mkinga retweetledi
mkinga
4.5K posts

mkinga retweetledi
mkinga retweetledi

Siku NILIPOACHA kufatilia
1. Mambo ya Simba na Yanga
2. Mambo ya celebrity na udaku
3. Game za UEFA za usiku sana
ndipo nilipoanza kuona tofauti.
-Focus yangu iliongezeka.
-Nikawa makini na vipaumbele vyangu.
Vitu vingine si vibaya…Lakini havina umuhimu.
Kama haviongezi thamani kwenye maisha yako basi vinaondoa mwelekeo wako.
#ElimuBure
Indonesia
mkinga retweetledi
mkinga retweetledi
mkinga retweetledi

Kanuni 9 za Kujitawala Kifikra kama MWANAUME.
1. Usilalamike bila kutoa suluhisho.
2. Chukulia neno lako kama kiapo cha damu sema, maanisha, fanya.
3. Uwezo wako wa ndani (potential ) hauna maana bila utekelezaji.
4. Mitandao ya kijamii ni chombo, sio maisha.
5. Kama ni rahisi sana, mara nyingi haifai kufanya.
6. Tafuta heshima, na sio kuomba attention
7. Ondoa watu wanaofurahia kukwama kwako.
8. Jifunze kupenda boredom work ndio zinakujenga
9. Maliza kila siku kwa kujifatilia kwa kujiuliza…“Leo nimechagua kuwa nani?”
#ElimuBure.
Indonesia
mkinga retweetledi

Maisha Yako Hayatabaki Kuwa Yaleyale Baada Ya Kukamilisha Changamoto Hizi 7 Za Kujifanyia pPeke Yako:
1. Acha kutumia sukari kwa muda wa siku 30.
Acha chocolate, acha soda. acha sukari iliyofichwa.. au energy drink. Baada ya siku ya 20, ngozi yako, nguvu yako na uwazo wa fikra vitaanza kubadilika. Utatambua kuwa sukari ndiyo iliyokuwa inadhibiti hali yako ya hisia muda wote.
2. Tumia kanuni ya lita 3 za maji kwa kila siku.
Kunywa lita 3 za maji kila siku. Watu wengi wana upungufu wa maji mwilini lakini wanadhani ni wasiwasi. Ubongo wako kwa kiasi kikubwa ni maji, yatunze ipasavyo.
3. Achana skrini baada ya saa 4 usiku kwa siku 14 tu.
Weka simu chini. Hakuna video fupi. Hakuna ujumbe. Akili yako hatimaye itapata mapumziko ambayo imekuwa ikiomba kwa muda mrefu.
4. Kutafakari kila siku kwa siku 21.
Dakika 10 tu. Kaa. Pumua. Tulia. Msongamano wa mawazo unaohisi ndiyo sababu hasa unahitaji kufanya hili. Meditate.
5. Jizoeshe kuoga maji ya baridi kwa siku 30.
Malizia kila kuoga kwa sekunde 60 za maji baridi. Hii inafundisha akili yako kubaki katika udhibiti hata kwenye hali ngumu.
6. Kutoweka kwa saa 3.
Mara moja kwa wiki, jitenganishe kwa saa 3. Hakuna simu. Hakuna watu. Ni wewe tu. Hapa ndipo uwazi wa mawazo huanza. Kaa peke yako ujitafakazi.
7. Kuandika kumbukumbu kwa siku 30 (Journaling)
Kila usiku, andika ulichofanya, kilichokuchosha, na utakachofanya tofauti. Utagundua mifumo ambayo watu wengi huchukua miaka mingi kuielewa.
Ongeza Nyingine👇
Indonesia
mkinga retweetledi
mkinga retweetledi
mkinga retweetledi

MISINGI YA KWELI YA TABIA ZA BINADAMU:
1) Wale dhaifu zaidi mara nyingi ndio wenye ukatili mkubwa.
2) Wajinga zaidi ndio wanaoongea sana.
3) Wenye mateso makubwa zaidi ndio wenye wivu mwingi.
4) Wale wasio na umuhimu mkubwa mara nyingi ndio wenye kiburi kikubwa.
5) Wenye hekima hubaki watulivu.
6) Wenye nguvu halisi huwa na upole.
7) Wenye akili nyingi mara nyingi huchagua kunyamaza.
8) Wenye furaha ya kweli huishi maisha ya utulivu.
Ongeza nyingine👇
Filipino
mkinga retweetledi

UKWELI MCHUNGU KUHUSU MAISHA AMBAO HATA SHULE NI HUWEZI KUFUNDISHWA
1. Hakuna mtu atakayekuja kukuokoa jifunze kujitegemea.
2. Muda ni mali yako ya thamani zaidi uitumie kwa hekima.
3. Kujiamini hufungua milango zaidi kuliko vyeti.
4. Shule itakufundisha majibu, maisha hkupa mitihani bila majibu.
5. Kushindwa kunafundisha zaidi kuliko kufanikiwa.
6. Watu watakutendea kulingana na kile unachoruhusu.
7. Jifunze kumtegemea MUNGU
8. Dhibiti pesa zako, la sivyo pesa zitakudhibiti.
9. Sio kila mtu anastahili kuwa na nafasi kwenye maisha yako.
10. Wema sio udhaifu weka mipaka.
11. Sikiliza zaidi kuliko unavyoongea.
12. Makosa sio mabaya kama unajifunza kutoka na makosa
13. Jifunze kusema HAPANA bila kujisikia hatia.
14. Dunia hulipa thamani unayotoa, sio juhudi pekee.
15. Tabia zako ndizo zinazoamua hatima yako zaidi kuliko malengo yako.
16. Usibishane na watu walioamua kutokuelewa. Utapoteza nguvu zako
Indonesia
mkinga retweetledi
mkinga retweetledi
mkinga retweetledi













