Sabitlenmiş Tweet
Venture Rafael
3.5K posts

Venture Rafael
@venture_rafael
🇹🇿 Manchester United FAN
Katılım Aralık 2013
176 Takip Edilen1.3K Takipçiler

Jicho langu linaona kuwa mwanamke wako atakua anakupigaga
Ema_fundi_gairo🇹🇿@ema_fundi_nguo
Hakika jamaa
Indonesia

Niliwahi kuwafungisha watu ndoa kupitia post yangu ya instagram!!
Na leo wamenambia wamepata mtoto wa kiume wanempa jina “Roma”
Ilikuwa hiviiiiiiii…..
Kuna siku nilipost andiko fulani Instagram, lile andiko lilileta sana mjadala kwenye comments!!
Umewahi kuona unapost kitu then wanatokea watu wanaanza kubishana wao kwa wao kwenye comments za post yako!?
Unakuta post ina comments 500, ila 100 ni za replies zao!!
Basi ndivyo ilivyokuwa, kuna mchizi na sister du flani hawakuwa hata wanajuana wakaanza kubishana kuhusu nilichoandika….sikuwazingatia hata!!
Miaka ikapita, siku moja
yule mchizi akanicheki DM na kunisimulia.
Kumbe walivyobishana sikuile kwa comments, wakahamia DM, baadae wakawa marafiki, baadae wakaja kukutana…..wakatongozana.
Binti akatepeta….mchizi akaishi!!
Ndio ile DM alikuwa ananihadithia wamefunga ndoa na makutano yao yalikuwa kwenye Post yangu!!
Leo kanambia wamepata mtoto wa kiume wamemuita “Roma” ❤️
kama kumbukumbu ya mtu aliyewakutanisha!!
Filipino

@shaks_prince huu sio uchawi ni USENGE na wewe wakikufuata kwenye VIATU usicheke nao
Indonesia

@Mudimabiriani Ama kweli aliyesema Sura Sio Roho hakukosea kaka
Indonesia






























