Mushi ❄️ retweetledi
Mushi ❄️
1.3K posts

Mushi ❄️ retweetledi

‼️HABARI MBAYA‼️
Huyu kijana anaitwa James Temba ni ndugu wa Mwanamziki wa kundi la TMK Wanaume Family wakuitwa Mhe. Temba
James Temba alitekwa na watu wasiojulikana Jijini Dar es salaam siku kadhaa zilizopita jana mwili wake umeonekana ukielea mto msimbazi Tabata huku ukiwa hauna kichwa.
Huyu Msanii wenu pamoja na wenzake ni Makada wa CCM, tukiwaambia tuungane pamoja kupinga maswala ya Watu kutekwa, kuuwawa na kupotezwa huwa wanajivuta nyuma kwasababu wanadhan kwamba wao na familia zao wapo salama kwasababu wapo upande wa watekaji, leo na yeye limemkuta mtu wa familia yake.
Wapendwa hakuna ambae yupo salama ili wote tuwe salama inabidi kila mmoja bila kujali itikadi wala dini, tuungane kupinga vitendo vya Utakaji na yote yanayofanana na haya.
Hii nchi ni yetu sote, haiwezekani kikundi cha watu wachache ndo wawe wanaamua nan aishi na nani afe, HAPANA.
Indonesia
Mushi ❄️ retweetledi
Mushi ❄️ retweetledi

INSECURITY TANZANIA
This young man James Temba from Tabata Dar es Salaam disappeared in suspicious circumstances
His body was discovered headless in a river - and we don’t expect any meaningful investigation!
Police have remained unhelpful while abductions continue under.
#EnforcedDisappearance #Tanzania @SuluhuSamia
Cc @WGEID @volker_turk @UN_HRC
English
Mushi ❄️ retweetledi

Nimechoka na kuona ukatili kila siku! Hivi ina maana WOOOOOOTE mliopo kwenye mfumo mnaona hii ni sawa? Mtu anatekwa alafu mwili wake unakutwa hivi? Kweki? Huku polisi wakiendelea kuteka!
Tumetoka kuona MAELFU wa ndugu zetu wameuwawa kikatili na miili yao kuachwa barabarani na baadaye kusombwa na kutupwa kama takataka! Nyie kimyaaa
Nyie ni binadamu? Hamjisikii hata kidogo vibaya?
Nyie ni mashetani WOTE! 🚮mi hata huyo @nchimbie wengine mnamfagilia nasema ni walewale! Kwani sisi wengine tulishindwa nini kukaa kimya ili maisha yetu yaende? Tulishindwa kukaa kimya kwa sababu ya UTU! Sasa mi nawaona ninyi wote mlioufyata wasaliti!
Mmekaa kimya ili uovu utawale - basi ninyi ni sehemu ya uovu!
#ChangeTanzania

Indonesia
Mushi ❄️ retweetledi
Mushi ❄️ retweetledi
Mushi ❄️ retweetledi
Mushi ❄️ retweetledi

Mmeuwa kwa risasi Watanganyika zaidi ya elfu kumi Oktoba 29 na ndugu zetu wengine mpaka leo bado wanauguza majeraha ya risasi na wengine mmewasababishia vilema vya maisha.🥹
Tangu Idd Amin Mama aingie madarakani hadi leo ameteka kupoteza watu zaidi ya 600 tena hii ni kwa mujibu wa Report wenu yenyewe.
Lakin bado hajamaridhika mnaendelea kuteka na kupoteza ndugu zetu, imetosha sana mwachieni @Ninja_Damour na watu wote mliowateka.
#FreeNinjaDamour #FreeDamour

Indonesia
Mushi ❄️ retweetledi

"Uchambuzi wa ripoti ya Chande utafanyika siku ya Jumanne tarehe 5 Mei 2026 saa nne kamili asubuhi hapa makao makuu ya chama." Mhe. @jjmnyika
Indonesia
Mushi ❄️ retweetledi

@MariaSTsehai @tanpol @Ninja_Damour Hawajui wanavyoendelea na utekaji ndivyo hasira za wananchi zinazidi kupanda.
Anaewashauri kufanya ivo akili zipo matakoni 🚮
Indonesia
Mushi ❄️ retweetledi
Mushi ❄️ retweetledi
Mushi ❄️ retweetledi

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa vyuo vikuu vinapaswa kuwa kitovu cha mijadala ya kisiasa, akisisitiza kuwa ni jukumu la wasomi kushiriki kikamilifu katika kuchambua masuala ya kitaifa na kimataifa.
Akizungumza katika Kongamano la CHASO lililofanyika Mkoa wa Dar es Salaam leo Mei 02, 2026, Heche amehoji mantiki ya kuzuia siasa vyuoni huku akisisitiza kuwa elimu ya juu inapaswa kuendana na uelewa mpana wa masuala ya kijamii na kisiasa.
“Sasa siasa isipofanyika chuo kikuu, iende ikafanyike wapi?” alihoji Heche, akiongeza kuwa mwanafunzi wa darasa la saba hawezi kuwa na uwezo wa kuchambua kwa kina madhara ya migogoro ya kimataifa kama ile ya Iran, Israel na Marekani.
Amesisitiza kuwa jukumu hilo linapaswa kufanywa na wasomi waliopo vyuo vikuu, ambao wana nafasi ya kuchambua masuala hayo kwa kina katika mazingira ya kitaaluma.
Heche pia amekosoa kauli zinazowazuia wanafunzi kujadili siasa wakiwa vyuoni, akisema kuwa kufanya hivyo ni kunyima vijana fursa ya kukuza uelewa wao wa masuala muhimu ya kitaifa.
“Unaambiwa usijadili siasa chuoni, sasa utajadili nini kama siasa unaambiwa usijadili?” alihoji, akisisitiza kuwa mijadala ya kisiasa ni sehemu muhimu ya maendeleo ya fikra na uongozi kwa vijana.
Indonesia
Mushi ❄️ retweetledi

Mfanye mfanyavyo ila mwachieni haraka sana wauwaji wakubwa nyie na malipo ni hapa hapa Duniani
#FreeTunduALissu
Indonesia
Mushi ❄️ retweetledi
Mushi ❄️ retweetledi
Mushi ❄️ retweetledi

Leo umetimia mwaka mmoja tangu Mdude Nyagali avamiwe nyumbani kwake na maofisa wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya ambao walimjeruhi na kisha walimteka na kuondoka nae mpaka leo hatujui wamempeleka wapi.
Tukikomboa nchi aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera na RPC wa Mbeya Benjamin Kuzaga watatuambia waliko mpeleka Mdude.

Indonesia
Mushi ❄️ retweetledi

"Kamati Kuu imeazimia kuanza rasmi operesheni ya mikutano ya hadhara nchi nzima. Operesheni hii itajulikana kwa jina la OPERESHENI KATIBA MPYA, FREE TUNDU LISSU." Mhe. @jjmnyika
Indonesia












