndoa anakua amemtengeneza pia mwanamke kwa ajili ya ndoa ukiona nyakati mnapishana jua sio wako, it takes 6-9 months for a man to know she is the one🤝
Rastafarian_culture@IgoraIrene32964
Sijui kama Ntaeleweka ila katika maisha yako omba Mungu akuepushe na Mchumba mwenye haraka ya Ndoa wakati ambao sio Sahihi .😂💔
Indonesia

@musaEGO Wachezaji wa kiingereza sio wa kuwadhamini sana kama wamasai
Indonesia


@BillyTronix1 Bizness ya electronics… ukipigiwa simu na mteja baada ya kuclose deal mpaka jasho linakutoka😆
Filipino

Unazungumzia 300k!!!
hiyo 1.6m ni yote imeenda kwa mchina tena ili tusolve return!
Hivi mnafikiri hii kazi nyepesi eeh ?!

OKA@beluxeoscar
@BillyTronix1 Jikaze anko Kuna watu wamwtapika 300k ya ganji
Indonesia

@England @FIFAWorldCup Timu mbovu kinoma ila tukija kushtuka wapo robo mamae😆
Lietuvių

therealestro_ retweetledi
therealestro_ retweetledi

@hilaly_hassani Yule hata 30 unachukua then unasepa… fullback ngumu vile ya nini
Indonesia

@mzee_mbuzi Ustadh mimi na wewe humu ndo hatupatani kabisa… ko ni borea walivyomuita buba martinelli jamen😆
Indonesia

Joao Chobwedo chezaji la pre season😀😀😀..Unakua POTS kwenye team iliyomaliza uswekeni alafu eti uende kombe la dunia😀
Chelsea FC@ChelseaFC
Joao Pedro is our 25/26 Player of the Season. 🇧🇷💙
HT

@kalage_jr Kuna wanawake wengine hawasemi kama wameolewa, na kwa nini mke wa mtu ulete mazoea na mwanaume mwingine… yote haya ni sababu ya zinaa, tuache uzinzi tumche mola😎
Filipino

@INFLUENCERjr @amprincess9 Kaka akupe hata pakti ya dagaa😆
Indonesia

















