TABIM8 TYRES

6.2K posts

TABIM8 TYRES

TABIM8 TYRES

@MacAlpho

Businessman || We Sell The Best Tyres At a Reasonable Price. @SimbaSc fan

Johannesburg, South Africa Katılım Ağustos 2020
1.1K Takip Edilen578 Takipçiler
TABIM8 TYRES retweetledi
X4fun
X4fun@Kenn_676·
Once you dive into series, movies won’t hit the same anymore.
English
359
1.6K
8.7K
224.5K
TABIM8 TYRES retweetledi
Kabira Oluwatoyin
Kabira Oluwatoyin@kebiroh123·
@Kenn_676 Series like Dexter,game of thrones,greys anatomy,pretty little liars and so on…I just like the thrill that comes from waiting for the next episode
English
0
1
1
514
TABIM8 TYRES
TABIM8 TYRES@MacAlpho·
@NillanJr @P_simpleman95 @INFLUENCERjr Acheni deko za kijinga, mpira sio taarabu kwamba kusiwe na miguso hata kidogo. Nenda kaangalie goli la Arsenal dhidi ya Man Utd mzunguko wa kwanza halafu rudi hapa.
Filipino
1
0
2
18
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Diarra asipo chukuliwa hatua nitaamini hii ligi kuna double standards. Imekuwa too much sasa
Filipino
24
16
345
12.3K
TABIM8 TYRES retweetledi
Ezekiel Creative Tech
Ezekiel Creative Tech@Milisuboezekiel·
Hii weekend ,jifunze kutumia Capcut Tumia YouTube Channel inaitwa "New to edit" Humu Kuna nondo za kutosha kuhusu video editing
Filipino
6
137
632
14.2K
TABIM8 TYRES
TABIM8 TYRES@MacAlpho·
@MDigala24 @VictoryTheCham1 @NtibegelanaJn @FKihamu Kwahiyokatika hali ya kawaida unadhani USA ni sawa na hii Tz kwa kigezo cha Oxygen? Aiseeh umasikini na kutotembea kusiwafanye mkawa vichaa hivi, hii nchi dunia ya tatu utaifananisha na nchi yoyote ya Ulaya? Umasikini sio dhambi ila usiusujudu.
Indonesia
1
0
0
6
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Iran alisema ana makombora mwisho Kilometa 2,000 halafu jana karusha Makombora ya Kilometa 4,000 hivyo kwasasa anaweza kufika Miji yote Ulaya. Taarifa kwa mujibu wa Reuters.
Indonesia
38
39
812
28.9K
LizyRomanio🤪
LizyRomanio🤪@ShirimaYvonne·
Dah Rest in peace mdogo wangu Neema 😭😭
Eesti
5
2
16
2K
TABIM8 TYRES
TABIM8 TYRES@MacAlpho·
@beluxeoscar @ShirimaYvonne @munyamambogo Kumekuwa na ongezeko kubwa la vifo vya vijana zama hizi, ukifuatilia vifo hivyo vingi sio ugonjwa bali ni ajali na asilimia kubwa ya ajali hizo ni boda. Vijana tumeupenda sana huu usafiri, ila ndio usafiri ambao kosa moja ka dereva lazima likuue.
Indonesia
2
0
2
227
2nyiboy
2nyiboy@TobbyE82107·
@JosmanStima Sema jamaaa aliamua kujiua kwajili ya dem tulizika mwaka jana mkalli
Indonesia
2
0
2
254
Abdul
Abdul@Abdul69005875·
@FKihamu Hawa jamaa walikua wamejipanga sio kama Venezuela
Indonesia
2
0
2
503
Dank
Dank@KusainiNab71324·
@Labella_Mafia95 Duh, hapo utakuwa umeoa kweli, walikuepo wahivyo Ila sio wa kizazi hiki wenye kudai haki sawa
Indonesia
1
0
11
1.4K
TABIM8 TYRES
TABIM8 TYRES@MacAlpho·
@angelbellerin02 Hata wakati anadate na Idriss, aliwahi kuja na story kama hii kisha ikapotea baada ya miezi kadhaa.
Filipino
1
0
4
1.5K
angel bellerin02
angel bellerin02@angelbellerin02·
Watu waliongea mno kuhusu wema sepetu kuwa tasa hatimae ni mjamzito , kweli wakati wa Mungu ndo wakati sahihi ... unbelievable
Indonesia
35
26
587
50.4K
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Hii USB ya Oraimo ni watts 100, bei yake 15,000/= tu
Bony 📚 tweet media
Indonesia
11
16
80
3.7K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Jesca anasema Rais Magufuli alikuwa hapendi sherehe kwani alikuwa anaona ni gharama. Rais Magufuli hakuwahi kuhudhuria sherehe ya harusi ya mtoto wake yoyote yule. Tena siku ya harusi ya mtoto wake wa kiume, Magufuli alienda uwanja wa Taifa kuangalia mpira wa SIMBA na YANGA.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
76
76
1.8K
51K
TABIM8 TYRES
TABIM8 TYRES@MacAlpho·
@Allypapala @PolycarpMDM Sasa kama haya mnasupport, huwa mnapata wapi nguvu ya kupinga mauwaji na utekaji unaofanywa kwa kigezo cha kuikosoa serikali za huku?
Indonesia
0
0
0
9
papaa
papaa@Allypapala·
@PolycarpMDM Hukumu ya Wasaliti hiyo! Sawa Sawa kabisa
Filipino
1
0
0
218
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Utawala nchini Iran umewanyonga waandamanaji watatu walioandamana kupinga Utawala wa Kiislamu, Walikamatwa mwezi Januari kwa tuhuma hizo. Majina yao ni; • Saleh Mohammadi • Saeed Davoodi • Mehdi Ghasemi Vyanzo vingi vinadai Walihukumiwa kifo na kunyongwa baada ya kulazimishwa kukiri kosa kupitia mateso, kunyimwa fursa ya kupata mawakili huru, na bila kuzingatia hata kanuni za msingi za haki na utaratibu wa kisheria.
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
33
11
125
10.3K
TABIM8 TYRES
TABIM8 TYRES@MacAlpho·
@PolycarpMDM Linapokuja swala la dini watu wapo tayari kukubaliana na udhalimu wa aina yoyote. Kwahiyo hata serikali ya T inayoua na kuteka raia kumbe nayo ipo sawa kwa kigezo cha watu kuipinga? Ni Mungu gani huyo anakwambia uue mtu simple because hakubaliani na misingi yako ya kisiasa?
Indonesia
0
0
1
140
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Mwezi umeonekana nchi zote jirani na duniani ila Tanzania ndo haijaonekana, ama? Sielewi! Ila nchi ina mambo ya kiwaki sana!
Filipino
98
111
1.2K
68.7K
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
🚨 Utawala wa Kiislamu nchini Iran leo umemnyonga Mwanamieleka (wrestler) wa miaka 19 aitwaye Saleh Mohammadi ambaye alikua mpingaji wa wazi wa utawala huo, pia alikua akihamasisha maandamano kupinga utawala huo.
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
16
12
96
4.9K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Iran imethibitisha rasmi kuwa Ali Larijani ambaye ni mkuu wa Usalama wa Iran ameuawa na Israel. Ali Larijani alikuwa nguzo muhimu mnoo Iran, yeye ndiye msuka mipango ya Vita, Diplomasia, Nyuklia na Usalama. Israel imesema kifo chake ni cha muhimu kuliko hata cha Ali Khamenei.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
34
52
934
51.5K
PABLO
PABLO@PabloYende·
Israel na Us wao ndio Hip Hop ile ya Tamadun Music Vitendo dhidi ya Maneno ndio kitu wanachokifanya haa kabaki huyu Raisi Tu
PABLO tweet media
Indonesia
16
12
93
8.3K