Victor Bwire OGW retweetledi

Maendeleo ya Akili Mnemba (AI) yanaleta mabadiliko gani kwenye Redio? Jiunge na Mkurugenzi wa Mafunzo na Maendeleo ya Vyombo vya Habari .@vicbwire kesho Februari 13, kwenye .@RadioCitizenFM kipindi cha #JamboKenya tukiadhimisha Siku ya Redio Duniani 2026.
#WRD2026

Indonesia





































