👂

4.3K posts

👂

👂

@wa_kulima

go on

Dodoma Katılım Mayıs 2020
372 Takip Edilen164 Takipçiler
👂
👂@wa_kulima·
@thinker24hr Redmi note 11 walisema 70k had nikaishiwa poz na hapo ina miaka 3 from new
Filipino
1
0
0
88
#TeamPixelTz 🇬
#TeamPixelTz 🇬@thinker24hr·
Top-Up ni risk ni kama FOREX tu😂🙌🏽 Kuna maduka makubwa sana hapa bongo ila biashara ya Top-Up hawafanyi🙌🏽 ✍🏽Simu ya wizi ✍🏽Simu mbovu (mteja hasemi) ✍🏽Bei zimebadilika (ukilinganisha kipindi unanunua) Mfano: Pixel 7 Top-up kwenda Pixel 7 Pro hapa hamna hamna lazima uongeze 350,000/= ila ukilinganisha bei zinavyouzwa Cash hazipishani 350,000/= Kwa nini inakua hivi! Hesabu imepigwaje mpaka uongeze 350,000? Bei ya Jumla Pixel 7 ni 400,000/= Bei ya jumla Pixel 7 Pro ni 600,000/= “Hii bei ya jumla inakuja na warranty simu ikisumbua narudisha kwa supplier nabadilishiwa mali” Simu za Top-up hazitakiwi kukaa dukani muda mrefu, Pesa inabidi izunguke. Kwaio kwa namna yoyote lazima ziuzwe bei ndogo. Pixel 7 ambayo imepatikana kwa njia ya Top-up kuna uwezekano mkubwa ikauzwa 390,000/- ( Pia inaweza ikapungua au ikazidi biashara ni makubaliano ) kwa mteja direct na kwa mawinga wakauziwa 340,000/- mpaka 360,000/- Simu inayouzwa 340,000/= mpaka 360,000/= hii hamna hamna inabidi kwenye ununuzi inunuliwe kwa thamani ya 250,000/= kwa nini? Kuna Risk ya simu ikasumbua, Mfano battery, Mic, System Chaji, NK. Simu ina vitu vingi ambayo vinaweza vikatokea gafra yani kwa kifupi inaweza ikaenda kumzimikia muuzaji au mteja mwingine. Sio kila tatizo litaonekana muda wa kutest mnapofanya biashara. Ikitokea simu isiposumbua basi ndo Faida kwa muuzaji. The higher the risk the higher the return. ZINGATIA: Mali atakayoleta mteja ikisumbua kuna uwezekano wa asilimia 5% mteja kulipia gharama za ufundi. Asilimia Zilizobaki zote atapotea kusikojulikana baada ya kuambiwa simu yake inashida🙌🏽 Ila mali atakayopewa mteja dukani ikisumbua tu Mteja mapema yupo dukani muda wa adhana😂 Mfano nilioutoa unagusia Simu za Google Pixel, iPhone, Samsung TU. Makampuni kama : Huawei, Oppo, Xiaomi, Redmi, OnePlus, Vivo NK. Hizi bora uuze mtaani Used zake hazina Soko na Hazina thamani🙌🏽 kwa namna yoyote kwenye Top-Up lazima uumie. Hapa muuzaji lazima aipe thamani ndogo sana mali yako. Mfano Huawei ya 3,200,000/= Used yake unaipata kwa 1.5M mpaka 1.8M imezidi sana 2M. OnePlus ya 1.9M used yake haiwezi kuzidi 1.2M
Denis_developer🐼@ShijaDenis

Hivi wanaouza simu Tz top up Huwa mnazingatia vitu Gani maan Huwa imekaa kimichezo sana 😄 unakuta simu clean ila inavo thaminishwa ni hizuni hata kama sio tolea la zamani sana

Indonesia
4
2
16
3.5K
Santa M.M
Santa M.M@Santacia·
Wakuu, mishahara imepanda au imekaaje..???
Eesti
6
1
10
621
👂
👂@wa_kulima·
@zoetjesheeftX Kuchambua kote karanga akasahau kukunua hata ka passo?
Indonesia
1
0
3
229
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Kama unahitaji Fridge nzuri kwa gharama nafuu chukua hizi brand. 1. MR UK 2. ADH 3. IMPEX 4. BOSS 5. MIDEA. Zinatumia umeme mdogo, warranty sio chini ya miaka 2 official, gharama za usafirishaji hasa mikoani sio kubwa. Karibuni sana, mfano hii ni 500,000/= tu
Bony 📚 tweet media
Indonesia
5
17
37
2.1K
STUNNA
STUNNA@CavityDamas23·
Akikupa unapiga au
STUNNA tweet media
Filipino
43
19
57
3.5K
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Nunua Laptop yenye Uwezo 💻 Nunua WiFi. Nunua smartphone yenye uwezo. Kisha ondoka mjini nenda kijijini kajifungie huko Jifunze Mambo ya kuanzisha kampuni, Marketing, investment, digital Economy n.k. Wakati huo fanya kilimo kidogo cha 🫛 🫘 🥔 🍠. Jipe miezi 6, baada ya hapo
Indonesia
18
34
375
11.4K
Max
Max@maxannania·
@Obure1998 Nkome (Geita)kuna Warundi wanalima heka kwa bei chee, 2016 kurudi nyuma walikuwa wanalima heka kwa buku 5, Nanasi bei chee, kesheshe ni miundombinu ya kuisogeza mjini.
Indonesia
2
1
9
22.8K
Cinephile
Cinephile@Obure1998·
Ukienda Kilimanjaro kuna Tangawazi za kutosha kufika shambani sasa Kuna sehemu nilienda kutafuta Nanasi panaitwa Igate Geita nanasi 300 tu kuitoa Geita ifike Dodoma🙌🏾 niliwahi kutamani kulia hapo Busisi maana ni saa 6 na inatakiwa niwe Sirari saa 12 Asubuhi
Cinephile@Obure1998

@maxannania Kama umeitaja tarime basi unaijua hii nchi vizuri🙌🏾 umeacha Morogoro kuna dingi aliwahi kuniambia SGR ikifika nchi nzima na tukawa na tren ya kusafirisha mazao tu, hakuna mtu atalala njaa hii nchi na hakuna mkulima atalia, Nahisi Magu alikuwa na hii vision

Indonesia
1
0
3
909
👂
👂@wa_kulima·
@MacAlpho @PresenterNoah Inategemea na maz. Kama boda sio za kuchangia na ww umechangia ndo tatizo. Ila kama ni mshkaki haina noma
Indonesia
0
0
0
31
Anko MJOMBA
Anko MJOMBA@MacAlpho·
@PresenterNoah Ukikutani mke wa mtu ukampakata kwenye boda hadi mje mjieleze vizuri kuwa hamfahamiani, watu wameshatafasiri ya kwao.
Indonesia
3
0
32
4.5K
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Kuanzia leo sipandi tena boda zakuchangia na mwanamke ambaye simjui.
Indonesia
47
30
700
43.4K
👂
👂@wa_kulima·
@zoetjesheeftX Hapo kwenye kupiga sim kwa Ai nataman niijue uskute tunapigwa fix
Filipino
0
0
1
158
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Kuna tukio la utapeli limetokea Bariadi mkoani Simiyu vijana waliojifanya wataalamu kutoka kampuni za simu wakiwa wamevalia Tisheti zenye majina ya makampuni hayo wamefika kwenye kibanda cha uwakala na kumkuta binti ambaye walimwambia wao ni wataalamu kutoka makampuni hayo na wanatembelea watoa huduma za miamala ili kuwaboreshea laini zao za uwakala Wakamwambia binti awape namba ya simu ya boss wake waongee nae, wakampigia wakamuuliza tu kwa ufupi wewe ndio fulani mmiliki wa kibanda hiki cha uwakala alivyoongea kuwajibu wakaongea nae kama salamu za kawaida kwa watoa huduma wakakata simu kisha wakamwambia binti tayari boss wako ameelewa maelekezo tuliyompa atapiga simu akupe maelekezo sasa hivi Kumbe sauti ya boss wameshaikopi kwenye mfumo wa AI hatimaye wakapigiana kwa sauti ya boss wake na kumpa simu aongee nae binti huyo akawa anaskia sauti ya boss wake kabisa na kupokea maelekezo kwamba "Wape namba za siri hao jamaa na laini za miamala wafanye hayo marekebisho tu nshaongea nao ondoa wasiwasi" Binti akawapa jamaa wameiba shilingi laki tano NB: Tukio hili limemkuta mtu wangu wa karibu kabisa, sio stori Mnaofanya biashara ya uwakala chukueni tahadhari, matapeli wamekuja na mbinu mpya wanatumia AI ✍️Dunia Ina mambo
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
19
7
87
25K
👂
👂@wa_kulima·
@TMnyama4_ Kuna bas dar to mwanza ililaza 140k kwa rut 1...kuna hesabu nyingi sana hapo
Filipino
0
0
0
126
T
T@TMnyama4_·
Leo nimekaa na umasikini wangu nikawa nampigia SHABIBY Bus pesa anazoingiza kwa siku 😂 Trip Dom Dar ana trip 26 yani go and return. Kila gari abiria 53x35k = 1.855m x26= 48.23m Mafuta trip lita 150x4k =600k x26=15.6m Gross profit 48.23m-15.6m= 32,630,000 Hapo tumeacha mizigo
Indonesia
23
20
504
33.3K
👂
👂@wa_kulima·
@madeinmusoma Komaa na lipa mzee mwa siku unakunja 30+
Indonesia
0
0
2
565
S t e w a r d
S t e w a r d@madeinmusoma·
Yataka moyo 😁
S t e w a r d tweet media
Indonesia
67
39
676
53.1K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Kumkataa Shetani na matendo yake kwenye Nyumba za kupanga na Wanafunzi wa Chuo ni kazi sana.
The mandevu tweet media
Filipino
59
51
800
50.6K
Deogratius||🕊️
Deogratius||🕊️@Philosophe45141·
Kuna tajiri huko mbeya anaitwa aidani mwidimi alivuta umeme kwa mil600. Ana kwambia alienda kukopa billion1 alafu anatakiwa kurudisha kwa mwezi na riba juu. Mkuu wa mkoa wa kipindi hicho bwana omera alikuwa humble alivyosikia mtu ana kopa bil1 anatakiwa kurudisha bil1 na riba juu
Indonesia
11
17
570
62.5K
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
Umatumbini ilikuwa ni mwendelezo wa vita ya muda mrefu kati ya utawala wa Wajerumani na Wamatumbi ambao walikuwa wamechoka kabisa kutawaliwa. Hiyo ilitokana na Wajerumani walioingia kama marafiki, kugeuka kuwa wakatiili. Waafrika walichukizwa na kitendo cha kufanyishwa kazi katika mashamba ya Wajerumani kutwa nzima bila malipo. Hali hiyo ilijenga chuki kati ya Waafrika na Wajerumani, hivyo Wamatumbi walianzisha vita iliyokuwa ya Mzungu na Mwafrika popote pale walipokuwa wakikutana. Hali hiyo ilishtukiwa na Wajerumani na hivyo wakaamuru Wamatumbi wote kuepukana na asili yao ambayo ilikuwa ni kutembea na fimbo au mkongojo kwani ilikuja kugundulika kwamba, mikongoja hiyo ndiyo ilikuwa ikigeuka silaha dhidi ya Wajerumani. Hiyo ilikuwa mwaka 1896, baada ya serikali ya kikoloni kuweka mkazo na sheria kali dhidi ya Mmatumbi yeyote anayepatikana akitembea na aina yoyote ya mti. Mwaka 1898, Wamatumbi wakagundua mbinu nyingine ambapo sasa maboga waliyokuwa wakilima zaidi kugeuka kuwa silaha. Wamatumbi ambao kwa asili walikuwa watu jasiri sana, walianza kupambana na kila Mzungu waliyekutana naye kwa kumponda kwa boga. Vita hiyo ambayo inajulikana kwa Kimatumbi kama ‘Ngondo ya Mayawa’, yaani vita ya maboga. Staili hiyo iliwashitua Wajerumani ambao sasa walianza kupambana na Wamatumbi kwa mtutu wa bunduki pamoja na sheria za kufungwa na wengine kuhukumiwa kunyongwa. Hapo tena Mmatumbi akawa amekubali kushindwa. Kwa mtiririko wa matukio kama hayo ambayo sasa yalielekea kuwakatisha tamaa Wamatumbi, ndipo mzee hodari na mganga maarufu sana kwa ukanda huo, mganga aliyekuwa na mifugo mbalimbali nyumbani kwake, ikiwamo nyoka na samba, alisimama na kuwaahidi Wamatumbi kuingia katika vita aliyoiita vita ya ushindi. Mzee huyu ambaye vitabu vya historia vinamtambua kama Kinjekitile, ukweli halisi wa jina lake aliitwa Kinjeketile, yaani kimeniitikia kwa lugha ya Kimatumbi. Kwa mjibu wa imani ya Wamatumbi, mzee Kinjekitile aliyewarejesha Wamatumbi katika roho ya ujasiri kutoka katika roho ya kukata tamaa, alizama ndani ya Mto Rufiji na kuibuka baada ya siku mbili, akiwa na mizizi ya dawa hiyo. Hiyo ilikuwa mwaka 1903.’
Indonesia
1
0
6
629
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
Leo katika kupekua kwangu mtandaoni, nimekutana na historia mbili tofauti zinazomzungumzia Kinjekitile. Kilichonivutia hadi kuamua kuwashirkikisha wasomaji wa kibaraza hiki ili tutafakari kwa pamoja ni kutokana na kupingana kwa historia hizo. Wakati historia moja ikihoji kuwa Kinjekitile alikuwa shujaa au mshirikina? ambayo iliandikwa na mwandishi Aloyce Menda katika gazeti la Tanzania Daima la Ijumaa, Septemba 21,2006, nyingine ilikuwa ikidai kuwa historia yake imepotoshwa, ambayo nayo iliandikwa na mwandishi Evaristy Masuha katika gazeti hilo hilo la Tanzania Daima la Alhamisi, Agosti 21, 2008. Kwa historia hizo mbili kunaonekana kuwa na walakini na ni vyema historia hii ikawekwa sawa kwa manufaa ya vizazi vijavyo, la sivyo tutajikuta tukiwa tumepoteza kumbukumbu hii muhimu kwa vizazi vyetu. Naomba tuwekane sawa katika swala hili, Je ni yupi yuko sahihi kati ya waandishi hawa wawili? Tuanze na Aloyce Menda "KINJEKITILE - Jemedari shujaa kweli au mshirikina laghai tu..?" 'Wakoloni wa Kijerumani waliita Vita ya Majimaji kuwa ni uasi wa Majimaji au Majimaji Rebellion kwa Kiingereza. Kwa Wakoloni, Kinjekitile alikuwa mhaini aliyekuwa anapinga utawala halali. Kwa dhana hiyo, Kinjekitile alikuwa shujaa kwa kupigania uhuru wa watu waliokuwa chini ya ukoloni. Lakini kwa kutazama kwa kina mbinu za ukombozi alizotumia kupigania huo uhuru, sioni ushujaa wake. Vitabu vya historia vilivyoandikwa na wakoloni na hata vya wazalendo vinaonyesha wazi kwamba Kinjekitile alilaghai mamilioni ya watu wasioelimika, kwamba risasi za moto kutoka katika magobore ya askari wa Kijerumani zinaweza kugeuzwa maji na kuishia kulowesha tu miili yao bila madhara yoyote 👇
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺 tweet media
Suomi
12
24
71
10.2K
CHAVO 🌟
CHAVO 🌟@HastaRuego·
Vitu 10 ambavyo nafikiri kama kijana lazima uwe navyo: 👇 1. Laptop. 2. Smartphone. 3. Biblia. 4. Portable power bank. 5. Mataulo at least matatu. 6. A washing machine. 7. Ujue kuaonge Lugha zaidi ya moja. 8. Passport. 9. Perfume nzuri 10.Kanuni 3–5 unazoishi kwa kuzifuata.
Indonesia
17
36
106
3.1K
👂
👂@wa_kulima·
@ShijaDenis Kuna fundi anajenga nyumba mwanzo mwisho hadi umeme anawwka
Indonesia
1
0
1
93
Denis_developer🐼
Denis_developer🐼@ShijaDenis·
Nikishaonaga eti fundi anatengeneza simu, hapo hapo TV, mara Brenda, sijui pasi, hapo siwezi peleka simu au computer yangu, najua hamna fund apo 😄😄
Indonesia
6
4
27
1.4K
👂
👂@wa_kulima·
@ItsKamala Na Mungu alikuwa anaangalia mchezo mzima
Filipino
0
0
0
92
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
Daudi alimpenda mke wa askari wake,akaagiza yule askari apagwe mstari wa mbele vitani ili afe na akafa. Mungu akamtuma nabii kwa Daudi akamwambia "Tajiri mwenye kondoo wengi alitembelewa na mgeni akaenda kwa masikini akamnyanganya kondoo wake akachinjia mgeni" ungempa adhabu gani
Indonesia
6
5
40
4.9K
👂
👂@wa_kulima·
@AmRosalinee Akiwa nayo mkononi utafkir iphone 17 au s24
Indonesia
0
0
0
167
ROSALINE🦋
ROSALINE🦋@AmRosalinee·
M-horse ni simu za kijnga kuwai kutokea duniani🚮
Indonesia
23
21
148
7K
👂
👂@wa_kulima·
@thomas_yona_ Ni mwendo wa kutembea na powerbank
Filipino
0
0
1
10
Brave man
Brave man@thomas_yona_·
Jumapili tulivu kabisa, baada ya kutoka church ni mda wa kujipoza na kinywaji🍻😎
Brave man tweet media
Indonesia
4
9
35
442